Probability ya kuchukua demu AU mtu anayejiuza bar, akawa mzima wa afya ni ndogo sana, nitakupa stori

Probability ya kuchukua demu AU mtu anayejiuza bar, akawa mzima wa afya ni ndogo sana, nitakupa stori

Nakupa hii CODE na hii ni kwa wanangu wote wa mechi za ugeninu.

Hakikisha demu ana joto Shingoni.
Kuwa na timing ili asijue unamchunguza.

Akiwa na joto wewe teleza bila wasi.
Akiwa hana joto Sasa hapo uamuzi ni wako.
Joto linasaidia nini ufafanuzi.
 
Mfano mmoja hautoshi kutoa majibu sahihi

Mimi nilikuwa muumini mzuri wa kuhudhuria viwanja japo kuhusu kutoka na wanawake ilikuwa sio sana hasa ukizingatia misimamo yangu huwa naona kinyaa sana

Kuna wakati kama mtu rijali lazima utashikwa na tamaa tu hivyo hiyo hali ikinizidia huwa nawapima. Wengi wanapenda kwenda kupima hospital ila mm msimamo wangu ni tofauti kidogo, kipimo ninachokiamini nikile ninachokishuhudia mwanzo mwisho mpaka majibu yake na sio majibu ya kupewa dirishani

Kwa idadi ya wanawake wengi ambao nimewahi kuwapima ni wachache sana ambao niliwakuta wameathirika

Na wapo wale ambao unaambiwa kabisa huyu ameungua ila nikija kupima namkuta mzima na napeleka moto kama kawaida as long as kipimo kinasoma negative

Huko bar wapo wanawake wengi ambao wanajali afya zao na wachache kwa sababu zao binafsi ndo wanajiachia tu

NA wapo ambao naambiwa kabisa huyu ametulia sana ila ukipima unashangaa kitu kinasoma positive

COnclusion ukimwi haupimwi kwa macho wala mwenendo wa mtu wala umekutana naye mazingira gani
"Eti nakupenda toka zamani na wewe unakubali ,oh ujinga huo ,ubwege huo ,Ukimwi ukimwi huo shauri yaakooo ,Wakati wa kujilinda sasa utakoma utaenya na kithaa thaa ,utaenda wapi huko Bukoba imebaki Migomba" - Fun with Sense Jos Mtambo 1993
 
Ukitaka kujua kwamba hali ni mbaya kama una urafiki na daktari wa hizi hospital kubwa ambazo watu wanaenda kuchukua njugu atakwambia ni noma....mabinti wadogo wameungua.
 
Ukitaka kujua kwamba hali ni mbaya kama una urafiki na daktari wa hizi hospital kubwa ambazo watu wanaenda kuchukua njugu atakwambia ni noma....mabinti wadogo wameungua.
Alafu hao ndo wanaupeleka majumbani kwa watu, kupitia wanaume wapenda vitoto, akikatikiwa ikabanwa akapizi hadi ubongo tayari, kwishaa, na wake zetu nao wanauchukua kwa mabodaboda
 
Geita maambukizi ni makubwa sana, huwezi vuka nyumba tano usikute muathirika wa ukimwi, amini usiamini wanajificha hata huwezi wadhaniwa.

Balaa lingine hili, nyumba nilikuwa naishi, Kuna demu alikua beki tatu, mweusi Tako Hilo ngozi laini balaa, Yani soft, japo sikua na mzuka nae sana, Yani sikua na time nae, bhana eeh, mfanyakazi mwenzake siku hiyo katuita mi na mshikaji mmoja hivi alikua masela wake, owa njooni katupeleka kwenye chumba Chao wanacho ishi, kapekenyua begi, mara paap kwa mara ya kwanza nikaona dozi ya virusi vya ukimwi ilikua kwenye kakopo kadogo keupe kama sikosei, akatuambia nyie Sasa jichanganyeni kwa huyo demu mtajua hamjui,

Babu moyo wangu ulilipuka paaah, asee Sasa huyo demu akaja kubeba na bodaboda mmoja Yani akaolewa akapelekwa sehemu panakaribia na msufini wakaanza ishi nae, ndo panaitwa hivo mzer, watu si wakawa wanamtonya huyo BODA, oya huyo duuh kaungua piga chini jamaa hataki, ohhooo baadae likasanuka kumbe yule boda nae kachoma mzer
 
mahakamanikwend a kupima sina raha, nikapima mzeeri huku nalia nilijua maisha yangu tayali, mana nilipo fika nilikuta vibinti viko pale vinachukua dawa, asee acheni, tu matokeo kutoka Niko safi, nikakimbia kwa yule duuh kumtonya akadai kua makini asee, dah maisha haya yule dada huwezi mzania na alikua anagongwa balaa na wame za watu kibao tu wamemla sana.
Huyo manzi alikuzingua tu hakuna ukweli hapo, wewe aliamua kukuzingua tu
 
kapekenyua begi, mara paap kwa mara ya kwanza nikaona dozi ya virusi vya ukimwi ilikua kwenye kakopo kadogo keupe kama sikosei, akatuambia nyie Sasa jichanganyeni kwa huyo demu mtajua hamjui,
Mkuu, ngoja nikutobolee siri ya ukimwi, ukimwi huwapata wale wanaouogopa yaan wewe ukijiona unauogopa sana basi jua siku moja utaupata, na hio ndio siri ila ukiwa hauogopi ni sawa na mtu anaetembea kwenye daraja la kamba moja ambayo haina pa kujishikiza muoga siku zote ndie anaeanguka ila jasiri hua anavuka salama
 
Mwaka Fulani awamu ya tano, nilikua geita, yes geita wanapaita gold city, au g town, kama kawaida yetu mapopo, hatulali mapema kiwanja kwa sana, Sasa mwenyeji wangu mmoja, nikimuuliza wapi pa kwenda kuparty, akanielekeza sehemu panaitwa desire park.

