Prince wa Saudi Arabia Salman: Mambo ya Palestine hayanihusu. Najihusisha zaidi ya Nchi yangu

Hao ' Crypto jews' ni aina nyingine ya wayahudi wenye asili ya kiarabu?

Mathanzua zitto junior
 
Mtu anakorofisha watu kisa dini ila akianza kichezea vitasa anataka msaada... Acha wamfue aje asaidiwe na allah
 
He is a snake in the grass
 
Hizi story za "Islam ndugu yake Islam" ipo huku nchi masikini; wengine wana angalia maslahi ya nchi zao kwanza then mengine ndio yanafata
Hivi iliishia wapi si Sheikh gani sijui wa misikiti wa huko Dar alitaka kuitisha maandamano ya kuwa support Hamas?
 
Hivi iliishia wapi si Sheikh gani sijui wa misikiti wa huko Dar alitaka kuitisha maandamano ya kuwa support Hamas?
Imagine mtu na akili zake kabisa ana support ugaidi; same person hawezo kuandaa maandamano ya kumdhibiti PK asiendelee kuua Wacongo. Vita vya Congo vinatuathiri Watanzania direct cause hatuwezi kufanya biashara na Congo and hence vina athiri uchumi wetu but again tunajikuta tunaanza kupokea wakimbizi wengi nchini mwetu. Wapalestina wana tuathiri nini Watanzania? Hilo moja, la Pili ni hili, Sudan, Somalia wanauana kila mara; huyo sheikh halimuumi hilo cause wale ni Waislamu watu? Stupid.
 
Acha uongo wewe. Kumbe hata "Crypto Jews" hauwajui halafu unata kulisha watu uongo. Watu wakiamua kujitambua na kufuata njia zao mnaanza kuwabatiza majina.

Haya, badala ya kujifanya mnapigania Msikiti wa pale Jerusalem ambao upo sehemu ambayo haina asili ya dini ya kiislam kwanini wasiende kupigania misikiti ya Medina na Mecca inayoongozwa na hao mnaowasema hawana uislam wala uarabu bali wamewekwa na west kwa interests za west.

Waislam wameanza kwenda kuhiji Makka na Madinna tangu miaka mingi sana iliyopita na mafuta yalivumbuliwa mwaka 1938. Kipindi chote hicho Saud ilikuwa ni jangwa tu, mlitaka ibaki kuwa jangwa kisa?

Watafiti na wavumbuzi wa mafuta waliamua kushirikiana na wahusika wenye hizo rasilimali ambapo kwa sheria na taratibu za pale huwa zipo chini ya mfalme, shida ipo wapi?
Kwako Mwarabu ni yupi?
 
Huu upuuzi wa kuponda dini na imani za watu ,ni ushenzi na ukosefu wa akili na maadili + busara .....
Upo sahihi
Mimi ni mkristo ila kuna wakristo feki humu wanaojiona wamekunywa maji ya msalaba kuliko wengine , mna guts za kutukana dini ya kiislamu
Labda kama wewe ni mgeni humu na mitaani huko. Kuna watu wamekuwa victimized kwa imani yao kama wakristo? Hata humu wakristo wameona ili kwenda sawa inabidi wajifyatue akili. Ndiyo maana humu kumechangamoa siku hizi.
kisa ushabiki wa hao mashoga zenu mnaowaabudu huko kwenye makanisa feki yenu kwa ujinga wenu wa kutoijua injili na Bible kiundani .
Wapumbavu wakubwa ,grow up !
Ona, umerudia kilekile ambacho umetoka kukikemea, it's obvious umeenda kuvaa ID nyingine ili ulete maigizo. Kama uliamua kukemea tabia, basi ungeonyesha consistency, lakini umetoka kukemea halafu hatua mbili mbele na wewe unaleta matusi yaleyale unayoyatoa kupitoa ID nyingine.
 
Very stupid in deed. Imagine Hezbollah ina faida gani chini ya jua.
 
Saudi yote inalindwa na Marekani isingekuwa hivyo Saddam Hussain alikuwa anataka kukunyaga na kuweka kambi Riyadh. US=Mayahudi. Akili mtu wangu
Na umesahai Mmarekani anauza silaha Saudi ilikummaliza Houthi asisumbue ukande ule kumbuka saudi intelligence yake bado changa sana na houthi mfadhili wake iran kumbuka saudi na irani hawaelewani manake houthi anashambalia sana visima vya mafuta vya saudia
 
Acheni upuuzi huo uonevu kama Israel angekua haufanyi kwa watu wa gaza na palestine yote kwa ujumla kunagekua hakuna kelele watu kuwakuta kwenye ardhi yao aharibu mashamba yao na kuwafukuzi majumbani kawao alafu akae kimya na alikijilinda aitwe gaidi na majina mabaya? Mtasema sana lakini unyonge kwa waislam haupo ni either ufe lakini haki yako sio ya kumuachia mtu pale watapigana tu kwa miaka mingi hata kama ni hawana teknolojia na silaha kubwa kubwa imani ya na moyo wao vinatosha kuchukia udhalimu wa west. Wamechagua kufia pale kwao huo ndio uzalendo wa kweli
 
Saudi Arabia gave a big shock to Muslims!

Saudi Arabia's Crown Prince Mohammed bin Salman has made a big statement against Palestine!

"I don't care about the Palestinian issues; I don't care about Palestine."

Mecca and Medina are not a place for politics, we will not allow any activity in support of Palestine here.

We have completely banned putting up any posters or offering prayers in support of Palestine.

PIA SOMA
- Prince wa Saudi Arabia Salman: Mambo ya Palestine hayanihusu. Najihusisha zaidi ya Nchi yangu
 
hongera sn salman ww ni akiliz kubwaz.....ayatola anaishi kwa mahandaki kama panya buku huku akisubiri zawadi toka kwa nyahuu
 
USA walihakikisha hii familia inashida madaraka na inadumu milele kwa masalahi ya USA and his allies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…