Hahahaha wakuu mnanivunja mbavu aiseee, hahahaa.Ila prusca yupo sahihi na imechoma kama pasi. Onyango aseme umri sahihi bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha wakuu mnanivunja mbavu aiseee, hahahaa.Ila prusca yupo sahihi na imechoma kama pasi. Onyango aseme umri sahihi bana
Beki hasifiwi Shadeeya
Soka lipo mguuni lakiniUmefanya nimecheka. Lol.
Rafiki au ulaji na maiyiinvairomenttii nayo yanasababisha kuzeeka huku bado mtu ni kijana. 😂😂😂
Pole sana Mheshimiwa Waziri uliyewatukana Nduguzo kuwa hawakusoma na wakakunyima Kura kwa Kumgusa Kiundani kabisa Mkeo unayemuua.Umeeandika upupu, hujielewi By the way kila mtu ana historia yake ya kutafta mkate wa kila sku..hyo ni yake na sio aibu....pumbavu wew
Hapo nimesema tu 75% na hizo 25% nimeziacha Kwanza ila na zenyewe ningesema niziweke hapa kuna uwezekano huyu Binti akajiona Takataka.JF..Where we dare to talk Openely
Nyuma rudi peke ako.Twendeni mbele turudi nyuma, Onyango ni mtu mzima, umri umekwenda yule.
Kwani 4D unamuona zinamtosha?View attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri. Mzee wa Degree 4 sijui kakapendea nini haka
Mupe mupe zake mupe zimkolee.Pole sana Mheshimiwa Waziri uliyewatukana Nduguzo kuwa hawakusoma na wakakunyima Kura kwa Kumgusa Kiundani kabisa Mkeo unayemuua.
Aache 'Upuuzi' na 'Unafiki' wake tafadhali.JF..Where we dare to talk Openely
Zimeshamfikia Mkuu na ndiyo maana unaona hajarudi tena na akithubutu tu kurudi namalizia hiyo 25% ya huyo Hawara yake na 100% yake Yeye.Mupe mupe zake mupe zimkolee.
Yupo Vizuri, Kama Hajaolewa Tuunganishe NguvuMbona karembo jamani!
Ndiyo Yule Aliyekwenda Kugombea Akiwa Kashiba Hana Njaa Ila Wajumbe Nuksi WakamkataKama anatoka na mzee wa Degree 4 basi kishaungua. Ajiandae kula Minjingu.
Ule Mchezo, Nyoko SanaDuh we mzee unasema degree 4 zile ziko zinatulizwa hapo??? Bwahahahaaaa
Mzee Kafanya Selection Akaweka Hesabu Sawahiyo ni posho ya mzee kutoka vyombo vya habari
fafanua mkuu, mzee wa Degree 4 ndio nani huyo?View attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri. Mzee wa Degree 4 sijui kakapendea nini haka
gugo mkuu.fafanua mkuu, mzee wa Degree 4 ndio nani huyo?
Yule Aliyewafokea Wajumbe Kyelafafanua mkuu, mzee wa Degree 4 ndio nani huyo?