Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Nakuja aunt,
Wee tajiri yupi na wa wapi?
Wajomba maresh gan bongo hii wana hela chafu hivyo?

Vidampa tunanyooshwa, mwenzetu lokole kahongwa harrier, hatupumui. Anasemaje sasa.
"Mtakesha na kuvizia hapo kidimbwi, elements, KFC, ila mie niko tu home ndinga inanifata enyewe" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kina delicious na kisura, pk kimodo walivoanza kumcharukia sasa mie hoi. Nimecheka mbavu cna. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mh
 
Madaam rita kumbe ni tabia yake kujisifia
IMG_20220422_203401.jpg
 
Mkuu watu wa humu Jf ni wa kuangalia tu, mtu anakwambia eti alikula tenda ya $15 trillion.

Nadhani alitaka kusema uongo ila hakujua thamani ya fedha anazotaja[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Madam anasema alikuwa katoka zimbabwe hata mengi mwenyewe hakuwa anamfaham, from there meng akajua sijui kasoma masuala ya vipindi, akamwambia ampe kazi halafu mshahara kiduchu kama 30000 hivi. Madam akakataa baadae akawaza sasa kasoma why asifanye tu, basi akaanza kazi bwanake akamwambia achague kazi au yeye, madam akachagua kazi.
Anasema akafundishwa vingi akakutanishwa na watu, baadae akamsimamisha kazi, madam anadai aliumia ila eti, eti lakini anadai alimsimamisha eti ndipo aje amtokee maana kumtokea wakati kamwajiri isingekuwa sawa..
Na wakati huo alikuwa na mke........
 
The way alivyokuwa anamzungumzia hadi akawa emotional na kutoa machozi design niliona labda kuna ukweli. Hadi alikumbushia mara ya mwisho kuonana naye na it seems alikuwa na salama mwenyewe maana salama ndiye alimkumbusha hilo tukio kuwa sijui walionana wakati wanamuaga ruge na madam alipoona mzee alivyodhoofu akalia siku nzima akawa anadai eti aliona death imemzunguka mzee.
She was so emotional wakati anamzungumzia kuliko hata wakati anazungumza alivyokuwa raped.
Vipindi vinapangwa, umekomaa so emotional...so emotional

Akili za wabongo bwana, maana wasanii wanawakamata na kiki
 
Dadangu nikwambie ukweli ukwelii,yaani ule ukwelii kabisa wa ndani ya moyo...lila mwanaume angejisikia raha sana kum spoil mwanamke/wanawake zake.ni njaa tu na umasikini ila kuna raha fulani hivi nzito tunapata tukiwapa hela.ni umasikini tu ndo unasababisha majina Kama Gold diggers na kadhalika
Ukweli ndo huu sasa, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nimeona video ya dokii YouTube alipelekwa na mzee Mengi hadi south Afrika kusomeshwa akapewa na u$d 8500 (tshs million 17) ya ada na matumizi achilia $2000(tshs milioni 4) au $4000(tshs milioni 8) zingine alizopewa kabla ya kupewa ada, baada ya kupewa izo hela dokii alisema mzee mengi alimsahau, hata walivokutana tena mzee mengi hakuMkumbuka dokii

Miriam odemba wa tangazo la revola naye alikiri kupelekwa uingereza na mzee mengi kwenda kusomeshwa, na alivyofanya tangazo la revola Mengi alimpa pesa Ndefu hadi akaanza kuitumia kujenga nyumba

Hapo sijaongea Na sijajua madam ritha, na Kyln washahongwaga tshs ngapi na huyu mzee..

Kuna watu wanachapisha hela si wengine twatafta hela ya kula Yani unamuhonga mdada million 20, hlf mwaka ujao humkumbuki tena? Looh Sky Eclat
Kwa hayo maelezo ya dokii na miriam odemba mbona inaonekana kama mzee aliwasaidia tu.
 
Back
Top Bottom