Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mtu mwenye trillions of dollar hahitaji kufanya kazi kwaajili ya hela, bali hela ndo zitafanya kazi kwaajili yake. Wewe sema unapotea sana humu (hata siku tatu) kwakukosa hela ya bando.Manake unanionea wivu!! ninavohongwa!! sha kwambia ke'' lazima nihongwe!! km me usipohonga huna kuna wa type yako!
Usipo niona saana jua Nina fanya kazi!! siwezi shinda mtandaoni!! kushinda kwa key board hii ni kazi ya Jobless km weye!! muda wa kazi huu baba!!!
Endelea kupiga ramli huenda ukafanikiwa kupata tulio na nyota za mafanikio!!...... nakuhakikishia u-jobless utaisha!
Unauhakika gani kuwa mie ni Mbongo! au kwa vile naongea kiswahili??
Nakupenda smaki 😄