Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

Mimi zamani nlikuwa mpenzi sana wa filamu za hawa super heroes sijui spiderman, Iron man, enzi za superman, sijui captain america nashangaa nilipoteza interest kwenye hizi movies ghafla tu.
Hiyo movie ya wakanda sijawahi itazama nilihisi kama wanaikuza tu sema itabidi niitafute niitazame huenda nimekosa kitu hapo.
Nmeanz hata fuatilia fast and furious maana nayo naona kama imepoteza ladha.
Mimi kwenye movies ukiachilia mbali story na action, napenda dialogues na dialogues nzuri mara nyingi nazipata kwenye ma movie yenye setting za kizamani kama GOT, house of the dragons, Spartacus, Troy.
Yani zile dialogues uwa naona kila mstari naweza kuufanya quote
Kuhusu kupoteza interest kwenye superhero genre can't argue with you.

Nami kiukweli napenda sana Diologue ndio maana GOT inabaki kua series yako pendwa ila kusema ukweli House of Dragon haina Diologue zilizosimamia kucha kama za GOT. Jana nimeangalia series ya See S3 nimejikuta napenda Writing zake very fascinating. Naomba utafute Anime ya Attack On Titan nakuambia kama hujaitazama utapenda action na Writing zake. Aisee walituliza vichwa kuandika madini kwa kila character.

Cc.
Dream Queen
 
Yani sio ubaguzi.
Ni kwamba watu weusi wamepewa Superiority ..kwamba mtu mweusi mnamtazama kwa jicho la udhaifu , badala yake kumbe ni mtu advanced
Hiko nadhani kimewakwaza wazungu, na kwa mantiki hio wakaona ndio ubaguzi
Wakati muvi inatoka wengi ambao hawakusoma comic walidhani muvi itakua inahusu character fulani ambao wanaishi maisha duni. Ndio maanamuvi ilipotoka kuna watu walifungua nyuzi humu kwamba hii muvi haiakisi maisha halisi ya mwafrika ambayo ni duni
 
Hakuna sehemu kwenye historia ya ulimwengu race nyeusi ilikua oppressor kwa race zingine. Yaani mkuu wewe chunguza Theaterical Release Poster za Muvi kwenye mataifa mengine lazima yatofautiane na ya China hasa kama muvi ina character weusi.
Inafikirisha sana
 
Wakati muvi inatoka wengi ambao hawakusoma comic walidhani muvi itakua inahusu character fulani ambao wanaishi maisha duni. Ndio maanamuvi ilipotoka kuna watu walifungua nyuzi humu kwamba hii muvi haiakisi maisha halisi ya mwafrika ambayo ni duni
Khaa mpaka humu walishaletaga hoja [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Picha gani mbaya wamepewa ambayo si halisi??
Maana context ya muvi inahusu Killmonger anataka atumie siraha walizonazo kufund vikundi vya waafrika wanao kandamizwa na wazungu(Oppressors). Ila Tchala alikua anapinga hilo

Je waafrika hawakandamizwi na kubaguliwa na wazungu??

Unajua kwamba ili hii muvi ya BP ionyeshwe kwenye kumbi za china ilibidi character weusi wote wafichwe rangi zao halisi. Sio tu kwenye hiii hata kwenye muvi ya Star Wars ilibidi wafiche sura ya John Boyagga. Coz hakuna mchina angeenda cinema kuangalia muvi ambayo lead character ni mweusi
Ooh nilisikia hiyo ya China. Lakini bado pia haikufanya vizuri huko.
 
Yani sio ubaguzi.
Ni kwamba watu weusi wamepewa Superiority ..kwamba mtu mweusi mnamtazama kwa jicho la udhaifu , badala yake kumbe ni mtu advanced
Hiko nadhani kimewakwaza wazungu, na kwa mantiki hio wakaona ndio ubaguzi
Itabidi niitafute niiangalie. Asante dear.
 
