President Samia for 2025!

Kwa hiyo mtu akitimiza wajibu wake asisifiwe Kwa sababu sio hisani si ndio? Sio hisani yes Kwa nini wengine hawakufanya? Tutaanza kukusifia wewe πŸ€ͺπŸ€ͺ

Upana upi unauangalia wewe.Unajiita economist hujui kitu zaidi kutudhalilisha wanauchumi.
 
Ukweli ndiyo huo hongera sana.
 
Kuanzisha sio kutekeleza ndio maana Kwa miaka 6 alifanikisha vipande 3 Kwa kusua sua na kuleta visingizio

The same applies Kwa bwawa,alikuwa ana struggle kwenye 30% Kwa sababu hana pesa.

Mwisho kwani ilikuwa lazima hayo uliyoyataja yafanyike? Kuna mahala yalikuwa kwenye vision ya Nchi? Si ni utashi tuu wake binafsi.

Kama sio hayo yangefanyika mengine.Unaongelea daraja as if bila Daraja Maisha hayaendi huko Mwanza au with Daraja itaongeza thamani saana kwenye maisha ya watu.

Mara nyingi wenye akili ndogo Huwa wanakimbilia miradi ya kupigia picha kama madaraja nk ,huwezi kuwasikia wana deal na m
Program za kuwatoa watu kwenye umaskini kama anavyofanya Rais Samia kwenye Kilimo,Uvuvi na Ufugaji ambako 61% ya Labour force Iko.

Uchumi wa kati sio issue ya mtu mmja Bali ni muendelezo wa kule tulikotoka Kwa sababu uchumi Kwa miaka yote hapa Tanzania Huwa unakua na hivyo itafika pont tutafikia uchumi wa Kati wa Juu.

Pili wewe unajiita economist wakati ni mbumbumbu wa Uchumi,huelewi hata maana ya Uchumi wa kati unaropoka tuu.Ni.lini Tzn imeshuka kutoka Lower Middle Income Hadi Poor country? Acha kujiita economist wewe unatia aibu.

Samia haitajiekuiba uchaguzi ana maelfu ya utitiri wa miradi na program za kuonesha kuanzia miradi aliyoanzisha Mwendazake Hadi aliyoanzisha yeye,Ajira, biashara, uwekezaji, miundombinu,Elimu,maji,nk.

Kiufupi hakuna awamu imewahi pump pesa majimboni kama awamu ya 6,unaelewa Hilo?
 
Kunako majaaliwa ungeongezea mkuu!!

Ya Mungu mengi!
 
Rais Samiah ameanzisha mradi gani zaidi ya kuuza bandari kwa wajomba zake?
 
Rais Samiah ameanzisha mradi gani zaidi ya kuuza bandari kwa wajomba zake?
Mbumbumbu kama wewe mko wengi sana.

Wala sihitaji kusimulia orodha hapa nitajaza seva,nakupa issue Moja tuu.

Bajeti ya Kilimo kutoa bil.297 Hadi Bil.970

Bajeti ya Barabara(TARURA) kutona bil.250 Hadi Bil.800

We Kwa akili zako fupi unadhani awamu ipo Ina miradi Mingi hapo hata kabla g kutajiwa?
 
Bajeti za Kilimo zilikuwepo tangu enzi za mkoloni,Barabara nyingi zimejengwa tangu awamu ya tatu,nne na tano,wewe mwenye akili ndefu ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa unanyonya?
 
Bajeti za Kilimo zilikuwepo tangu enzi za mkoloni,Barabara nyingi zimejengwa tangu awamu ya tatu,nne na tano,wewe mwenye akili ndefu ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa unanyonya?
😁😁😁😁 Zilikuwepo Kwa kiasi gani? Na kama Zilikuwepo Kwa nini hazikuleta mapinduzi ya Kilimo?

Nimekupa swali hapo sihitaji maelezo yasiyo na maana, Bajeti ya Tarura kutoka Bil.270 Hadi Bil 800 on the same first year alipoanza.

Wewe Kwa akili Yako ya kimbumbumbu ni nani Kati ya Mwendazake na Mama ataje ga Barabara nyingi Kwa kipindi chake? Nipe jibu sihitaji blaa blaa zisizo na msingi.
 
Kwani amefuta IGA iliyokataliwa na Watanganyika?

HATOGOMBEA!!
 
Umeongea vyema sana ndugu Choice variable!!

Wakati wafanyabiashara wakikosa dollar kuagizia bidhaa nje,

Dollar za kusafirisha viongozi wetu nje ya nchi kuzurura zinapatikana.
 
Umeongea vyema sana,

Wakati wafanyabiashara wakikosa dollar kuagizia bidhaa nje,

Dollar za kusafirisha viongozi wetu nje ya nchi kuzurura zinapatikana.
Bidhaa gani imekosekana sokoni? Cha kufahamu ni kwamba sio kila bidhaa utapata Dola, zingine zalisheni humu humu ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…