Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Ila wamezaliwa kwenye pesa,wamesoma one of best uni's in the world.Tofauti na Priva kazaliwa kwenye nyumba ya udongo ,hakuna umeme.Kamaliza UDOM kaajiriwa kwa Shaffih Dauda kuendesha social media pages za Dauda.Ndio hizi position zao za Sasa hazikuja tuu walianzia ngazi za chin mpk sahv wamekuwa ma CEO