Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Elimu nzuri ni ipi?Ndiyo...alipata elimu nzuri tangu awali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu nzuri ni ipi?Ndiyo...alipata elimu nzuri tangu awali
Chukua mtoto wa shule za umma na za hela,mmoja mmoja ongea nae,utaona tofautiElimu nzuri ni ipi?
Wakipandisha watakosa wanafunzi na shule zitakufa kifi cha asiliMzilankende
Akumbukwe
Ukweli Wakipandisha Mwafaa, Twafaa
Unachotaka ni mtoto asome shule ya ghali au afaulu masomo yake?Serikali haina budi kufanya lolote liwezekanalo kufanya Shule hizi za private zisipandishe ada kiholela. Zinaweza zikapunguziwa gharama za uendeshaji ili ziwe na nafuu kwa malipo huko serikali.
Baadhi ya Shule vikao vishaanza. Kuna ongezeko la ada la kutisha na wanajiamulia wenyewe kwa utetezi kwamba gharama za maisha zimepanda. Sina shaka na hili kwani sote, ni mashahidi. Vitu havinunuliki.
Njia pekee ni serikali kuzipunguzia Shule hizi mzigo Wa kodi.
Sijui itakuwaje JANUARY!!? Au wazazi wenzangu mnasemaje!? Tupeleke watoto Kayumba!!!
Dahh!!! Wacha tuone kwanza.Peleka kayumba mkuu , yaani serekali iingilie shule za private wakati serekali yenyewe inasimamia shule zake ambazo Ada ni bure .
Kumpeleka mtoto wako private ni kihere here chako tu, Kama huwezi mpeleke kayumba acha kulalamika , waachie wenye uwezo waende private