Privadinho amjibu Jemedari Said kuhusu kumpigia makofi Engineer Hersi ikulu wakati akiwa anaingia

Ndio hizi position zao za Sasa hazikuja tuu walianzia ngazi za chin mpk sahv wamekuwa ma CEO
Ila wamezaliwa kwenye pesa,wamesoma one of best uni's in the world.Tofauti na Priva kazaliwa kwenye nyumba ya udongo ,hakuna umeme.Kamaliza UDOM kaajiriwa kwa Shaffih Dauda kuendesha social media pages za Dauda.
 
😃😃
 
Halafu eti leo anakejeli wanaopanda daladala na kujitafutia riziki kwa jasho lao kisa tu yeye anawekwa mjini na wanaume wenzie.
 
Madunduka yametokwa povu sio la nchi hii na akili zao chafu chafu zilizojaa ushetani.

Hivi mnapata faida gani!!!!
 
Watz inaonekana mnafagilia sana mchezo wa kufirana.
Siku hizi mtu mkitofautiana zinaanza shutuma za kufirana. Tutofautiane kwa staha. Mambo ya ushabiki yasitufanye kuwa majingamajinga.
Mimi ndiyo maana naona ni safi sana kinachofanywa na wazenji kuingiza matanzania kwenye mikataba kama huu na waarabu.
 
Ali Kamwe , nasikia hadi ndoa ilimshinda. Ni chakula ya wanaume wenzake.
Aisee unashusha heshima yako.
Huyo dogo alizingua sana kumdhalilisha mzee Mgunda, lakini tusifike huko kudhalilishana kwa masuala ya kufirana. Inaonekana wengi mnayapenda sana. Ukiulizwa ushahidi utabaki kujiumauma. Shutuma mbaya sana hizo kumuambia binadamu mwenzako. Tutofautiane kwa staha.
 
Hata ww punguza ukali wa maneno kwani wanaopita hapa ni wengi mno
 
Watz inaonekana mnafagilia sana mchezo wa kufirana.
Siku hizi mtu mkitofautiana zinaanza shutuma za kufirana. Tutofautiane kwa staha. Mambo ya ushabiki yasitufanye kuwa majingamajinga.
Mimi ndiyo maana naona ni safi sana kinachofanywa na wazenji kuingiza matanzania kwenye mikataba kama huu na waarabu.
Kama watu wanafanya huo mchezo lazima tuwaumbue hakuna jinsi nyingine
 
Umesema 'kama' maana yake huna ushahidi bali ni hearsay. Mimi mwenyewe hata mtu tutofautiane kiasi gani siwezi kumtamkia maneno ya namna hiyo.
Bora kusemana kwa mambo mengine lakini sio suala la kumsema mtu usiye na ushahidi kwamba anaingiliwa. Ni tuhuma mbaya sana na zenye kuudhi.
Wengi tunaendeshwa na tofauti zetu za kishabiki. Si vema.
 
Mbona wasisemwe wengine wasemwe.wao tu?
 
Ni kweli kwamba Injinia Hersi ni kiongozi mzuri, kijana safi mwenye maono na akili.
Pamoja na hayo, hiyari ya kumpigia makofi inabaki kuwa ni ya mtu mwenyewe. Hili halihitaji kulazimishana.
Swali ,ataliweza Jimbo lakongwa mana ndugai alichemka
 
Huyo dogo alisoma vizuri kadi ya mwaliko ..Raisi ndiye aliyealika watu waje na sio yanga. Mtu akialikwa anamheshimu yule aliyemwalika Kwa kuona anastahili..
 
Back
Top Bottom