Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Maana njia wanazopita ni zile zile za MobutuHawawezi kuelewa maana wameshiba sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana njia wanazopita ni zile zile za MobutuHawawezi kuelewa maana wameshiba sana
Kama una akili timamu umenielewaKwa hiyo wasioimbiwa nyimbo za kutukuzwa wanaishi milele au point ni ipi?
[emoji1241]TANGU UFISADI NA VIZAZI VYA MAFISADI WALIVYOKOMESHWA,NCHI HII IMETOKEA KUWA NA WATU WENYE MSONGO WA MAWAZO KWA KIWANGO HIKI!Huyu aliabudiwa kuliko Mungu , aliimbiwa hadi kwaya za kumtukuza kama wafanyavyo wasanii wa Tanzania wenye nyimbo za kumtukuza mtu huku yeye akikenua meno yote.
Leo yuko wapi ?
View attachment 1327571
[emoji1241]TANGU UFISADI NA VIZAZI VYA MAFISADI WALIVYOKOMESHWA,NCHI HII IMETOKEA KUWA NA WATU WENYE MSONGO WA MAWAZO KWA KIWANGO HIKI!
wale wote tuliozowea kuishi kwa mfumo wa halali tokea mwanzo,mbona tuko imara mpaka sasa?
Wanaolia wengi kabisa ni makundi haya.
*Madalali wa viwanja.
*Madalali wa majumba.
*Mahawara na nyumba ndogo za wastaafu na watumbuliwa.
*Madalali wa kisiasa almaarufu kama wapambe wa kisiasa.
*Wanasiasa wasakatonge au bendera fuata upepo.
*Vyeti fake na mishahara fake victims.
TUNAIONA TANZANIA HALALI NA MPYA IKISTAWI KATIKA AWAMU HII.
[emoji1241]MAGUFULI[emoji818][emoji818][emoji818]2025[emoji288]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemsahau " Mwamba Tuvushe"Huyu aliabudiwa kuliko Mungu , aliimbiwa hadi kwaya za kumtukuza kama wafanyavyo wasanii wa Tanzania wenye nyimbo za kumtukuza mtu huku yeye akikenua meno yote.
Leo yuko wapi ?
View attachment 1327571
Wafanyakazi wa Serikali wala hawana shida, wengi wao wamejiadjast kulingana na mdundo wa ngoma uliopo, na ndio purchasing power kubwa iliyobaki huku mtaani. Hao wote uliowataja hawana athari zozote kwenye uchumi wa Tanzania.[emoji1241]TANGU UFISADI NA VIZAZI VYA MAFISADI WALIVYOKOMESHWA,NCHI HII IMETOKEA KUWA NA WATU WENYE MSONGO WA MAWAZO KWA KIWANGO HIKI!
wale wote tuliozowea kuishi kwa mfumo wa halali tokea mwanzo,mbona tuko imara mpaka sasa?
Wanaolia wengi kabisa ni makundi haya.
*Madalali wa viwanja.
*Madalali wa majumba.
*Mahawara na nyumba ndogo za wastaafu na watumbuliwa.
*Madalali wa kisiasa almaarufu kama wapambe wa kisiasa.
*Wanasiasa wasakatonge au bendera fuata upepo.
*Vyeti fake na mishahara fake victims.
TUNAIONA TANZANIA HALALI NA MPYA IKISTAWI KATIKA AWAMU HII.
[emoji1241]MAGUFULI[emoji818][emoji818][emoji818]2025[emoji288]
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia waliko wapambe wa Mobutu kama huyo mwimbisha kwaya hapo kwenye video[emoji1241]TANGU UFISADI NA VIZAZI VYA MAFISADI WALIVYOKOMESHWA,NCHI HII IMETOKEA KUWA NA WATU WENYE MSONGO WA MAWAZO KWA KIWANGO HIKI!
wale wote tuliozowea kuishi kwa mfumo wa halali tokea mwanzo,mbona tuko imara mpaka sasa?
Wanaolia wengi kabisa ni makundi haya.
*Madalali wa viwanja.
*Madalali wa majumba.
*Mahawara na nyumba ndogo za wastaafu na watumbuliwa.
*Madalali wa kisiasa almaarufu kama wapambe wa kisiasa.
*Wanasiasa wasakatonge au bendera fuata upepo.
*Vyeti fake na mishahara fake victims.
TUNAIONA TANZANIA HALALI NA MPYA IKISTAWI KATIKA AWAMU HII.
[emoji1241]MAGUFULI[emoji818][emoji818][emoji818]2025[emoji288]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoooo !!!
😆😆😆 Endelea kujipofushaDikteta Mbowe ndo ataishia kama Mobutu, CCM kila baada ya miaka 5/10 wanabadilisha Uongozi, sasa yupi ni Mobutu?
Huyu aliabudiwa kuliko Mungu , aliimbiwa hadi kwaya za kumtukuza kama wafanyavyo wasanii wa Tanzania wenye nyimbo za kumtukuza mtu huku yeye akikenua meno yote.
Leo yuko wapi ?
View attachment 1327571
Acheni hizo na sky wako huyo, 1960 ilikuwa term ya mwisho ya Dwight D Eisenhower unamjua vizuri hata story zake?
1960 hiyohiyo ikawa first term ya John F Kennedy unajua madili yake na Queen wa Uingereza Saudia huko kuna documentary RT wameifanya itafute hakuwa mtu wa kispoti spoti.
.
Alafu mnakuja na propaganda kisa alikuwa dictator basi ndo mabaya yote yake hata kumiliki ndege limekuwa jambo baya, mlitaka awe kama Magufuli au?
Shetani waliyekuwa wanamtumikia aliwapukutisha , Maana Mungu hauwi watu anaumba tu , bado wewe .familia ya mobutu imepitia matatizo mengi , the man was sad
1993-kifo cha mwanae wa kwanza
1994- kifo cha mwanae wa pili
1996- yeye mwenyewe anaugua hoi
1997-mobutu anakufa
1998-mwanae anakufa
1999- kaka wa mkewe anakufa
2002-kaka ya mobutu anakufa
2004-mtoto mkubwa wa mobutu anakufa
2007-mke wa mtoto wa mobutu anakufa
2012-kaka yake mobutu anakufa
NB
1993-1995 pia kulikua na vifo
kwa kifupi familia yake iliandamwa na vifo
Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani waliyekuwa wanamtumikia aliwapukutisha , Maana Mungu hauwi watu anaumba tu , bado wewe .
Hapana , bali hofu yangu ni huo mnyororo wa Mobutu , unaponaje hapo sasa ?