Private schools (English medium) ada kupanda maradufu 2023. Serikali iingilie kati

Private schools (English medium) ada kupanda maradufu 2023. Serikali iingilie kati

Kwahiyo Mimi nawewe Nani anajua zaidi kuwa huyo alikopa kwajili ya kitu gani Kati ya hivyo?

Maana ni jirani yangu na Ni mshkaji pia.
Mtoto koomah huyo, yani humu watu wanajitutumua kweli kumbe wengi maskini wenzetu tu. Haina haja ya mtu kujimaliza eti unapambana na ada za shule za mamilion badala ya kumuwekezea mtoto mali.
 
Haya mawazo yanatoka kwa sababu ya umasikini..shule za elimu bure ni majanga matupu..pili hizo gharama za kuwalipa hao walimu wa twisheni sidhani kama zitapishana sana na ada ya mwaka ya private.

Kaa chini upige hesabu vzr.

Nashauri tuendelee kusaka hela ili kuwapa elimu bora watoto na pia kuwapa urithi mwisho wa siku.

#MaendeleoHayanaChama
Ukiondoa kuongea Kingereza niaambie bi kitu gani kingine mtoto anaondoka nacho huko English medium,
 
Nakuelewa lazima ulinde ugali wako.

Safari ya elimu Tanzania wanaofanya vizuri darasani vyuo vikuu huwa wanakutana udsm,mzumbe na Muhas .. haijalishi umesoma kayumba ama shule zenu za kina junior

Nenda udsm hata leo hii kafanye research wangapi wamesoma kayumba primary na wangapi wamesoma shule zenu za kinyonyaji..

Elimu ni content na sylabus sio lugha peke yake....

Mtoto wa shule ya msingi Madenge anafundishwa same sylabus yenye content hizo hizo ambazo wa tusiime primary school anafundishwa tofauti ni lugha ya kufundishia tu.

Sasa why ununue same content kwa bei ya milioni 2. Wakati mwenzako anazipata bure... na mwisho wa siku baada ya kidato cha sita hao wa madenge na tusiime wote wanakutana udsm na kwenye ajira za utumishi na mshahara sawa sawa
Kila mmoja ana hitajio lake ktk kumpeleka mtoto Shule za private.
 
Suala siyo vyeti Bali elimu
English medium kwani wanatulia mitala ipi? Nazani mnachanganya madesa, International school na English medium, kama mtoto wako yuko English medium mtala ni huu huu wa changanyinkeni, Wale wa International School ndio wana mitala yao.

Huwa mnadanganywa kwamba watoto wenu wanasoma International school
 
Na shule nyingi za English medium watoto wengi wanaanza kuaribikia huko na ushoga na usagaji unaanzia huko nimeshaona mifano mingi na mwisho wa siku mzazi unaanzia kulalamika mtoto ameharibika na kumbe wewe ndio chanzo
Kabisa
 
Kwaio mzee inawezekana haujasimama vizuri kwenye maisha jipange msomeshe mtoto shule bora kua na masters sio hata tija..shule za private mtoto anapata na exposure hawezi kua mzembe mzembe...🤣🤣🤣
Exposure ya kufumuliwa marinder sio
 
English medium kwani wanatulia mitala ipi? Nazani mnachanganya madesa, International school na English medium, kama mtoto wako yuko English medium mtala ni huu huu wa changanyinkeni, Wale wa International School ndio wana mitala yao.

Huwa mnadanganywa kwamba watoto wenu wanasoma International school
Mitaala hiyohiyo,je elimu inafikishwa vipi kwa mtoto!?..nimefanya alternative to practical o level,sikuwahi ingia lab,test tube niliiona vitabuni na kuichora,hiyo siyo elimu...lakini shule za hela hakuna alternative to practical,Kuna debates...mtoto anajengwa vizuri
 
Hao wanaonunua syllabus kwa 2m ni sababu wazazi wao wanamudu kulipa..tukija kwenye ajira hao wa private wengi hu opt kwenda private wakati waliosoma shule za umma huamini kwa public employment ndo kila kitu...nkt hao wengine exposure inawawezesha kujua public employment haina issue yoyote...90% ya wanaolalamikia ajira za serikali wamesoma shule za serikali waliopiga private education hawataki hata kuzisikia hizo ajira za serikali za 900k kwa mwezi...[emoji1787][emoji1787][emoji7]
Hawana jinsi ni lazima tu wakimbilie katika Ajira sa serikali maana katika interview za private sectors waliosoma kayumba utawaonea huruma hata kama ana degree ya UDSM wakati waliotoka English Media wanakuwa na full confidence
 
Sasa hawa wa kayumba akili zao huona dili ni kufanya kazi serikalini ndo anaona amefanikiwa katika maisha...tatizo zero exposure...
 
