Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Nimeona video ya dokii YouTube alipelekwa na mzee Mengi hadi south Afrika kusomeshwa akapewa na u$d 8500 (tshs million 17) ya ada na matumizi achilia $2000(tshs milioni 4) au $4000(tshs milioni 8) zingine alizopewa kabla ya kupewa ada, baada ya kupewa izo hela dokii alisema mzee mengi alimsahau, hata walivokutana tena mzee mengi hakuMkumbuka dokii

Miriam odemba wa tangazo la revola naye alikiri kupelekwa uingereza na mzee mengi kwenda kusomeshwa, na alivyofanya tangazo la revola Mengi alimpa pesa Ndefu hadi akaanza kuitumia kujenga nyumba

Hapo sijaongea Na sijajua madam ritha, na Kyln washahongwaga tshs ngapi na huyu mzee..

Kuna watu wanachapisha hela si wengine twatafta hela ya kula Yani unamuhonga mdada million 20, hlf mwaka ujao humkumbuki tena? Looh Sky Eclat
 
Kuna kuhonga na kusaidia.

Kuhonga ni kitendo cha kutoa fedha kwa ajili ya kupata kitu fulani in return.

Kusaidia ni kutoa msaada na pasipokutegemea malipo ya aina yeyote.

Kwa kuwa sijaona popote wahusika uliowataja hapo kukiri kuwa walimpa Mzee Mengi chochote baada ya kugharamikiwa basi usiite Hongo. Bali MSAADA. Tena amesahau kwamba alishamsaidia mhusika.

Nakusihi ubadilishe heading ya uzi wako.
 
hilo amelisema kwenye kitabu chake akatoa mfano wakati wa Msiba wa mwanae Rodney kuna bibi alikaa pale nyumbani hata baada ya waombolezaji kuondoka so ikabidi mengi amfuate
Mengi anadai alidhani bibi anataka pesa ila alipotaka kumpa pesa yule bibi alikataa na kusema "umewahi kunisaidia pesa nikafanya biashara na sasa zipo vizuri tu hivo sihitaji pesa ila niko hapa kuomboleza" Mengi anasema hakuwa anakumbuka kwamba amewahi msaidia huyo bibi
 
Yaani mtu awe bilionea halafu asihonge wanadamu?!!!

Unataka ahonge majini?!!!!
Hawa ndio wale wanaokuwa mabilionea alafu wanajaza magari ya kifahara kumi. Wewe honga ule mbususu....sii u aona jamaa kabadilisha maisha ya hao warembo...mabilionea wanatakiwa kuwa na wake wengi ili kunufaisha jamiii
 
Mbona husemi zile fedha zaidiya bilioni moja alizozitoa kule kwao kisereni?
 
Back
Top Bottom