#COVID19 President Samia hires Tony Blair to help in the fight against COVID-19, and rebuild the country's reputation

Sheria zote mbili ni za kifisadi na ya mk*per tayari imebatilishwa!! Wawekezaji walikuwa hawalipi kodi!! Kulikuwa na loop holes kibao za kukwepa kodi!! Kila mwaka wanadai kutokupata faida!! Na hilo haulijui? Hata kama ni mnufaika wa ufisadi huo hata ka aibu hauna?
 
Poor Tanzanian, we are in slave again.
 
Umeshindwa kujibu! Umeshindwa kujibu kwa sababu HUIJUI!! Na kwavile huijui ndo umesema sheria zote MBILI wakati zipo 3!

Hakuna sehemu nyepesi kuwa mwanasiasa kama Tanzania kwa sababu watu waambie chochote kile, watakimeza bila hata kufanya utafiti!! Halafu huwa hamtaki kujifunza! Back in the days mlikuwa mnadanganywa kwamba Kigamboni ameuziwa Bush na anataka kuweka kambi za Kijeshi, na watu mkameza huo uongo!!

Sasa kabla hamjaenda kupata ajira kwenye kambi za kijeshi za Marekani huko Kigamboni, leo mnaambiwa gesi yote imeuzwa, nanyi mnakubali tu kama mlivyokubali kuhusu kuuzwa kwa Kigamboni!!
 
Acha kuishi kwa kuamini ushirikina na umbeya wa vijarida vya udaku! Aliyekuambia TB ni satanist ni nani?
 
Na hivi vitofali vya hizi siku 3 siyo mchezo, Kile cha jambazi Sabaya (Kijana mpendwa wa marehemu) hadi leo hakina majibu!! Hadi sasa naweza sema wazalendo uchwara wanachezewa robo uwanja (Ball possession <5%)
 
Uzuri historia huwa inajirudia...mark my words

Mkuu nowadays JF imekuwa na wajinga wengi sana wasiotumia akili au tuseme hawana maarifa, halafu wao hujikuta ni wajuvi Wa mambo.
Siasa zimeharibu sana jamii yetu.
Don’t engage with them. Let them enjoy their stupidity.
 

Mkuu, Itoshe kusema wewe ni mjinga.
 
Namuona Kikwete Akimpendekeza Blair kwa mama!!Naamini Blair alianza kuwa Rafiki mzuri kwa Kikwete kabla ya Samia!!!
 
, ni Tanzanian Professionals wangapi wenye uwezo wa kupiga hodi na kufunguliwa kwa mikono miwili pale Belinda & Gates Foundation!
Nakuhakikishia ninamjua mtanzania mmoja tena bado kijana anaweza upiga hodi hapo.
===
Kuhusu maelezo mengine uliyonipa nashukuru. Lakini maswai yaliyojitokeza ngoja niendelee kufuatilia uzi huu.
 
Anamlipa kiasi au kitu gani in return?
 
Very disappointing! Why Tony Blair and not the WHO?
 

Hio gas ambayo mikataba ilikuwa ya hovyo mpaka JPM ikabidi afunge mafile yao kwanza…stop being a puppet know your worth…hii nchi simply ilifanywa shamba la bibi mikataba wanaandika wenyewe mnakuja kusainishwa hv mkuu unaongea nini…

Aisee mimi naona umeweka akili yako mfukoni unaamua kujiongelea tu..feasibility study ni stage za awali sana kwenye mradi, pesa inatokaje hata design bado eti acheni kujenga maana unaingia utawala mwingine mkuu unanichekesha kweli
 
Hio gas ambayo mikataba ilikuwa ya hovyo mpaka JPM ikabidi afunge mafile yao kwanza…stop being a puppet know your worth…hii nchi simply ilifanywa shamba la bibi mikataba wanaandika wenyewe mnakuja kusainishwa hv mkuu unaongea nini…
Hivi nyie sio ndo mlikuwa mnaeneza uongo kwamba eti Wachina wameipoka Bandari ya Sri Lanka na kwahiyo hata ya Bagamoyo wataichukua?

Mwenzako mmoja nimemwambia anitajie angalau sheria inasemaje kuhusu umiliki wa gas, AMESHINDWA kutaja kwa sababu hakuna lolote analojua!!

Hata wewe mwenyewe nikikuambia taja hiyo sheria inasemaje, na Magu amebadilisha nini, NINA UHAKIKA KWA 100% huwezi kutaja kwa sababu hujui lolote zaidi ya kusikiliza maneno ya vichochoroni! Na kama nakusingizia, taja hapa sheria ya 2015 inasemaje kuhusu umiliki!!!
Aisee mimi naona umeweka akili yako mfukoni unaamua kujiongelea tu..feasibility study ni stage za awali sana kwenye mradi, pesa inatokaje hata design bado eti acheni kujenga maana unaingia utawala mwingine mkuu unanichekesha kweli
Typpical JPM Supporter!!!

Hivi unasoma na kuelewa wapi?

