Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Hawa ndio wale wanaokuwa mabilionea alafu wanajaza magari ya kifahara kumi. Wewe honga ule mbususu....sii u aona jamaa kabadilisha maisha ya hao warembo...mabilionea wanatakiwa kuwa na wake wengi ili kunufaisha jamiii
Ndio maana ulimtetea yule dada alokuwa anatunywesha chai eeh?
 
Madam ritha anakwambia ametembea hii dunia amekula raha kisa mzee mengi. Hakuna la kumshangaza mengi alimpeleka kote.
Anasema mengi alimpenda madam kisa tu walikuwa wanakutana gym hapo madam katoka zimbabwe masomoni anashangaa watu wanamshobokea mengi wakati yeye hajui hata mengi ni nani.
Mzee akajisogeza kwa madam, na madam anakwambia alikuwa na bwanake huyo foreigner ana ela kinoma anasukuma.ndinga za maana na bwanake hataki afanye kazi.
Mzee eti akamuuliza unanijua mimi nani, madam akamwambia skujui hata 🤣🤣
To cut the story short, madam anadai hatowahi kuja mpenda mwanaume kama alivyompenda mzee. Na anadai anajua hata mzee alikuwa nampenda mpaka nyakati za mwisho.
 
Mengi alikua mtu POA Sana, kaumaliza mwendo.
Sio unatafta afu unajinyima mno[emoji4]
 

Hizo ni story za madem kujipandisha level.

Kuna dada alikuwa miss nigeria . Alihojiwa anakwambia mume wake alivyokuja kumtongoza mara ya 1 alikuwa hamjui ni nani? Wakat huyo mumewe alikuwa maarufu nigeria nzima alikuwa anacheza ligi ya uingereza na nahodha wa timu ya taifa ya nigeria.

Marafiki zake ndio wakamwambia huyo kaka ni fulani. Walikutana kwenye harusi
 
.....
Kwenye huo huo msiba kuna wanafunzi walitoka shule na uniform wanalia sana kumbe walikuwa wanasomeshwa na Mutie, Mengi alikuwa hajui akashangaa.
 
Kwahyo unataman ungekua unahongwa wew.. hatar
 
Madam anasema alikuwa katoka zimbabwe hata mengi mwenyewe hakuwa anamfaham, from there meng akajua sijui kasoma masuala ya vipindi, akamwambia ampe kazi halafu mshahara kiduchu kama 30000 hivi. Madam akakataa baadae akawaza sasa kasoma why asifanye tu, basi akaanza kazi bwanake akamwambia achague kazi au yeye, madam akachagua kazi.
Anasema akafundishwa vingi akakutanishwa na watu, baadae akamsimamisha kazi, madam anadai aliumia ila eti, eti lakini anadai alimsimamisha eti ndipo aje amtokee maana kumtokea wakati kamwajiri isingekuwa sawa..
 
🤣🤣🤣🤣 madam anazingua.
Ukute alienda kwenye hiyo gym purposely kwa ajili ya kumtega mzee wa watu..
Ila ndo hawezi kusema sasa....
 
Mbona mimi bwanangu si bilionea kama Mengi lakini kanipa mapesa mengi zaidi ya hayo....
Kutoa ni kipaji

Kwenye huo huo msiba kuna wanafunzi walitoka shule na uniform wanalia sana kumbe walikuwa wanasomeshwa na Mutie, Mengi alikuwa hajui akashangaa.
Motie ndie alimpa vifaa vya digital masterjay.
Masterjay anasema motie alikuja studio akawa anatazama anafanya production, akamuuliza hivi vifaa vya ksasa bei gani, master akamwambia pesa ndefu, motie akataka kukua uktaka kufungua inahtajika ninj na nini, master akataja. Ikapita muda, siku moja akamwita ofsini kwake, master kufika pale anaona mzigo wa vifaa akawaza huyu kumbe alitaka fungua studio ya kisasa atufunike. Wakapiga story master ikafika muda wa kuaga, motie ndo akasema halafu kidogo nisahau, nimekuita ili uchukue mzigo wako huu.
Master anasema hakuamini.
Walikuwa na moyo wa kutoa hao jama mtu na baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…