Probability ya kuchukua demu AU mtu anayejiuza bar, akawa mzima wa afya ni ndogo sana, nitakupa stori

Nakupa hii CODE na hii ni kwa wanangu wote wa mechi za ugeninu.

Hakikisha demu ana joto Shingoni.
Kuwa na timing ili asijue unamchunguza.

Akiwa na joto wewe teleza bila wasi.
Akiwa hana joto Sasa hapo uamuzi ni wako.
Joto linasaidia nini ufafanuzi.
 
"Eti nakupenda toka zamani na wewe unakubali ,oh ujinga huo ,ubwege huo ,Ukimwi ukimwi huo shauri yaakooo ,Wakati wa kujilinda sasa utakoma utaenya na kithaa thaa ,utaenda wapi huko Bukoba imebaki Migomba" - Fun with Sense Jos Mtambo 1993
 
Ukitaka kujua kwamba hali ni mbaya kama una urafiki na daktari wa hizi hospital kubwa ambazo watu wanaenda kuchukua njugu atakwambia ni noma....mabinti wadogo wameungua.
 
Ukitaka kujua kwamba hali ni mbaya kama una urafiki na daktari wa hizi hospital kubwa ambazo watu wanaenda kuchukua njugu atakwambia ni noma....mabinti wadogo wameungua.
Alafu hao ndo wanaupeleka majumbani kwa watu, kupitia wanaume wapenda vitoto, akikatikiwa ikabanwa akapizi hadi ubongo tayari, kwishaa, na wake zetu nao wanauchukua kwa mabodaboda
 
Geita maambukizi ni makubwa sana, huwezi vuka nyumba tano usikute muathirika wa ukimwi, amini usiamini wanajificha hata huwezi wadhaniwa.

Balaa lingine hili, nyumba nilikuwa naishi, Kuna demu alikua beki tatu, mweusi Tako Hilo ngozi laini balaa, Yani soft, japo sikua na mzuka nae sana, Yani sikua na time nae, bhana eeh, mfanyakazi mwenzake siku hiyo katuita mi na mshikaji mmoja hivi alikua masela wake, owa njooni katupeleka kwenye chumba Chao wanacho ishi, kapekenyua begi, mara paap kwa mara ya kwanza nikaona dozi ya virusi vya ukimwi ilikua kwenye kakopo kadogo keupe kama sikosei, akatuambia nyie Sasa jichanganyeni kwa huyo demu mtajua hamjui,

Babu moyo wangu ulilipuka paaah, asee Sasa huyo demu akaja kubeba na bodaboda mmoja Yani akaolewa akapelekwa sehemu panakaribia na msufini wakaanza ishi nae, ndo panaitwa hivo mzer, watu si wakawa wanamtonya huyo BODA, oya huyo duuh kaungua piga chini jamaa hataki, ohhooo baadae likasanuka kumbe yule boda nae kachoma mzer
 
Huyo manzi alikuzingua tu hakuna ukweli hapo, wewe aliamua kukuzingua tu
 
kapekenyua begi, mara paap kwa mara ya kwanza nikaona dozi ya virusi vya ukimwi ilikua kwenye kakopo kadogo keupe kama sikosei, akatuambia nyie Sasa jichanganyeni kwa huyo demu mtajua hamjui,
Mkuu, ngoja nikutobolee siri ya ukimwi, ukimwi huwapata wale wanaouogopa yaan wewe ukijiona unauogopa sana basi jua siku moja utaupata, na hio ndio siri ila ukiwa hauogopi ni sawa na mtu anaetembea kwenye daraja la kamba moja ambayo haina pa kujishikiza muoga siku zote ndie anaeanguka ila jasiri hua anavuka salama
 
Moja wapo ya Dalili kuu ya mwanaume mwenye akili ndogo ni kupenda wanawake wenye matako makubwa ...najua wabishi mtabisha ila ndiyo ukweli..wanaume wenye kujielewa uangalia miguu badala ya tako
 
Moja wapo ya Dalili kuu ya mwanaume mwenye akili ndogo ni kupenda wanawake wenye matako makubwa ...najua wabishi mtabisha ila ndiyo ukweli..wanaume wenye kujielewa uangalia miguu badala ya tako
Vyote vyote tu hakuna matako makubwa yanayobebwa na spoku za baiskeli namaanisha huwezi ukamkuta mwanamke ana matako makubwa halafu hana mguu wa kutosha kuyabeba hayo matako huo ni uongo
 
Unaujasiri kiwazidi watu wa machimboni wewe? Usha ona mashimo wanayo ingia? Kaka acha kuwapotosha madogo waambie ukwelo wajirinde na wamuombe mungu awalinde
 
Moja wapo ya Dalili kuu ya mwanaume mwenye akili ndogo ni kupenda wanawake wenye matako makubwa ...najua wabishi mtabisha ila ndiyo ukweli..wanaume wenye kujielewa uangalia miguu badala ya tako
Ushambaa sana Sasa miguu ya nini? Au una kazi nayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…