Yaani mradi uliokuwa tayari ku-take off, baada ya mkandarasi na funding kupatikana unaita feasibility study? Hivi unajua hata maana ya feasibility study wewe? Reuters hawa hapa...
Does it sound like it's on feasibility study phase?

Nasema hivi... mlikuwa mnadanganywa kwa sababu you don't know what's going on, na mlikuwa hamjishughulishi kutafuta ukweli.

Halafu unashindwa hata kutumia common sense!! Hivi unajua design inaweza kuchukua muda gani?! Yaani hata design ilikuwa bado but still JPM akaweza kuanza mradi kwa muda alioanza? Ajabu nyingine ni watu wa aina yako mliokuwa mnasema mradi wa reli kwa Mchina ulikuwa wa kifisadi! Sasa ina maana Mchina alipewa tenda ya kujenga kabla ya design?

Sasa kama mimi naweka akili mfukoni, wewe unayeshindwa kufahamu hata jambo dogo kama hili sijui utakuwa unaweka wapi akili yako!!
 
Yaani mishahara waliyokuwa wanalipwa, only God knows walikuwa wana-survive vipi!
Kama tutakuwa tunajadili kwa kunyoosheana vidole, tunaweza tusifikie muafaka. Ila tukijikita kwenye utaifa na uhalisia, basi tunafika sehemu tukauona ukweli.

Ukisema mwenye mtazamo huu ni mfuasi/shabiki wa JPM, na yeye akasema kwakuwa waliminywa kipindi cha JPM ni genge la wa Msoga, basi hakutakuwa na hoja zenye afya hapa.

Kwakuwa uko kwenye taasisi za kifedha, ni ninj kinakupa uhitaji wa kuajiri? Wasomi waliojaa mitaani, uwiano wa kazi kwa watu waliopo kazini? Matakwa ya kisiasa? Uchumi wa nchi?

Ikifanya tathmini, kuanzia wizarani, kila mtu anatimiza majukumu yake vizuri na kwa kiwango cha majukumu aliyosaini, kuna gap litakalohitaji kuajiri? Kwa kiasi gani? Kwanini hawaajiri?

Taasisi binafsi, mtu mmoja anapiga kazi za watu hata wanne walioko serikalini, kazi zinaenda, efficiency inaonekana, mambo ni tofauti sana na huko serikalini, wizi upo kwa efficacy timilifu kabisa.

Mashirika ya umma, kuyabinafsisha haikuwa kosa, labda utaratibu uliotumika ndo ulikuwa kosa (Tanesco kuweka chini ya NetGroup haikuwa imeuzwa unless kama utasema iliuzwa kwa kiasi gani na kwa nani). Kwa mfumo wa kiserikali, hakuna shirika lolote litakalojiendesha kwa tija na hasa kama linahusika na uzalishaji au utoaji huduma kwa jamii, sababu zilizomfanya Samia aseme pesa alizokopa kwaajili ya corona, zisipitie utaratibu wa kawaida na uliozoeleka kwenye matumizi yake ndo sababu hizo hizo zinazokwamisha taasisi zote za serikali.

Kuondoa pesa mtaani, sidhani kama kunahusiana na umasikini, hali ya nchi iko hivyo, anzia kwenye bajeti ya nchi, useme inawezekana vipi pesa zijae mtaani? Kwa utaalamu wako kwenye fedha, inapaswa kuwa vipi hapa? Tukope, tusambaze pesa mtaani, zikae kiholela tayari kwa upigaji, ndio maendeleo? Watu wanafanya kazi zaidi ya moja, mpaka masaa 18 kwa siku iki kuipata hiyo fedha, sisi tunataka iwepo tu mtaani kwa kwenda ofisini kunyanyasa wananchi na kuhudhuria semina na warsha zisizo na tija? Uhalisia ni huo, Mwinyi na Kikwete wamemwaga pesa, wametengeneza majizi na wao wakiwa sehemu ya upigaji, nchi ilipiga hatua gani?
 
Hapa ndipo nimeelewa kuwa kama kuwa MISINFORMED, basi ni wote na sipaswi tena kuona kama unajadili hoja kwa dhati ya utaifa ila ushabiki, kwamba ni miongoni mwa wanufaika wa yasiyofaa.

Kwamba hujui kuwa gesi imeuzwa? SONGAS, PANAFRICAN, yote hayo hujui? Unadhani Tanesco anatumia gesi bure bure, unadhani kwanini kabla ya bomba la Mtwara Tanesco ilikuwa inapewa gesi endapo tu ipo ya ziada kwenye pipeline? Unadhani kwanini JPM alikataa kuwaongezea muda wa kuendelea kukaa hapa hao akina SONGAS? 2024 ilikuwa iwe mwisho, ila Msoga theory imerudi kwa nguvu, January na mama wamesema wanenda kuiangalia upya mikataba iliyokwama, ipo 17 sio?

Endelezeni mlipoishia, na nadhani ndio maana halisi ya KAZI IENDELEE. Mtaishi milele sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…