Prigozhin na Wagner yake asitisha uasi

Sawali langu ni kwanini pro Russia wengi mnapenda kwenda kutafuta maisha marekani na sio Russia kwa putin????
 
Kwani mkuu muasisi wa Wagner group Ltd unamjua?????
 
Akili zako za chekechea ...ukisikia kuchapa hapa namaanisha kuchapana
Mkuu nasikia marekani wanategemea kuuziwa silaha na urusi,,,je ni kweli mkuu??? Nasikia hata bunduki waga wananunua kutoka urusi na mabomu ya nyukilia???
 
Uasi mutiny hata wa dakika moja ni AIBU KWA TAIFA KUBWA kama Urusi yaani imekuwa sawa na SUDAN au Congo, shame to dictator muuaji Putin.
Unaonesha umekataa kutumia akili.uasi gani wananchi walikuwa wanapiga selfie na wanajeshi na magari ya vita.wewe kwa akili yako ulidhani hao jamaa wanauwezo wa kumpindua hata mkuu wa mkoa?
 
Mkuu nasikia marekani wanategemea kuuziwa silaha na urusi,,,je ni kweli mkuu??? Nasikia hata bunduki waga wananunua kutoka urusi na mabomu ya nyukilia???
Sijui ila hata urussi inatamani kununua silaha za marekani . Sababu ni kuzifanyia utafiti na kupata ufumbuzi wa kuziangamiza au kuunda wao bora kuliko hizo .. .ndiyo maana hata iran inamuomba urussi sampuli za silaha za marekani wanazo teka ukrain ...mara nyingi marekani imekuwa ikinunua silaha za mrusi kwa kupitia mgongo wa nyuma ili kuzifanyia uchunguzi
 
Huo ulikuwa ni mchezo wa Russia, baada ya hapa wasaliti halisi waliojipendekeza nadhani wataliwa vichwa.
Vita akili, wakati fulani ni ngumu kumfahamu adui wa kweli na rafiki wakweli,hivyo wakati kama huo yafaa itafute njia bora ya kuwatambua maadui na marafiki wa kweli😂.Katika hili huenda Mrusi kafauli, mabeberu vichwa box wamekataa viti virefu wakishangilia movie na popcorn juu🍿
 
Ikiwa ni hivyo basi serikali ya Urusi inaongozwa kama kundi la mafia.
Prigozin aliwahi kukaa jela miaka kibao, Surovikin aliwahi kukaa vitani, Kadyrov nae ana utata wake. Russia ni nchi ya kimafia so bila kuwa na kiongozi mafia kama Putin nchi haiendi
 
Aisee
 
Alasalaleee!! Mkosi Gani huuu! Nilijua Putin must go!
 
Unapoongea tunza akiba ya kesho , Putin ni shetan muuaji ila ni mtu smart mno kwenye kuongea , anajua kuna muda wa kucheza hutoeza cheka vzr , Ndio maana Putin kawachota wajinga wengi kwny hii vita yake chafu
Sawasawa 👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…