Huu ukoloni mweusi tumeshachoka nao,mzee kifimbo cheza katuletea umasikini+ufukara,tuachiwe tupumueeeeee...
Mazindu Msambule
Kwa nyinyi watanganyika sulatan ni mbaya kwa sisi wazanzibari ni mzuri tena sana sana sana kupita kipimo,
leo hii ukiwauliza wazanzibari sio wazanzibara (wazanzibara waliletwa kufanya makazi tu) nani bora awe mtawala wa zanzibar....sultan au tanganyika....basi mia fil mia watachaguwa sulatan.
sisi wazanzibari hatusikii kama ni waafrika the way u ppl think u are
Kwa ufupi tu Mazindu Msambule, sisi wazanzibari hatuna problem na sulatan na hilo ninakuomba uwaambie watanganyika wenzako woooooooooote, tia magazeti kauli hiyo
Nyinyi watanganyika ni mahuluku shida tu, ugaidi wenu umo ndnai ya vyama vyenu vya siasa CCM, CDM na vitakavokuja baadae, humo ndio munamoteswa na kuuliwa huku munapiga makofi
Last ujuwe kila unaposoma makala zangu mimi kama mzanzibari ni PRO SULATAN 100% na hatutaki muungano na tanganyika
bora kutawaliwa na waarabu matajiri na wenye kujuwa thamani ya mali na vitu kuliko watanganyika masikini na wasiojuwa thamani ya mali na vitu................kazi yenu udini njaa tu..........
Kinachoisumbua Zanzibar ni Uarabu na Uafrika. Pro-Arabs (Wazanzibari) (akina Maalim Seif) hawataki Muungano while Pro-Africans (Wazanzibara) ndio wanaotaka Muungano! Otherwise, inakuwaje mtu mzima na akili zake kumtetea kibaraka wa Sultani Mohamed Shamte?
naanza kupata msisitizo wa theory ya huu mchoro japo mwanzoni nilidhani tumebadilika kimawazo baada ya kukaa kwenye Muungano kwa miaka kadhaa na wengine kuzaliwa humo humo.Mazindu Msambule
Kwa nyinyi watanganyika sulatan ni mbaya kwa sisi wazanzibari ni mzuri tena sana sana sana kupita kipimo,
leo hii ukiwauliza wazanzibari sio wazanzibara (wazanzibara waliletwa kufanya makazi tu) nani bora awe mtawala wa zanzibar....sultan au tanganyika....basi mia fil mia watachaguwa sulatan.
sisi wazanzibari hatusikii kama ni waafrika the way u ppl think u are
Kwa ufupi tu Mazindu Msambule, sisi wazanzibari hatuna problem na sulatan na hilo ninakuomba uwaambie watanganyika wenzako woooooooooote, tia magazeti kauli hiyo
Nyinyi watanganyika ni mahuluku shida tu, ugaidi wenu umo ndnai ya vyama vyenu vya siasa CCM, CDM na vitakavokuja baadae, humo ndio munamoteswa na kuuliwa huku munapiga makofi
Last ujuwe kila unaposoma makala zangu mimi kama mzanzibari ni PRO SULATAN 100% na hatutaki muungano na tanganyika
bora kutawaliwa na waarabu matajiri na wenye kujuwa thamani ya mali na vitu kuliko watanganyika masikini na wasiojuwa thamani ya mali na vitu................kazi yenu udini njaa tu..........
Hapana kaka huo ni muono wako tu kuhusu zanzibzr,zanzibar ni kisiwa kwahiyo ina sifa zote za kisiwa,angali jamaika,cape varde,comoro na visiwa nyote duniani utakuta kuwa watu wake wamechanganyika "cosmo politan",na hii ndio sifa ya zanzibar, wazanzibar hawabaguani kwa rangi kwasababu kila mtu kachanganya, kama famili haikuchanganya na muhindi itakuwa imechanganya mwarabu,au mbondei.mzaramo au,mpersia,au mchina au............hakuna kabila, kwa hali hiyo ndio maana ukapitikana utamaduni wa kiswahili,huo ndio ukweli usiopingika,tafakari
Wazanzibari hawasumbuliwi na warabu na wala hawana habari na uarabu,wakati wa miak ya nyuma za siasa za zanzibar kulikuwa na chama kinaitwa UMA Party,ukianagalia hichi chama wafuasi wake wengi kama akina Salim Mohamed Salim aliyekuwa waziri wa UN Tanzania walikuwa ni wazanzibari walichanganya damu na makabila ya asia na walikuwa wanamsimamo mkali wa kumpinga mwarabu
Hata yeye alipokimbia mara ya mwisho alisema "if my people want me back I will certainly go"
[video=youtube_share;7kTuy1cY5GA]http://youtu.be/7kTuy1cY5GA[/video]
Mkuu, Wazanzibari ni wabaguzi wa kufa mtu asikudanganye mtu! Kinachoonekana kuwaunganisha sasa hivi ni "common enemy"
- Muungano!
When Muungano is gone ndio utajua sura halisi ya Zanzibar. Wewe sikiliza speech za Maalim Seif na Uamsho ndio utapata hint ya chuki zilizowajaa "Pro-Arabs!"