Mtoto koomah huyo, yani humu watu wanajitutumua kweli kumbe wengi maskini wenzetu tu. Haina haja ya mtu kujimaliza eti unapambana na ada za shule za mamilion badala ya kumuwekezea mtoto mali.
huo ndio ukweli mkuu, Kuna mshkaji analalamika ameshindwa kuwa hata na kiwanja miaka yote, pesa yote inaishia kwenye school feees za watoto,

Ukiwa na uwezo Ni sawa mtoto kusoma shule zenye ada kubwa,hila Kama uwezo mdogo Basi wapeleke hata shule zenye ada za kawaida au kayumba halafu wapige na tuition
 
Kwaio mzee inawezekana haujasimama vizuri kwenye maisha jipange msomeshe mtoto shule bora kua na masters sio hata tija..shule za private mtoto anapata na exposure hawezi kua mzembe mzembe...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu rudia kusoma ulichoandika
 
Mtoto koomah huyo, yani humu watu wanajitutumua kweli kumbe wengi maskini wenzetu tu. Haina haja ya mtu kujimaliza eti unapambana na ada za shule za mamilion badala ya kumuwekezea mtoto mali.
Tatizo ni show off, mkumbo
 
Wewe uwezo ndo unao kusumbua tu hamna lolote sabb zako hazina mashiko
Sasa mnalalamika nini kama mmeanua wenywe kupeleka watoto wenu mana uwezo wa kuwalipia watoto mnao.... la sivyo Shule za serikali zipo nyingi tu tena nyngine ni English Medium!
 
Na shule nyingi za English medium watoto wengi wanaanza kuaribikia huko na ushoga na usagaji unaanzia huko nimeshaona mifano mingi na mwisho wa siku mzazi unaanzia kulalamika mtoto ameharibika na kumbe wewe ndio chanzo
Hii hoja haina mashiko..nimesoma shule za umma na mashoga walikuwepo.

Chamsingi hakikisha mtoto wako asiende bording iwe umma ama binafs kabla hajajitambua..

#MaendeleoHayanaChama
 
Nakuelewa lazima ulinde ugali wako.

Safari ya elimu Tanzania wanaofanya vizuri darasani vyuo vikuu huwa wanakutana udsm,mzumbe na Muhas .. haijalishi umesoma kayumba ama shule zenu za kina junior

Nenda udsm hata leo hii kafanye research wangapi wamesoma kayumba primary na wangapi wamesoma shule zenu za kinyonyaji..

Elimu ni content na sylabus sio lugha peke yake....

Mtoto wa shule ya msingi Madenge anafundishwa same sylabus yenye content hizo hizo ambazo wa tusiime primary school anafundishwa tofauti ni lugha ya kufundishia tu.

Sasa why ununue same content kwa bei ya milioni 2. Wakati mwenzako anazipata bure... na mwisho wa siku baada ya kidato cha sita hao wa madenge na tusiime wote wanakutana udsm na kwenye ajira za utumishi na mshahara sawa sawa
Wanakutana wote vyuo vikuu sikatai kwa hilo..je unajua ninwatoto wangapi wa shule za umma wanao feli masomo ukilingamisha na walioshule binafsi.

Acha kujitoa akili..shule binafs bado zina mchango mkubwa sana katika elimu bora.

Suala la lugha huwezi lingamisha kati ya mtoto aliyesoma private na umma..pia tunangalia soko la nje yupi atauzika zaidi hasa katika usaili na kupata kazi.

Kama viongozi wako hawadhubutu kusomesha watoto wao shule zaumma unadhani wao wajinga.

Umasikini umekufunga ubongo..mtoto anayesoma private ana exposure kubwa sana kuliko wa kidumu mfagio.

Tafuta hela wape wanao elimu bora achana na propaganda za wana siasa ambao watoto wao wapo IS.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mleta mada acha upuuzi, umeshasema private schools, kwahiyo wana maamuzi yao ya kujipangia na wewe hujalazimishawa kupeleka mtoto wako. Acha mambo ya kijamaa yameshapitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom