Ni AMRI au ushauri?Bidhaa gani imekosekana sokoni? Cha kufahamu ni kwamba sio kila bidhaa utapata Dola, zingine zalisheni humu humu ndani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni AMRI au ushauri?Bidhaa gani imekosekana sokoni? Cha kufahamu ni kwamba sio kila bidhaa utapata Dola, zingine zalisheni humu humu ndani.
Kuna wakati wabunge wa CCM walisema kwa Magufuli, atake asitake atagombea tuKwani amefuta IGA iliyokataliwa na Watanganyika?
HATOGOMBEA!!
Uyu pamoja ni rais , anaenda kuiachia fedhea kubwa sana ccm endapo uchaguzi ukifanyikaKuna watu wanajipigia mahesabu kugombea 2025.
Mama Samia bado ndiye best option kuendelea urais.
Stability ya kiuchumi iliyopo tusiiyumbishe, Issues zilizokuwepo bado mama amezimudu.
Kina Mwigulu, January, Mpina na hata wale wanaoenda kimyakimya kama simba mawindoni, muachieni mama Samia amalize kile alichokianza.
Sasa wale msionielewa msije niua buree, kwa hizi ndogo ndogo sina maokoto!
Mama Samia for 2025!
Kwani utamaduni wa CCM ukoje juu ya mihula miwili ya utawala? Mikutano mikuu ilimpitisha JPM akaingia katika kinyang'anyiro na wagombea kutoka vyama vingine vya kisiasa katika vipindi viwili tofauti kati ya 2015-20 na kisha 2020-25. Kama ilivyokuwa ada ndani ya chama hiki muhula wake wa pili hakupambanishwa na mtia nia mwingine awaye yeyote yule.Mkuu , umeleta uzi mfupi lakini mzito na unaeleweka hasaa..!!
Mimi kunawatu natamani awatulize kisayansi tu, maana hao uliowataja hapo asiwachulie poa.
Una dalili za kulewa demokrasia.Uyu pamoja ni rais , anaenda kuiachia fedhea kubwa sana ccm endapo uchaguzi ukifanyika
Sawa sasa kikowapi?, unazungumzia nini alifanya kuliko wapi alipo, so naongea ujasiri mkubwa tu , uyu atakua mwenyekiti wa kwanza kuiachia fedhea kuu ccm.Una dalili za kulewa demokrasia.
Wakati wa Magufuli aliwachagulia hadi wabunge, hakuna aliyesema fyoko.
CCM si ilikuwepo?
Atakayechukua fomu na kuchaguliwa na wananchi.Unachoangaika nacho ni uchawa na kujifariji baada yakuona unayemtaka uwezo mdogo ndo maana muda bado mnaanza kuweweseka.Wewe usiyekuwa MPUMBAVU WAHED ulitaka nani wae mgombea 2025?
Acha ujinga.Kwahiyo akifa itakuaje?.Kwani magu asingefarik huyo mama ungemwona anafaa,yoyote anaweza kuongoza acha ufala.Una lolote chawa wewe.Wewe Sasa ndio mpumbavu,Rais sio mtu wa majaribio kwamba Kila mtu hata mbumbumbu na wajinga kama wewe eti mnaweza Kugombea.
Kama huna hoja pita huko.
Ndio maana Kuna VP paleAcha ujinga.Kwahiyo akifa itakuaje?.Kwani magu asingefarik huyo mama ungemwona anafaa,yoyote anaweza kuongoza acha ufala.Una lolote chawa wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
DIRECT CHALLENGE-Nitajie yule unaona atachukua form ya kugombea Urais.Atakayechukua fomu na kuchaguliwa na wananchi.Unachoangaika nacho ni uchawa na kujifariji baada yakuona unayemtaka uwezo mdogo ndo maana muda bado mnaanza kuweweseka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambaye utashangaa ni wewe!Sawa sasa kikowapi?, unazungumzia nini alifanya kuliko wapi alipo, so naongea ujasiri mkubwa tu , uyu atakua mwenyekiti wa kwanza kuiachia fedhea kuu ccm.
Jidanganyeni kwamba njia za mwendazake alizotumia ndo zitawavusha, hamtakuja kuamini kitakachotokea uchaguzi ukifanyika jana sio leo na leo haiwezi kuwa kesho
Stability ya uchumi? Hey guy are you serious with your pre-coercision?Kuna watu wanajipigia mahesabu kugombea 2025.
Mama Samia bado ndiye best option kuendelea urais.
Stability ya kiuchumi iliyopo tusiiyumbishe, Issues zilizokuwepo bado mama amezimudu.
Kina Mwigulu, January, Mpina na hata wale wanaoenda kimyakimya kama simba mawindoni, muachieni mama Samia amalize kile alichokianza.
Sasa wale msionielewa msije niua buree, kwa hizi ndogo ndogo sina maokoto!
Mama Samia for 2025!
If you can't see the opportunitiesStability ya uchumi? Hey guy are you serious with your pre-coercision?
No, she doesn't fit steering Tanzania further...Period!!
You are on the dark glimpse, thus lost destination down the abyss of monsters!!!If you can't see the opportunities
If you think there is someone higher up to breastfeed you
If you stay put and expect handouts and bonuses
Man, then you are in the wrong Tanzania.
Rhetorics will only make you poorer, try filling your coffers, while you can.You are on the dark glimpse, thus lost destination down the abyss of monsters!!!
You are one of the beneficiaries of the regime thereby behaving with sheer evil by propagating economic booming while it is vice versa. You must be a hardcore crook tapping the country's wealth for personal advantage while depriving the indigenous right to challenge your poor administration of the sitting regime.Rhetorics will only make you poorer, try filling your coffers, while you can.
Thats a stupid way of looking at things.You are one of the beneficiaries of the regime thereby behaving with sheer evil by propagating economic booming while it is vice versa. You must be a hardcore crook tapping the country's wealth for personal advantage while depriving the indigenous right to challenge your poor administration of the sitting regime.
RubbishThats a stupid way of looking at things.
If you have NO firm to scout oppurtunities, you pay no taxes, and yet expect handouts , that's your problem buddy.
Mkuu mpashe huyo jamaa!Mbumbumbu kama wewe mko wengi sana.
Wala sihitaji kusimulia orodha hapa nitajaza seva,nakupa issue Moja tuu.
Bajeti ya Kilimo kutoa bil.297 Hadi Bil.970
Bajeti ya Barabara(TARURA) kutona bil.250 Hadi Bil.800
We Kwa akili zako fupi unadhani awamu ipo Ina miradi Mingi hapo hata kabla g kutajiwa?