Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Motie ndie alimpa vifaa vya digital masterjay.
Masterjay anasema motie alikuja studio akawa anatazama anafanya production, akamuuliza hivi vifaa vya ksasa bei gani, master akamwambia pesa ndefu, motie akataka kukua uktaka kufungua inahtajika ninj na nini, master akataja. Ikapita muda, siku moja akamwita ofsini kwake, master kufika pale anaona mzigo wa vifaa akawaza huyu kumbe alitaka fungua studio ya kisasa atufunike. Wakapiga story master ikafika muda wa kuaga, motie ndo akasema halafu kidogo nisahau, nimekuita ili uchukue mzigo wako huu.
Master anasema hakuamini.
Walikuwa na moyo wa kutoa hao jama mtu na baba yake
Kabisa na moyo wa kuhonga wanao.
Nadhani iko ndani ya damu yao.
Motie ndo alikuwa anamuweka Sachko mjini na kumpa jina.
 
Madam ritha anakwambia ametembea hii dunia amekula raha kisa mzee mengi. Hakuna la kumshangaza mengi alimpeleka kote.
Anasema mengi alimpenda madam kisa tu walikuwa wanakutana gym hapo madam katoka zimbabwe masomoni anashangaa watu wanamshobokea mengi wakati yeye hajui hata mengi ni nani.
Mzee akajisogeza kwa madam, na madam anakwambia alikuwa na bwanake huyo foreigner ana ela kinoma anasukuma.ndinga za maana na bwanake hataki afanye kazi.
Mzee eti akamuuliza unanijua mimi nani, madam akamwambia skujui hata [emoji1787][emoji1787]
To cut the story short, madam anadai hatowahi kuja mpenda mwanaume kama alivyompenda mzee. Na anadai anajua hata mzee alikuwa nampenda mpaka nyakati za mwisho.
Hivi huyu Madame ana mtoto mkuu?
 
Hivi huyu Madame ana mtoto mkuu?
Anasema ana watoto wawili Ila Mimi nilimuona mmoja wa Kike. Ni mzuri Sana. Ila watoto wake ni nje ya Camera kabisa. Yani hutawadikia. Madam ana private life Sana siyo kama Yule Gold digger anataka kufilisi Mali za family. The Family fortune iliyopambaniwa decades ago anakuja Danga tu anataka kufilisi.
 
ndio umesema kweli,ameandika hili pia kwenye kitabu chake
🤣🤣🤣🤣 halafu leo hii Klyn anang'ang'ania mali zote anasahau kuna baraka na mikono ya watoto wa Mzee Mengi.
Aliyenieleza kuhusu hao wanafunzi alinieleza kuhusu wakina Mutie, walikuwa kila jioni wanafungiwa ndani kutengeneza peni za BIC(kujaza wino kwa kutumia sindano) wakati wenzao wanaenda kucheza basketball.
 
Hawa ndio wale wanaokuwa mabilionea alafu wanajaza magari ya kifahara kumi. Wewe honga ule mbususu....sii u aona jamaa kabadilisha maisha ya hao warembo...mabilionea wanatakiwa kuwa na wake wengi ili kunufaisha jamiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu khaaah
 
Madam ritha anakwambia ametembea hii dunia amekula raha kisa mzee mengi. Hakuna la kumshangaza mengi alimpeleka kote.
Anasema mengi alimpenda madam kisa tu walikuwa wanakutana gym hapo madam katoka zimbabwe masomoni anashangaa watu wanamshobokea mengi wakati yeye hajui hata mengi ni nani.
Mzee akajisogeza kwa madam, na madam anakwambia alikuwa na bwanake huyo foreigner ana ela kinoma anasukuma.ndinga za maana na bwanake hataki afanye kazi.
Mzee eti akamuuliza unanijua mimi nani, madam akamwambia skujui hata [emoji1787][emoji1787]
To cut the story short, madam anadai hatowahi kuja mpenda mwanaume kama alivyompenda mzee. Na anadai anajua hata mzee alikuwa nampenda mpaka nyakati za mwisho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ritha ashukuru kapata mtaji wa BSS.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] madam anazingua.
Ukute alienda kwenye hiyo gym purposely kwa ajili ya kumtega mzee wa watu..
Ila ndo hawezi kusema sasa....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimewaza hivyo pia mie.
 
Back
Top Bottom