Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Kuhonga ina level zake, kuna boda mmoja yeye anahonga usafiri wa boda bure kwa mademu fulani, akisafirisha demu fulani mara 2 hv anapewa bure sbb katoa usafiri bure.
 
Uzuri ni kwamba anayehonga milioni 20 namimi ninayehonga buku jero tuko kundi moja la wahongaji.

Aliyepanga category za wahongaji alikuwa vere fea[emoji1787][emoji1787]
Tena wewe wa buku jero unaweza ukawa umetoa nyingi kuliko alietoa million 20 maana unaweza ukawa umepiga deiwaka ukalipwa 3000 ukahonga 1,500 (50% ya kipato chako) huku alietoa million 20 ikawa ametoa punje tu kiasi kingi alichoingiza maana anaweza akawa amepiga dili la 500 million
 
Tupo wanawake tunaovipenda vibamia kwa dhati kabisa,, hivyo jiamini tu, mko vizuri kunako mavituzi
 
Nimekumbuka haya mambo ya SKUVI sikujua kama Mengi ndio alikuwa ni kinara nadhani at that time Lukuvi ndio alikuwa Waziri anaehusika na hayo mambo na mie nilikuwa najua Lukuvi ndio alikuwa anasimamia show japokuwa sijui kipi kilitokea SKUVI zikafa (au zime-graduate)
 
Sikumbuki Lukuvi ktk jambo hili. Ila kuhusu kifo cha SKUVI sijui ni kwa nini. Ila baadhi yetu tulikuwa wanafunzi wakati tukisubiri kuendelea na masomo baadae. Muda wa kuendelea na masomo ulipofika, tukaendelea na masomo yetu, tukaachana na biashara.
 
Naam. Mapenzi ni kumpenda mtu holistically, siyo kasehemu kake. Ukisikia mtu anakwambia anapenda sehemu yako fulani tu, ujue kuna tatizo hapo.

Halafu kuna kitu kingine ambacho watu wengi hawajui. Maumbile ya wanaume yanatofautiana sana yanapokuwa yamesinyaa. Yanapokuwa yamesimama, huwa yana ulinganifu kwa kiasi kikubwa.
Tupo wanawake tunaovipenda vibamia kwa dhati kabisa,, hivyo jiamini tu, mko vizuri kunako mavituzi
 
Vibamia vitamu sana, usisikilize wanaomiliki masinia hamna chochote kitamu kwao
 
Nakubaliana na wewe. Hapa wifi yako hapa akifika basi mwili unamkakamaa kama kapigwa shoti ya umeme vile. Miaka nenda rudi ni hivyo hivyo, na watoto juu, halafu unambie eti vibamia havina maana,.... Zee Korofi, smaki
Vibamia vitamu wewe asikwambie mtu, Hadi machozi yanatoka havichoshi maumbile, haviboi haviumizi,, ngono Ni starehe Sasa kuingiza dude ukaanza kufumba macho na kubana miguu hata hainogi, 🙌🙌 ningeandika zaidi ila acha niishie hapa
 
Mil 20 kwa mzee ilikua ndogo saana
 
Jacky na ndugu zake na mapacha walikua wanapelekwa Hyatt regency kupata lunch na mzee Mengi analipa, imagine sahani moja ya msosi Hyatt regency ni sh ngap hlf upige mara ndugu wa Jacky Sky Eclat
 
Wema na ukarimu wa marehemu unatumika kama fimbo ya kumchapa mwenda zake...
Watanzania baadhi yetu ubinadamu hatuna.. Yaani zilo kabisa..
 
Naona unabishana na tajiri no 1wa dunia ya JF [emoji1][emoji1] mega trillionea anabishana huku JF...
Mkuu watu wa humu Jf ni wa kuangalia tu, mtu anakwambia eti alikula tenda ya $15 trillion.

Nadhani alitaka kusema uongo ila hakujua thamani ya fedha anazotaja😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…