cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hivyo hivyo ulivyoona. UwiiiiiihUnataka kusemaaa!!!?[emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo hivyo ulivyoona. UwiiiiiihUnataka kusemaaa!!!?[emoji15]
Hii dunia hii, kuna mmona jana alikuwa analia eti katapeliwa sh 1,500/=.Halafuuu kuna limtu elf 10 tu linakua lichoyo
Ndio matumizi kk hela haziliwiNimeona video ya dokii YouTube alipelekwa na mzee Mengi hadi south Afrika kusomeshwa akapewa na u$d 8500 (tshs million 17) ya ada na matumizi achilia $2000(tshs milioni 4) au $4000(tshs milioni 8) zingine alizopewa kabla ya kupewa ada, baada ya kupewa izo hela dokii alisema mzee mengi alimsahau, hata walivokutana tena mzee mengi hakuMkumbuka dokii
Miriam odemba wa tangazo la revola naye alikiri kupelekwa uingereza na mzee mengi kwenda kusomeshwa, na alivyofanya tangazo la revola Mengi alimpa pesa Ndefu hadi akaanza kuitumia kujenga nyumba
Hapo sijaongea Na sijajua madam ritha, na Kyln washahongwaga tshs ngapi na huyu mzee..
Kuna watu wanachapisha hela si wengine twatafta hela ya kula Yani unamuhonga mdada million 20, hlf mwaka ujao humkumbuki tena? Looh Sky Eclat
🤣🤣🤣🤣🤣 siyo personally bwanaU take it personally [emoji2]
Watanzania.Hao ni watanzania au wakongo
😂😂😂😂😂wewe unasema million 20tu!! mie nilihonga kiwanda chote cha kufyatua karatasi zimbabwe!! kwa kuwa tu nilitembea na kijana mmoja mwenye kismati hatare!! huyu baada ya mambo yetu yale ghafla nilipata tender ya kuiuzia serikali ya USA Maligahafi za Nuclear!
Advance nikapewa cash $USD tirion kumi na tano!...sasa kwa nini nisihonge na mie?? Mleta Mada inaonekana hujawahi kuhongwa/wala kuhonga damu mbaya hiyo!! yamkini ukoo wenu hamuhongwi!! Basi nakushauri usizae Binti!...atateseka mnoo!!
tena haka kadokii siju kako wapi siku hizi??
USA hawawezi kukwambia budget yao kiukweli tena kwenye mitandao..tatizo ni kuwa hujui Diplomasia za kimataifa zikoje bado mdogo subiri ukikua!! hiyo ni budget ya miaka takriban ishirini ilopita!!Huku ndo umewekeza hela inayolingana na budget ya USA ($-trillions)??
smaki hebu acha maskhara mtoto mzuri😊
Muongo sana weye!! hujui mambo weye! nikuulize Mgagani orijino wa kinu! ataupata wapi tajiri??Tajiri wa trillion of dollars hawezi kukosa any material thing anachotaka hapa duniani, isipokuwa uhai na afya tu ambavyo ni maamzi ya Mungu.
Tajiri unakosaje bando?? Nakupenda smaki 😂
Nimesha kujibu hili naona u mgumu kuelewa kijana!! Bundle la nini kwangu mie!Tajiri unakosaje bando?? Nakupenda @smaki 😂
Okay sawa, nimekubali kwamba ulihongwa kiwanda cha kusambaza karatadi Zimbabwe nzima.USA hawawezi kukwambia budget yao kiukweli tena kwenye mitandao..tatizo ni kuwa hujui Diplomasia za kimataifa zikoje bado mdogo subiri ukikua!! hiyo ni budget ya miaka takriban ishirini ilopita!!
Hmmmh labda kama hana shida nao.Muongo sana weye!! hujui mambo weye! nikuulize Mgagani orijino wa kinu! ataupata wapi tajiri??
Kuna mawili, either huna utamu wa thamani ya iyo hela, au huna hadhi ya kupewa iyo hela.Halafuuu kuna limtu elf 10 tu linakua lichoyo
Kwa mfano huo Ndo ujue kuwa tajiri hawezi pata kila kitu sasa!! .. vinginevyo hayo ni Mawazo yenu maskini! Lkn sie matajiri mweee!Hmmmh labda kama hana shida nao.
Juzi kuna demu kataka hela nikampa buku 2 achukue buku halaf anirudishie buku inayobaki kudadeki kala kona mazima nilizinguka bar nzima namtafuta,sijamsahau bado nikimdaka atazitapika buku mbili zangu kavu kavu.Nimeona video ya dokii YouTube alipelekwa na mzee Mengi hadi south Afrika kusomeshwa akapewa na u$d 8500 (tshs million 17) ya ada na matumizi achilia $2000(tshs milioni 4) au $4000(tshs milioni 8) zingine alizopewa kabla ya kupewa ada, baada ya kupewa izo hela dokii alisema mzee mengi alimsahau, hata walivokutana tena mzee mengi hakuMkumbuka dokii
Miriam odemba wa tangazo la revola naye alikiri kupelekwa uingereza na mzee mengi kwenda kusomeshwa, na alivyofanya tangazo la revola Mengi alimpa pesa Ndefu hadi akaanza kuitumia kujenga nyumba
Hapo sijaongea Na sijajua madam ritha, na Kyln washahongwaga tshs ngapi na huyu mzee..
Kuna watu wanachapisha hela si wengine twatafta hela ya kula Yani unamuhonga mdada million 20, hlf mwaka ujao humkumbuki tena? Looh Sky Eclat
Dogo ukiingia humu wkt una mawazo ya kuachwa na umeshindia vihepe utakuwa chizi one day!! km huamini subiri!Okay sawa, nimekubali kwamba ulihongwa kiwanda cha kusambaza karatadi Zimbabwe nzima.
Ninakubali kwamba ulihongwa tender ya Dollar trillion 15 huko USA.
Najua wana JF wengine watakubali pia😂.
smaki bwana😂
utamu wa elf kumi mbona mdogo sana jamaniKuna mawili, either huna utamu wa thamani ya iyo hela, au huna hadhi ya kupewa iyo hela.