Ila wamezaliwa kwenye pesa,wamesoma one of best uni's in the world.Tofauti na Priva kazaliwa kwenye nyumba ya udongo ,hakuna umeme.Kamaliza UDOM kaajiriwa kwa Shaffih Dauda kuendesha social media pages za Dauda.Ndio hizi position zao za Sasa hazikuja tuu walianzia ngazi za chin mpk sahv wamekuwa ma CEO
😃😃Ila wamezaliwa kwenye pesa,wamesoma one of best uni's in the world.Tofauti na Priva kazaliwa kwenye nyumba ya udongo ,hakuna umeme.Kamaliza UDOM kaajiriwa kwa Shaffih Dauda kuendesha social media pages za Dauda.
Mimi simo kwenye kundi la walegezajiMkiwalegeza Hao Nguvu Kazi Ya Taifa Itatoka Wapi
Halafu eti leo anakejeli wanaopanda daladala na kujitafutia riziki kwa jasho lao kisa tu yeye anawekwa mjini na wanaume wenzie.Ila wamezaliwa kwenye pesa,wamesoma one of best uni's in the world.Tofauti na Priva kazaliwa kwenye nyumba ya udongo ,hakuna umeme.Kamaliza UDOM kaajiriwa kwa Shaffih Dauda kuendesha social media pages za Dauda.
Si wanapenda vya bure,acha walegezwe tuMkiwalegeza Hao Nguvu Kazi Ya Taifa Itatoka Wapi
Aisee unashusha heshima yako.Ali Kamwe , nasikia hadi ndoa ilimshinda. Ni chakula ya wanaume wenzake.
Hata ww punguza ukali wa maneno kwani wanaopita hapa ni wengi mnoAisee unashusha heshima yako.
Huyo dogo alizingua sana kumdhalilisha mzee Mgunda, lakini tusifike huko kudhalilishana kwa masuala ya kufirana. Inaonekana wengi mnayapenda sana. Ukiulizwa ushahidi utabaki kujiumauma. Shutuma mbaya sana hizo kumuambia binadamu mwenzako. Tutofautiane kwa staha.
Siwezi kufanya hivyo ndugu kwa jamii ya kishenzishenzi. Jamii ya kishenzi huwabembelezi ni kuwapa maneno makali machafu.Hata ww punguza ukali wa maneno kwani wanaopita hapa ni wengi mno
Kama watu wanafanya huo mchezo lazima tuwaumbue hakuna jinsi nyingineWatz inaonekana mnafagilia sana mchezo wa kufirana.
Siku hizi mtu mkitofautiana zinaanza shutuma za kufirana. Tutofautiane kwa staha. Mambo ya ushabiki yasitufanye kuwa majingamajinga.
Mimi ndiyo maana naona ni safi sana kinachofanywa na wazenji kuingiza matanzania kwenye mikataba kama huu na waarabu.
Umesema 'kama' maana yake huna ushahidi bali ni hearsay. Mimi mwenyewe hata mtu tutofautiane kiasi gani siwezi kumtamkia maneno ya namna hiyo.Kama watu wanafanya huo mchezo lazima tuwaumbue hakuna jinsi nyingine
Inawezekana maana si anaenda somea kitu tofautiKumbe Law ,mtu anaweza kufanya masters bila kupita kwanza Law school?
Mbona wasisemwe wengine wasemwe.wao tu?Umesema 'kama' maana yake huna ushahidi bali ni hearsay. Mimi mwenyewe hata mtu tutofautiane kiasi gani siwezi kumtamkia maneno ya namna hiyo.
Bora kusemana kwa mambo mengine lakini sio suala la kumsema mtu usiye na ushahidi kwamba anaingiliwa. Ni tuhuma mbaya sana na zenye kuudhi.
Wengi tunaendeshwa na tofauti zetu za kishabiki. Si vema.
Kulalamika kuwa kuna mtu hakupiga makofi wakati Hersi anapitasawa kaanzia instagram kwahy kosa lake lipi hapo?
Hatariii tupuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dogo anataka 'my wake' apigiwe makofi na kila mtu.Hii hatari sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had mbavu zinaumaaNdo shida ya kulea watoto kimayaimayai!! Anataka kufanyiwa kila kitu wahuni wakasema usituchezee, vua ubingwa kaa paleee
Swali ,ataliweza Jimbo lakongwa mana ndugai alichemkaNi kweli kwamba Injinia Hersi ni kiongozi mzuri, kijana safi mwenye maono na akili.
Pamoja na hayo, hiyari ya kumpigia makofi inabaki kuwa ni ya mtu mwenyewe. Hili halihitaji kulazimishana.