Nilienda kule lakini sikuona maajabu watu hamna kipindi hiki japo, wakileta wasanii ni full house mzee ila kama hamna msanii pa kidwanzi sana, nika kuasha mzeeri.

Siku moja pita pita, maeneo nikadondokea, mahala Fulani hivi Kuna dogo mmoja kama sikosei alikua anaitwa kulwa, huyu tulifahamiana tu kwa kusonteshewa na yule rafiki yangu, basi nimepiga stori na kulwa alikua anishi hapo mjini kwenye ukumbi mkubwa wanaonesha mpira, dogo akanisonteshea usborn, akadai kwa hapo mjini ndo kiwanja pendwa.

Nikajivuta kwa kweli kwa kipindi hicho ilikua balaa, shazi la watu kinoma, macho yangu yakadondoka kwa Binti mmoja mweupe mwenye rangi kwa nywele brown bleach, Tako kubwa kiuno nyigu kama kajala masanja mzee, alikua ameketi na madon nikamlia time nilipambana mpaka nika pata contact badae nikagundua kafikia guest moja hapo chini, nikaanza kwenda asubuhi kufukuzia, nili win, nika anza kumchapa, sikua na mkamia sana SAA zingine ukikosa nguvu za kiume shukuru mungu unaepushwa mengi ilikua kimoja chali hata yeye hakufurahia show yangu kumbe......, dah haya siku zimeenda wee.

Kuna siku nilikua na rafiki yake, mana huyo demu alikua kasepa mkoa mwingine, huyo demu, alikua mwanangu kinoma, SI ndo kanipa stori, huyu demu kaungua, Kuna mwanajeshi alitaka kumuoa, Sasa huwa hawapigi show mpaka wakupime, demu akasema sawa acha tupimwe, tukapimwa mi na yeye, mara pap wale wajeda wakaficha majibu ila walituambia tuko salama, badae mjeda kanitonya mana mi ndo alikua mwanangu NAMI ndo niliemuunga nao, kama kawaida yao. hakumla huyo dada sababu kaungua majibu aliyaficha ili kutoa taharuki, asee nili baha nikaanza kulia yes nilimla yule duhh, nikapanda BODA huyo amref kule mahakamanikwend a kupima sina raha, nikapima mzeeri huku nalia nilijua maisha yangu tayali, mana nilipo fika nilikuta vibinti viko pale vinachukua dawa, asee acheni, tu matokeo kutoka Niko safi, nikakimbia kwa yule duuh kumtonya akadai kua makini asee, dah maisha haya yule dada huwezi mzania na alikua anagongwa balaa na wame za watu kibao tu wamemla sana.

Mfano wake, tu si huyu
Moja wapo ya Dalili kuu ya mwanaume mwenye akili ndogo ni kupenda wanawake wenye matako makubwa ...najua wabishi mtabisha ila ndiyo ukweli..wanaume wenye kujielewa uangalia miguu badala ya tako
 
Moja wapo ya Dalili kuu ya mwanaume mwenye akili ndogo ni kupenda wanawake wenye matako makubwa ...najua wabishi mtabisha ila ndiyo ukweli..wanaume wenye kujielewa uangalia miguu badala ya tako
Vyote vyote tu hakuna matako makubwa yanayobebwa na spoku za baiskeli namaanisha huwezi ukamkuta mwanamke ana matako makubwa halafu hana mguu wa kutosha kuyabeba hayo matako huo ni uongo
 
Mkuu, ngoja nikutobolee siri ya ukimwi, ukimwi huwapata wale wanaouogopa yaan wewe ukijiona unauogopa sana basi jua siku moja utaupata, na hio ndio siri ila ukiwa hauogopi ni sawa na mtu anaetembea kwenye daraja la kamba moja ambayo haina pa kujishikiza muoga siku zote ndie anaeanguka ila jasiri hua anavuka salama
Unaujasiri kiwazidi watu wa machimboni wewe? Usha ona mashimo wanayo ingia? Kaka acha kuwapotosha madogo waambie ukwelo wajirinde na wamuombe mungu awalinde
 
Moja wapo ya Dalili kuu ya mwanaume mwenye akili ndogo ni kupenda wanawake wenye matako makubwa ...najua wabishi mtabisha ila ndiyo ukweli..wanaume wenye kujielewa uangalia miguu badala ya tako
Ushambaa sana Sasa miguu ya nini? Au una kazi nayo?
 
Back
Top Bottom