Mazindu Msambule
Kwa nyinyi watanganyika sulatan ni mbaya kwa sisi wazanzibari ni mzuri tena sana sana sana kupita kipimo,
leo hii ukiwauliza wazanzibari sio wazanzibara (wazanzibara waliletwa kufanya makazi tu) nani bora awe mtawala wa zanzibar....sultan au tanganyika....basi mia fil mia watachaguwa sulatan.
sisi wazanzibari hatusikii kama ni waafrika the way u ppl think u are
Kwa ufupi tu Mazindu Msambule, sisi wazanzibari hatuna problem na sulatan na hilo ninakuomba uwaambie watanganyika wenzako woooooooooote, tia magazeti kauli hiyo
Nyinyi watanganyika ni mahuluku shida tu, ugaidi wenu umo ndnai ya vyama vyenu vya siasa CCM, CDM na vitakavokuja baadae, humo ndio munamoteswa na kuuliwa huku munapiga makofi
Last ujuwe kila unaposoma makala zangu mimi kama mzanzibari ni PRO SULATAN 100% na hatutaki muungano na tanganyika
bora kutawaliwa na waarabu matajiri na wenye kujuwa thamani ya mali na vitu kuliko watanganyika masikini na wasiojuwa thamani ya mali na vitu................kazi yenu udini njaa tu..........
red/ kaka niko pamoja na wewe 100% lakini kumbuka tu historia ya zanzibar kuwa wazanzibar walipoona wanaadhibiwa na wareno waliona bora wamwite mwarabu kuja kuwasaidia,wakati huo warabu walikuwa na makao makuu Kilwa,hii inamaanisha kuwa zanzibar na wazanibari walikuwepo kabala ya warabu
Mkuu, Wazanzibari ni wabaguzi wa kufa mtu asikudanganye mtu! Kinachoonekana kuwaunganisha sasa hivi ni "common enemy"
- Muungano!
When Muungano is gone ndio utajua sura halisi ya Zanzibar. Wewe sikiliza speech za Maalim Seif na Uamsho ndio utapata hint ya chuki zilizowajaa "Pro-Arabs!"
Mbona katika list hiyo imezungumziwa United Republic of Tanzania (Formerly Tanganyika and Zanzibar) ?
Sasa hicho kiti cha Zanzibar kiko wapi? Au kimetunzwa store?
Member states of the United Nations - Wikipedia, the free encyclopedia
Weye nnan aliye kwambia tunataka muungano na ninyi wez wa raslimali zetu, tumewabeba ishatosha... Kwanza ngekuta sio John okelo mpaka saa hii mngekua mnawachumia waarabu karafu na naz, aikosi weye ni kitukuu cha kitukuu cha sultan seyid said, unanuka biashara ya kuuza watu( ya utumwa). Oman ndo kwenu wala si zenji.

chabuso
Mkuu,
maneno yako mazima sana lakini mwarabu aloitwa kuja kuikombowa zanzibar ya siku hizo alikuwa Sayyed Said Al Saeed kutoka Oman. Siku hivo Waomani walikuwa tayari wamemngoa mreno katika ardhi yao,
Sasa sabau kubwa ya Sayyed Said Al Saeed kukubali ombi hilo ni kwamba hapo zanzibar palikuwa panakaliwa na waarabu. Na hizo habari munazosikia kwamba zanzibar kulikuwa na utawala wa mwinyi mkuu, musibabaishwe na lugha alikuwa ni mwarabu pia View attachment 99862kama picha inavoonesha.
Utawala wa Kilwa ulikuwa chini ya uongozi wa sultan wa zanizbar siku hizo.
Ukitaka kujuwa zaidi juu ya utawala wa kilwa nitakuomba usome kitabu kiitwacho The Arabian Kilwa Chronicles kiloandikwa na Sheikh Muhdin abdullah Al Qahtan, alokuwa Mufti wa zanzibar in 1830s
"wacha kupotosha ukweli, hakuna pro arab wala pro African hapa, wengi wa waZanzibari kwa umoja wetu hatuutaki muungano huu (utawalawa wa Tanganyika dhidi ya Zanzibar), kama kweli mnaupenda muungano basi na tuendeni kwenye mkataba au na tubakie kama majirani wema. kama utawasikiliza hata hao ccm znz basi wanachokitaka pia ni "mkataba" tatizo lugha tu wanazopitia za mzungusho. ndugu yangu LordJustice1! hakuna mZanzibari yeyote aliye tayari kwa muungano wa serikali moja! ingiza katika akili yako hiyo.... Tanganyika na Zanzibar ni nchi mbili tofauti, Alhaj Jumbe, Shk Idriss Abdulwakil, Dr. Salmin Amour, na Dr. Amani Karume wote walitaka "mkataba" seuze Karume Sn. mwenyewe ambaye hadi anafariki hakuwa akipatana na baba yenu wa taifa (hawakuwa wakizungumza hasa) .... Unajua kwa sababu gani??"Kinachoisumbua Zanzibar ni Uarabu na Uafrika. Pro-Arabs (Wazanzibari) (akina Maalim Seif) hawataki Muungano while Pro-Africans (Wazanzibara) ndio wanaotaka Muungano! Otherwise, inakuwaje mtu mzima na akili zake kumtetea kibaraka wa Sultani Mohamed Shamte?