Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu kupoteza interest kwenye superhero genre can't argue with you.Mimi zamani nlikuwa mpenzi sana wa filamu za hawa super heroes sijui spiderman, Iron man, enzi za superman, sijui captain america nashangaa nilipoteza interest kwenye hizi movies ghafla tu.
Hiyo movie ya wakanda sijawahi itazama nilihisi kama wanaikuza tu sema itabidi niitafute niitazame huenda nimekosa kitu hapo.
Nmeanz hata fuatilia fast and furious maana nayo naona kama imepoteza ladha.
Mimi kwenye movies ukiachilia mbali story na action, napenda dialogues na dialogues nzuri mara nyingi nazipata kwenye ma movie yenye setting za kizamani kama GOT, house of the dragons, Spartacus, Troy.
Yani zile dialogues uwa naona kila mstari naweza kuufanya quote
Wakati muvi inatoka wengi ambao hawakusoma comic walidhani muvi itakua inahusu character fulani ambao wanaishi maisha duni. Ndio maanamuvi ilipotoka kuna watu walifungua nyuzi humu kwamba hii muvi haiakisi maisha halisi ya mwafrika ambayo ni duniYani sio ubaguzi.
Ni kwamba watu weusi wamepewa Superiority ..kwamba mtu mweusi mnamtazama kwa jicho la udhaifu , badala yake kumbe ni mtu advanced
Hiko nadhani kimewakwaza wazungu, na kwa mantiki hio wakaona ndio ubaguzi
Inafikirisha sanaHakuna sehemu kwenye historia ya ulimwengu race nyeusi ilikua oppressor kwa race zingine. Yaani mkuu wewe chunguza Theaterical Release Poster za Muvi kwenye mataifa mengine lazima yatofautiane na ya China hasa kama muvi ina character weusi.
Khaa mpaka humu walishaletaga hoja [emoji23][emoji23][emoji23]Wakati muvi inatoka wengi ambao hawakusoma comic walidhani muvi itakua inahusu character fulani ambao wanaishi maisha duni. Ndio maanamuvi ilipotoka kuna watu walifungua nyuzi humu kwamba hii muvi haiakisi maisha halisi ya mwafrika ambayo ni duni
Ooh nilisikia hiyo ya China. Lakini bado pia haikufanya vizuri huko.Picha gani mbaya wamepewa ambayo si halisi??
Maana context ya muvi inahusu Killmonger anataka atumie siraha walizonazo kufund vikundi vya waafrika wanao kandamizwa na wazungu(Oppressors). Ila Tchala alikua anapinga hilo
Je waafrika hawakandamizwi na kubaguliwa na wazungu??
Unajua kwamba ili hii muvi ya BP ionyeshwe kwenye kumbi za china ilibidi character weusi wote wafichwe rangi zao halisi. Sio tu kwenye hiii hata kwenye muvi ya Star Wars ilibidi wafiche sura ya John Boyagga. Coz hakuna mchina angeenda cinema kuangalia muvi ambayo lead character ni mweusi
Itabidi niitafute niiangalie. Asante dear.Yani sio ubaguzi.
Ni kwamba watu weusi wamepewa Superiority ..kwamba mtu mweusi mnamtazama kwa jicho la udhaifu , badala yake kumbe ni mtu advanced
Hiko nadhani kimewakwaza wazungu, na kwa mantiki hio wakaona ndio ubaguzi
Ilinichukua muda sana ku move on na kifo cha huyu jamaa. Nikiangalia picha zake za mwishoni alivyokonda na wazungu walivyoanza kumnanga bila kujua he was dying inside. AiseePrivacy kwenye mambo yako ni jambo zuri lakini sometimes hutakiwi kuficha mambo unayoyapitia hasa magonjwa. Chad kagundulika Ana Cancer stage 3 mwaka 2016 lakini hata hakusema popote. Kaendelea na uigizaji bila kuwaambia waandaaji wake ambapo alikua anatumia Energy kubwa ikafika hatua wakiwa kwenye mjumuiko wa watu kakaa anakua anataka kuanguka. Ila hasemi, lastly alivyoanza kukonda mwili watu wakajua tayari kajiingiza kwenye Drugs wakaanza kumsema vibaya ila hakujibu baada ya wiki kadhaa tulijuzwa tu kifo chake. Sad😢
View attachment 2401469
Now you see!!Ooh nilisikia hiyo ya China. Lakini bado pia haikufanya vizuri huko.
Hata mimi napenda sana dialogues ,ndio maana za kikorea hunitoi haswa historical wana madini sana .Mimi zamani nlikuwa mpenzi sana wa filamu za hawa super heroes sijui spiderman, Iron man, enzi za superman, sijui captain america nashangaa nilipoteza interest kwenye hizi movies ghafla tu.
Hiyo movie ya wakanda sijawahi itazama nilihisi kama wanaikuza tu sema itabidi niitafute niitazame huenda nimekosa kitu hapo.
Nmeanz hata fuatilia fast and furious maana nayo naona kama imepoteza ladha.
Mimi kwenye movies ukiachilia mbali story na action, napenda dialogues na dialogues nzuri mara nyingi nazipata kwenye ma movie yenye setting za kizamani kama GOT, house of the dragons, Spartacus, Troy.
Yani zile dialogues uwa naona kila mstari naweza kuufanya quote
kwa kila kituThanos ni kiboko yao kivipi mkuu??
Mimi zamani nlikuwa mpenzi sana wa filamu za hawa super heroes sijui spiderman, Iron man, enzi za superman, sijui captain america nashangaa nilipoteza interest kwenye hizi movies ghafla tu.
Hiyo movie ya wakanda sijawahi itazama nilihisi kama wanaikuza tu sema itabidi niitafute niitazame huenda nimekosa kitu hapo.
Nmeanz hata fuatilia fast and furious maana nayo naona kama imepoteza ladha.
Mimi kwenye movies ukiachilia mbali story na action, napenda dialogues na dialogues nzuri mara nyingi nazipata kwenye ma movie yenye setting za kizamani kama GOT, house of the dragons, Spartacus, Troy.
Yani zile dialogues uwa naona kila mstari naweza kuufanya quote
Nilikuwa sijawahi ona picha za jamaa akiwa katika hali hii. Zimeniumiza sana. RIP Mwamba.