Probability ya kuchukua demu AU mtu anayejiuza bar, akawa mzima wa afya ni ndogo sana, nitakupa stori

Hahaha kufa hufi ila chamoto utakiona
 
Unaujasiri kiwazidi watu wa machimboni wewe? Usha ona mashimo wanayo ingia? Kaka acha kuwapotosha madogo waambie ukwelo wajirinde na wamuombe mungu awalinde
Kinga muhimu sijasema wasivae kinga kila kitu kinajengwa na mazoea, ukizoea bila kinga utapenda kufanya bila kinga kila wakati ila wazee wenye misuli yetu ambayo hata condom ibane vipi haizuii damu kupita condom lazima ivaliwe tena kwa ustadi maana ukikosea kuivaa condom hua ina kawaida ya kupasuka hua inapanda juu na haitakiwi kufanya hivyo
 
Ushambaa sana Sasa miguu ya nini? Au una kazi nayo?
Miguu mozuri ndiyo inayo balance shape ya mwanamke siyo take..wanawake wenye makalio makubwa sana unakuta miili yso inazeeka vibaya na mabonde bonde kwenye ngozi usafi ni ngumu fangasi wa kutosha ..uwezi kufanya naye acrobatics sex
 

Kwahyo ukikuta negative, Unachapa kavu?
 
Sasa malaya nao ni watu mkuu, na kwa taarifa yako umalaya umekuwepo zaidi ya miaka 4000... Kula malaya sio kushusha thamani ila inatokea tu. All ina all upo sahihi unachosema, na aijuae kesho ya mtu ni Mungu

Una mademu wangapi mkuu?
 
Una mademu wangapi mkuu?
Mie sina demu, huwa nikiwa na nyage, ndio natafuta malaya wa kupiga, natombanaa mala chache sana kwa mwaka... kila baada ya miezi mitatu au miwili ndio huwa najichukilia zangu malaya mmoja mzuri naenda kujilia nahakikisha namaliza nyege zote
 
Mnaosema wanawake wa bar hawafai, mara ooooh!!! Wana ngoma sijui nini.

Kwani hao malaya wanaishi dunia yao peke yao?

Malaya ni hao hao tunaishi nao mitaani.

Ni majirani zetu, ni pisi tunazofukuzia, ni wafanyakazi wa maofisi n.k

Hivyo tusijipe u spesho saana kwa Kuwaita majira ya ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…