MANAGER DOCTOR WENGER
JF-Expert Member
- Jan 3, 2026
- 202
- 304
Mwaka Fulani awamu ya tano, nilikua geita, yes geita wanapaita gold city, au g town, kama kawaida yetu mapopo, hatulali mapema kiwanja kwa sana, Sasa mwenyeji wangu mmoja, nikimuuliza wapi pa kwenda kuparty, akanielekeza sehemu panaitwa desire park.
Nilienda kule lakini sikuona maajabu watu hamna kipindi hiki japo, wakileta wasanii ni full house mzee ila kama hamna msanii pa kidwanzi sana, nika kuasha mzeeri.
Siku moja pita pita, maeneo nikadondokea, mahala Fulani hivi Kuna dogo mmoja kama sikosei alikua anaitwa kulwa, huyu tulifahamiana tu kwa kusonteshewa na yule rafiki yangu, basi nimepiga stori na kulwa alikua anishi hapo mjini kwenye ukumbi mkubwa wanaonesha mpira, dogo akanisonteshea usborn, akadai kwa hapo mjini ndo kiwanja pendwa.
Nikajivuta kwa kweli kwa kipindi hicho ilikua balaa, shazi la watu kinoma, macho yangu yakadondoka kwa Binti mmoja mweupe mwenye rangi kwa nywele brown bleach, Tako kubwa kiuno nyigu kama kajala masanja mzee, alikua ameketi na madon nikamlia time nilipambana mpaka nika pata contact badae nikagundua kafikia guest moja hapo chini, nikaanza kwenda asubuhi kufukuzia, nili win, nika anza kumchapa, sikua na mkamia sana SAA zingine ukikosa nguvu za kiume shukuru mungu unaepushwa mengi ilikua kimoja chali hata yeye hakufurahia show yangu kumbe......, dah haya siku zimeenda wee.
Kuna siku nilikua na rafiki yake, mana huyo demu alikua kasepa mkoa mwingine, huyo demu, alikua mwanangu kinoma, SI ndo kanipa stori, huyu demu kaungua, Kuna mwanajeshi alitaka kumuoa, Sasa huwa hawapigi show mpaka wakupime, demu akasema sawa acha tupimwe, tukapimwa mi na yeye, mara pap wale wajeda wakaficha majibu ila walituambia tuko salama, badae mjeda kanitonya mana mi ndo alikua mwanangu NAMI ndo niliemuunga nao, kama kawaida yao. hakumla huyo dada sababu kaungua majibu aliyaficha ili kutoa taharuki, asee nili baha nikaanza kulia yes nilimla yule duhh, nikapanda BODA huyo amref kule mahakamanikwend a kupima sina raha, nikapima mzeeri huku nalia nilijua maisha yangu tayali, mana nilipo fika nilikuta vibinti viko pale vinachukua dawa, asee acheni, tu matokeo kutoka Niko safi, nikakimbia kwa yule duuh kumtonya akadai kua makini asee, dah maisha haya yule dada huwezi mzania na alikua anagongwa balaa na wame za watu kibao tu wamemla sana.
Mfano wake, tu si huyu