Aswaaa swadakta, hicho ndicho kinachotakiwa, Sasa mbumbumbu wanashupaaa, kwani dada Prisca kaongopa nini. Onyango ni 50+ years. Simba ni kituo Cha kulelea wazee over.Ila prusca yupo sahihi na imechoma kama pasi. Onyango aseme umri sahihi bana
Hahahaha, no commentsView attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri.
Halafu wanasemaga hizi michezo huwa hazihitaji hasira.Aaah ndiyo hapo sasa,anatumia nguvu nyingi bila sababu
Ifike hatua nini,Nenda Kenya kamtafute Mama yake Atakwambia ana miaka mingapi.Ifikie hatua tujuage tu anakimbilia ngapi na sio kutudanganya wakati sura inaonyesha jua lishazama. ššš
Hahahaaa. Wadhee wathtaafu. šššAswaaa swadakta, hicho ndicho kinachotakiwa, Sasa mbumbumbu wanashupaaa, kwani dada Prisca kaongopa nini. Onyango ni 50+ years. Simba ni kituo Cha kulelea wazee over.
Uwiiii!! Mtani kwani na wewe umepanic?Huyo Prisca Kishamba yeye mwenyewe ana sura mbovu
Ifike hatua nini,Nenda Kenya kamtafute Mama yake Atakwambia ana miaka mingapi.
Umeona eeehHalafu wanasemaga hizi michezo huwa hazihitaji hasira.
Yaani ukikasirika watu ndo wanakukera zaidi.
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Prisca Kishamba yeye mwenyewe ana lisura libovu hata Oyango ana afadhali.
Prisca ......Mbona yeye anatoka na yule Waziri mwenye Mabaka Mabaka usoni kama Nyozi ya Kenge, Kama anamtaka Oyango si amuone Manara tu ampe Connection.š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£
Cc. Onyango.
Aswaaa swadakta, hicho ndicho kinachotakiwa, Sasa mbumbumbu wanashupaaa, kwani dada Prisca kaongopa nini. Onyango ni 50+ years. Simba ni kituo Cha kulelea wazee over.
Masikhara sasa haya Mtani.Prisca ......Mbona yeye anatoka na yule Waziri mwenye Mabaka Mabaka usoni kama Nyozi ya Kenge, Kama anamtaka Oyango si amuone Manara tu ampe Connection.
bidada ana mdomo kama dolphinš¤£View attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri.
DuuuuuuuView attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri.
Kazi tu mkuu, [emoji123]sura hata mbuzi anayo.We kwa akili yako unadhani Simba walikuwa wanasajili kazi ama sura?
Na hilo wigi alilovaa kichwani udhani ulimi wa Mbwa......Kipozeo cha Mzee wa Degree 4 hicho a.k.a Mzee wa Mabaka MabakaView attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri. Mzee wa Degree 4 sijui kakapendea nini haka
Inasemekana mademu wabaya ni watamuView attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri. Mzee wa Degree 4 sijui kakapendea nini haka
Mzee Onyango acha kulalamika basiNimesikitishwa na post yako moja ukilinganisha sura ya Onyango na mchezaji mpya alieyesajiliwa Yanga.
Lengo lako ni kuonesha jinsi sura ya onyango aliyesemwa ana miaka 27 na huyo wa yanga akiwa na 33.Kwa ujumla nia iliyokutuma kufanya hivyo ni ubaguzi wa sura kavu na laini.
Kwangu mimi si tatizo maana unatarajia mwanaume awe mrembo?Kwa Onyango sioni kama ni tatizo na hata kwetu madhabiki sio tatizo.Maana soka sio bongo muvi.
Tatizo langu ni pale unapoonesha kucheka ama kudhihaki sura ya Onyango wakati wewe mwenyewe uko mule mule.
Sijui umri wako,lakini ukimchukua Mange Kimambi na wewe mnaonekana mna rika moja au umemzidi kidogo.
Hata hivyo mimi nakupenda sana ukiwa kama mwanamke.Singependa mtu akusimange kwa sura yako kama kidume.Ni kwa sababu naheshimu sana kazi ya Mungu.
Sasa mpendwa wangu,kwa nini unaongoza tabia hii ya kushambulia maumbile ya watu huku ukusahau na wewe ni muhanga wa changamoto kama hiyo?
Acha dada usije ukaona watu hawakushambulii ni kwa vile wanakuona mnyenyekevu.Ila ujue hata picha zako hupendezi na ukianza kubagua watu hivi,utalizwa na maneno ya watu dhidi yako .Kumbuka kuna watu wanajiona malaika