Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hii ndio mbaya zaidiTena kamchongea na Prince William kuwa wote walimuomba baba yao asimuoe Camilla
Hawatamjibu huyoNimeona pia alisema kuwa anataka Kaka na Baba yake wahojiwe kuhusu tuhuma zake juu yao, hataki Ufalme uwajibu bali wahusika.
Kwa ufupi kuoa black american kama sio black american unapotea
Taliban watamuua. Take my words. Yaani huyu will be finished sooner or later.Kaongelea swala la kuua Taliban 25
Hii itamsababishia matatizo huko mbeleni
Ameandika kitabu kuhusu maisha yake.Ila kijana kachanganyikiwa sana mpaka huruma
Sasa anaongelea kila kitu na mengine sio ya kusema kabisa kwani ni private ila kayatoa
Je ni kwa sababu mirija mingi imekata ama?
Mtoto wa mfalme anaishiwa pesa ?Amechanganyikiwa tu ameishiwa hela
Naona mke wake ana matumizi makubwa sana
Ila dogo anaelekea kubaya sijui hata kama atakuja kwenye Coronation ya baba yake maana kawasagia kunguni wote
Na anasema alimwambia baba yake usimuoe Camilla daa
Sasa ataongea nini na mama yake wa kambo?
Taliban hawana Habari nae huyo ila majasusi watamnyamazisha kama mama yakeTaliban watamuua. Take my words. Yaani huyu will be finished sooner or later.
Anazo nyingi mkuu ila zinapunguaMtoto wa mfalme anaishiwa pesa ?
Yule walimkatia mirija yoteMtoto wa mfalme anaishiwa pesa ?
Hivi babake bado kakaza ....si nasikia alimfungulia akaunti zakeIla kijana kachanganyikiwa sana mpaka huruma
Sasa anaongelea kila kitu na mengine sio ya kusema kabisa kwani ni private ila kayatoa
Je ni kwa sababu mirija mingi imekata ama?
Siku moja atamkimbia huyo Me againAmejimaliza
Huyo Harry hawezi kuuliwa....Nina wasiwasi na Meghan[emoji848]Yaani leo nilikuwa nasikiliza mahojiano kwenye Radio watu wamemtolea uvivu mpaka wasemaji wa jeshi wanasema kalivuruga
Huyu dogo usalama watamuua halafu waseme ni Taleban hawachelewi kusema kauwawa
[emoji16][emoji16][emoji38][emoji1787][emoji1787].....Sema Harry kapinda toka zamaniAmechanganyikiwa tu ameishiwa hela
Naona mke wake ana matumizi makubwa sana
Ila dogo anaelekea kubaya sijui hata kama atakuja kwenye Coronation ya baba yake maana kawasagia kunguni wote
Na anasema alimwambia baba yake usimuoe Camilla daa
Sasa ataongea nini na mama yake wa kambo?
Kaishiwa? Si nasikia kapewa $100M n Netflix?Amechanganyikiwa tu ameishiwa hela
Naona mke wake ana matumizi makubwa sana
Ila dogo anaelekea kubaya sijui hata kama atakuja kwenye Coronation ya baba yake maana kawasagia kunguni wote
Na anasema alimwambia baba yake usimuoe Camilla daa
Sasa ataongea nini na mama yake wa kambo?
Hewitt hawezi kuzungmzwa coz ni sperm donor.... Charles ndo baba mleziHii ndio mbaya zaidi
Huku akisema eti willy alimpiga zamani
Anahuzunisha sana
Ila kwanini asimzungumzie baba yake halisi Hewitt?
Nilishindwa kukuita sorry sijui ushamba [emoji1]Hivi babake bado kakaza ....si nasikia alimfungulia akaunti zake
Bado hatujafika page ya kusema mamaake ako assassinated niko pale nikekaa[emoji848]
Hilo limwanamke atalikimbia au atamkimbia yeye!Nilishindwa kukuita sorry sijui ushamba [emoji1]
Anyway mzee alimpa hela nyingi sana Harry na mkewe ila matumizi makubwa sana na ulinzi juu yote analipa
Ni mapatano tu na hapewi cash bali ni kwa awamuKaishiwa? Si nasikia kapewa $100M n Netflix?
Mimi nimeshtuka aliposema kauwa Taleban 25 wakati akiwa AfghanistanHuyo Harry hawezi kuuliwa....Nina wasiwasi na Meghan[emoji848]
Hawana mda tutasikia mmoja kapoteaHilo limwanamke atalikimbia au atamkimbia yeye!
Hawana muda hawa kabisa...dada ana gundu huyu daah!
Anaweza hata kumgharimu maisha ya mume wake huyu[emoji848]
Ebwana eeh ..ila Harry anatafuta hela kwa nguvu zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]Ni mapatano tu na hapewi cash bali ni kwa awamu
Ulinzi wake 24/7 ni $3m kwa mwaka bado kula kulala na safari zake