data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Kila mtu afe na lwake". 🤔To each their own.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu afe na lwake". 🤔To each their own.
Ama Twende Burundi Wakati Trillions Za Trab, TratHakuna namna. Unaweza kufa eti!!
huna pesa....acha kutuletea excuse ya kijinga.Nikimpeleka mwanangu primary mje mniite mbwa...
Hizo shule zinafanya mzazi usijue uwezo halisi wa mwanao maana kuna cream nyingi kwenye upande wa matokeo ili kuwafurahisha wazazi.
Ukipeleka mtoto shule za kawaida inasaidia kujua uwezo wake halisi ili ufanye maamuzi kuanzia O-Level umpe support ya aina gani, umuache shule za serikali ama umpeleke private.
Kuna jirani yangu nyumba ilipigwa mnada na bank, alikopa hela bank kwajili ya ada za watoto walikuwa wanasoma sijui FEZA SCHOOL, Sasa bwana hile corona ya Kwanza mwaka 2021, biashara zake ziliporomoka vibaya Sana.Hizo shule ni Trap hizo.
Zinakufanya mzazi Unakuwa kwenye rat race miaka kibao.
Kama upo karibu na english medium zinazomilikiwa na serikali kama olimpio, mpeleke hizo maana ada zake ni nafuu na hazipandi kiholela.
Kama upo mbali peleka kayumba kisha pale pale shuleni kayumba ongea na mwalimu wake wa hesabu na kiingereza wa kila darasa lake uwe unampa vihela vya tution tu amsimamie mtoto akiwa shuleni. Akomae nae mwanzo mwisho
Kisha nyumbani muwekee mazingira mazuri ya kujifunza.. na ikiwezekana awe na private tutor wa kiingereza.
Maisha sio ada tu. Mtoto anahitaji urithi pia wa mali. Sasa kama mzazi unapoteza hela nyingi kwenye ada hizo mali utamuandaliaje?
Masikini kwa kujifaraji hawajambo, kwani pesa alikopa kwa ajili ya biashara au kwa ajili ya ada za shule?Kuna jirani yangu nyumba ilipigwa mnada na bank, alikopa hela bank kwajili ya ada za watoto walikuwa wanasoma sijui FEZA SCHOOL, Sasa bwana hile corona ya Kwanza mwaka 2021, biashara zake ziliporomoka vibaya Sana.
Nyumba ikapigwa mnada na watoto wameenda shule za kawaida huko kwa Bibi yao, na wao wameenda kupanga
Halafu ukute wewe ni kula kulala tu kwa shemeji unaita watu masikini mbbwa wewe,Masikini kwa kujifaraji hawajambo, kwani pesa alikopa kwa ajili ya biashara au kwa ajili ya ada za shule?
Kwahiyo Mimi nawewe Nani anajua zaidi kuwa huyo alikopa kwajili ya kitu gani Kati ya hivyo?Masikini kwa kujifaraji hawajambo, kwani pesa alikopa kwa ajili ya biashara au kwa ajili ya ada za shule?
Benki ya biashara haiwezi kukopa mtu ada ya shule wanakopesha kwenye biashara, labda kama alikopa kwenye his microfinence au saccoKwahiyo Mimi nawewe Nani anajua zaidi kuwa huyo alikopa kwajili ya kitu gani Kati ya hivyo?
Maana ni jirani yangu na Ni mshkaji pia.
Niliwahi kutana na hio, unakuta watoto wote wamepangwa wa kwanza hadi wa 10 na shule Darasa lilikuwa na watoto 40, unakuta No 1 ina watoto kama 6Nikimpeleka mwanangu primary za english medium mje mniite mbwa...
Hizo shule zinafanya mzazi usijue uwezo halisi wa mwanao maana kuna cream nyingi kwenye upande wa matokeo ili kuwafurahisha wazazi.
Ukipeleka mtoto shule za kawaida inasaidia kujua uwezo wake halisi ili ufanye maamuzi kuanzia O-Level umpe support ya aina gani, umuache shule za serikali ama umpeleke private.
Mbona wanafundisha? Huko English Medium wanako karirisha watoto ndiko unaona kuna elimu?Dah!! The struggle is real. Kayumba ni changamoto mkuu. Watoto wanahudhuria shule tu.
Walimu wana stress..pesa hamna madeni..hakuna ufundishaji
We mjingavsana Hizo English Medium kuna Manipulationa za kufa mtu, wana trick za kupumbaza wazazi, hakuna elimu palehuna pesa....acha kutuletea excuse ya kijinga.
Na watapandisha kweli hawa jamaa.Serikali haina budi kufanya lolote liwezekanalo kufanya Shule hizi za private zisipandishe ada kiholela. Zinaweza zikapunguziwa gharama za uendeshaji ili ziwe na nafuu kwa malipo huko serikali.
Baadhi ya Shule vikao vishaanza. Kuna ongezeko la ada la kutisha na wanajiamulia wenyewe kwa utetezi kwamba gharama za maisha zimepanda. Sina shaka na hili kwani sote, ni mashahidi. Vitu havinunuliki.
Njia pekee ni serikali kuzipunguzia Shule hizi mzigo Wa kodi.
Sijui itakuwaje JANUARY!!? Au wazazi wenzangu mnasemaje!? Tupeleke watoto Kayumba!!!
Itakua una uelewa duni na umuhimu wa 'msingi'..elimu ya msingi ni muhimu,yapasa kuwa boraNikimpeleka mwanangu primary za english medium mje mniite mbwa...
Hizo shule zinafanya mzazi usijue uwezo halisi wa mwanao maana kuna cream nyingi kwenye upande wa matokeo ili kuwafurahisha wazazi.
Ukipeleka mtoto shule za kawaida inasaidia kujua uwezo wake halisi ili ufanye maamuzi kuanzia O-Level umpe support ya aina gani, umuache shule za serikali ama umpeleke private.
Acha uongoKuna jirani yangu nyumba ilipigwa mnada na bank, alikopa hela bank kwajili ya ada za watoto walikuwa wanasoma sijui FEZA SCHOOL, Sasa bwana hile corona ya Kwanza mwaka 2021, biashara zake ziliporomoka vibaya Sana.
Nyumba ikapigwa mnada na watoto wameenda shule za kawaida huko kwa Bibi yao, na wao wameenda kupanga
Kwann unasema naongopa dada? Ni Jambo la kweli kabisaAcha uongo