Prisca Kishamba unaanzisha vita vya mawe nawe unaishi nyumba ya vioo?

Prisca Kishamba unaanzisha vita vya mawe nawe unaishi nyumba ya vioo?

Ila prusca yupo sahihi na imechoma kama pasi. Onyango aseme umri sahihi bana
Aswaaa swadakta, hicho ndicho kinachotakiwa, Sasa mbumbumbu wanashupaaa, kwani dada Prisca kaongopa nini. Onyango ni 50+ years. Simba ni kituo Cha kulelea wazee over.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Aswaaa swadakta, hicho ndicho kinachotakiwa, Sasa mbumbumbu wanashupaaa, kwani dada Prisca kaongopa nini. Onyango ni 50+ years. Simba ni kituo Cha kulelea wazee over.
 
Nimesikitishwa na post yako moja ukilinganisha sura ya Onyango na mchezaji mpya alieyesajiliwa Yanga.
Lengo lako ni kuonesha jinsi sura ya onyango aliyesemwa ana miaka 27 na huyo wa yanga akiwa na 33.Kwa ujumla nia iliyokutuma kufanya hivyo ni ubaguzi wa sura kavu na laini.

Kwangu mimi si tatizo maana unatarajia mwanaume awe mrembo?Kwa Onyango sioni kama ni tatizo na hata kwetu madhabiki sio tatizo.Maana soka sio bongo muvi.

Tatizo langu ni pale unapoonesha kucheka ama kudhihaki sura ya Onyango wakati wewe mwenyewe uko mule mule.
Sijui umri wako,lakini ukimchukua Mange Kimambi na wewe mnaonekana mna rika moja au umemzidi kidogo.
Hata hivyo mimi nakupenda sana ukiwa kama mwanamke.Singependa mtu akusimange kwa sura yako kama kidume.Ni kwa sababu naheshimu sana kazi ya Mungu.
Sasa mpendwa wangu,kwa nini unaongoza tabia hii ya kushambulia maumbile ya watu huku ukusahau na wewe ni muhanga wa changamoto kama hiyo?

Acha dada usije ukaona watu hawakushambulii ni kwa vile wanakuona mnyenyekevu.Ila ujue hata picha zako hupendezi na ukianza kubagua watu hivi,utalizwa na maneno ya watu dhidi yako .Kumbuka kuna watu wanajiona malaika
Mzee Onyango acha kulalamika basi
 
Back
Top Bottom