AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hahaha kufa hufi ila chamoto utakionaBabu moyo wangu ulilipuka paaah, asee Sasa huyo demu akaja kubeba na bodaboda mmoja Yani akaolewa akapelekwa sehemu panakaribia na msufini wakaanza ishi nae, ndo panaitwa hivo mzer, watu si wakawa wanamtonya huyo BODA, oya huyo duuh kaungua piga chini jamaa hataki, ohhooo baadae likasanuka kumbe yule boda nae kachoma mzer