Hii movie iko overrated sanaaa. Anyway ni kwasababu watu weusi waliitaji marvel movie inayowahusu wakaipata
 
Privacy kwenye mambo yako ni jambo zuri lakini sometimes hutakiwi kuficha mambo unayoyapitia hasa magonjwa. Chad kagundulika Ana Cancer stage 3 mwaka 2016 lakini hata hakusema popote. Kaendelea na uigizaji bila kuwaambia waandaaji wake ambapo alikua anatumia Energy kubwa ikafika hatua wakiwa kwenye mjumuiko wa watu kakaa anakua anataka kuanguka. Ila hasemi, lastly alivyoanza kukonda mwili watu wakajua tayari kajiingiza kwenye Drugs wakaanza kumsema vibaya ila hakujibu baada ya wiki kadhaa tulijuzwa tu kifo chake. Sad😢
View attachment 2401469
Ilinichukua muda sana ku move on na kifo cha huyu jamaa. Nikiangalia picha zake za mwishoni alivyokonda na wazungu walivyoanza kumnanga bila kujua he was dying inside. Aisee
 
Ooh nilisikia hiyo ya China. Lakini bado pia haikufanya vizuri huko.
Now you see!!
Kama hii muvi inawabagua na kuwapotray wazungu vibaya basi mimi naweza kukuwekea muvi kibao za wazungu dhidi ya waafrika. Mbali na hapo naweza kukuwekea ushahidi jinsi wazungu wanawakandamiza weusi.

Eg. Miezi iliyopita Director wa hii muvi Ryan Coogler alishikwa na polisi kimakosa kwakua ni mweusi basi walijua atakua ni mwizi
 
Mimi zamani nlikuwa mpenzi sana wa filamu za hawa super heroes sijui spiderman, Iron man, enzi za superman, sijui captain america nashangaa nilipoteza interest kwenye hizi movies ghafla tu.
Hiyo movie ya wakanda sijawahi itazama nilihisi kama wanaikuza tu sema itabidi niitafute niitazame huenda nimekosa kitu hapo.
Nmeanz hata fuatilia fast and furious maana nayo naona kama imepoteza ladha.
Mimi kwenye movies ukiachilia mbali story na action, napenda dialogues na dialogues nzuri mara nyingi nazipata kwenye ma movie yenye setting za kizamani kama GOT, house of the dragons, Spartacus, Troy.
Yani zile dialogues uwa naona kila mstari naweza kuufanya quote
Hata mimi napenda sana dialogues ,ndio maana za kikorea hunitoi haswa historical wana madini sana .
 
Nyie mtawaongelea wote ila Thanos ndio kiboko yao
 
Thanos ni kiboko yao kivipi mkuu??
kwa kila kitu
haongei sana ila
alichofanya kupunguza nusu ya ulimwengu alikuwa sahihi hadi wapuuzi wakina PP na BP walipoondoka kukawa na amani kabisa
thor akawa mlèvi
TS akatulia na mkewe hadi akapata mtoto
mambo yalikuwa safi sana yaani
 
Kama unataka kurudi Cheki the Batman 2022 na Logan naona ziko serious na good dialogue
Mimi zamani nlikuwa mpenzi sana wa filamu za hawa super heroes sijui spiderman, Iron man, enzi za superman, sijui captain america nashangaa nilipoteza interest kwenye hizi movies ghafla tu.
Hiyo movie ya wakanda sijawahi itazama nilihisi kama wanaikuza tu sema itabidi niitafute niitazame huenda nimekosa kitu hapo.
Nmeanz hata fuatilia fast and furious maana nayo naona kama imepoteza ladha.
Mimi kwenye movies ukiachilia mbali story na action, napenda dialogues na dialogues nzuri mara nyingi nazipata kwenye ma movie yenye setting za kizamani kama GOT, house of the dragons, Spartacus, Troy.
Yani zile dialogues uwa naona kila mstari naweza kuufanya quote
 
1667201707820.png

View attachment 2401469
Nilikuwa sijawahi ona picha za jamaa akiwa katika hali hii. Zimeniumiza sana. RIP Mwamba.
 
Back
Top Bottom