Probability ya kuchukua demu AU mtu anayejiuza bar, akawa mzima wa afya ni ndogo sana, nitakupa stori

Na hii iwe funzo, Tako mbili tu zinaweza kukufanya upate homa miaka 10 kila siku viungo vinauma, huna hamu ya kula mara unakohoa
Binadamu tumeumbiwa kusahahu mkuu.. kuna wanaoteseka kuliko wa umeme kama kansa nao utasemaje ? Hakuna aijuae kesho, hatupendi kununua malaya ila sasa inabidi tu wakati mwingine,
 
Binadamu tumeumbiwa kusahahu mkuu.. kuna wanaoteseka kuliko wa umeme kama kansa nao utasemaje ? Hakuna aijuae kesho, hatupendi kununua malaya ila sasa inabidi tu wakati mwingine,
Kununua Malaya inaonesha usivyojali na Hina future kwenye maisha yako. Ukiona Mzee wasira ana miaka 90 na bado anatumbua Maisha ujue hakuishi hivyo hivyo bila mipango kama wewe

Kijana unajidharau na kujipa Low Value unakula Malaya aliyejikatia tamaa? Unajua huna akili huyo ni kama mzoga kila mtu anakojolea
 
Sasa malaya nao ni watu mkuu, na kwa taarifa yako umalaya umekuwepo zaidi ya miaka 4000... Kula malaya sio kushusha thamani ila inatokea tu. All ina all upo sahihi unachosema, na aijuae kesho ya mtu ni Mungu
 
Sasa mzee upo Geita unapiga fakufaku, utakufa mwanangu. Gold city zote zipo hovyo kimagonjwa. Huko ni sodoma ndogo.
 
Na hakuna sehemu kuna malaya kama Morogoro. Huo mji una laana.
 
Wanaojiuza ni hao hao dada zetu na ndugu zetu wanawake, unaweza kuta dada zetu washatoka home kitambo ukiwapigia simu kuwaulizia kazi wanazofanya huko mjini wanakwambia wanapika mgahawa kumbe anajiuza,akirudi home ana mipesa na anajenga,kisha wewe unajitokeza kumuoa ukiamini ni mtoto wa jirani kumbe hapo mwanzo aliwahi kujiuza. Tuweni makini vijana.
 
Kwakweli mkuu
 
Mkuu kweli kabisa, huwa nashangaa wanao iponda nyeto mkuu, hio ni Bora na inasevu sana, hao mademu wa bar hata kama niwa ajiriwa serikalini madon wauza unga wana pesa vibaya hawawezi kukosa labda wasikiuelewe tu, na mademu wa Sasa na kuhudumiwa, Yani mpaka najihurumia
 
Kama alikuwa mweupe wasukuma wote kawamaliza😄😄
Mkuu yule dada alikua mweupe sijui alikua anatumia nini, alafu nywele zake aliweka bleach alafu Tako kiuno chembamba acha alafu nilikua nmnyonya lips za mdomoni laini mzer na Tako laini, wallah alikua demu wa kwanza kuniliza, baada ya kunikimbia bila taarifa ndo badae napata stori kachoma
 
Haswa mkuu we piga hesabu kama huyo dada angekua haja athirika, mjeda alikua anaenda kumuoa
 
Binadamu tumeumbiwa kusahahu mkuu.. kuna wanaoteseka kuliko wa umeme kama kansa nao utasemaje ? Hakuna aijuae kesho, hatupendi kununua malaya ila sasa inabidi tu wakati mwingine,
Ila kansa kiboko, ukimwi ukimeza dawa poa kabisa, unaishi zako poa sana, ila kansa mungu tuepushe inshaallah
 
Nakupa hii CODE na hii ni kwa wanangu wote wa mechi za ugeninu.

Hakikisha demu ana joto Shingoni.
Kuwa na timing ili asijue unamchunguza.

Akiwa na joto wewe teleza bila wasi.
Akiwa hana joto Sasa hapo uamuzi ni wako.
 
Eti demu anasema, kwa Kinga ef50 bila Kinga laki moja we bado una amini huyo anajitunza na Hana ukimwi unachekesha sana demu mwenyewe kwenda naye geto unamlewesha kwanza huo umakini wa kujikinga anautoa wapi?
 
Mbona mimi naishi hapa mwaka wa tano, siwaoni hao malaya? Acha uwongo bana wewe
Sizani Moro town Malaya kanda ya ziwa migodini huko shida sana, kipindi dar Malaya wanakimbizwa, na yule mkuu wa wilaya, wengine walikuja Arusha Yani EF 7 unakula Malaya hadhi ya bongo movie Yani msafi hata ukinusa k safi balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…