[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Humu jamii forum raha sanaAnaweza kuolewa kama atatulia na anaweza kukutana na mkongwe mwezie aliyeshindikana kama yeye ila asije akaweka mbele maharusi ya kupigiwa matarumbeta eti ! anamerere me!! wakati mmeremeto ulishakwisha. Avumilie tuu kwa kuwa alishaaribu avutwe kienyeji basi aendeleze maisha.
Hahahahahahaha....eti Alla S.W...umevamia faniPale Allah S.W atakapomjaalia kama alipotujaalia sisi
Nimevamia Fani kivipi? Mimi na wewe tunamuomba nani atujaalie na kutufanikishia mambo yetu zaidi ya Allah aliyemkuu kuliko viumbe vyoteHahahahahahaha....eti Alla S.W...umevamia fani
Team Povuuu at workYan wakaka baana kujiona wao ndo kila kitu anaolewa mtu na watoto wa2 au wa3 sembuse mmoja afu kaa ukijua kila kitu n mipango ya Mungu binadam kaz yao n kuongea afu hamnaga mtoto acye na baba... Wote wana baba zao labda wew ndo huna.! Kiaz wee
Sidhani kama ana kosa kuzaa kabla ya ndoa, yote ni Mipango ya Mungu kwa vile alivyomjaaliaDada inaonekana umezaa kabla ya ndoa ww
inawezekana ukawa una measurable life kuliko hao unawapa pole, Riziki mtoaji Mungu kaka na huwezi kuliziba jua kwa ungoView attachment 440534Halaf maisha yenyewe magumu! Poleni Sana single mothers wa bongo land!
Na ukweli Mwingine msiotaka kuukubali ni kwamba watoto wengi wa ndani ya ndoa hawatokani na sperm zenu!We ni nabii umesema kweli
Ww leo umeomba mumeo asigundue km umeuza mechiNimevamia Fani kivipi? Mimi na wewe tunamuomba nani atujaalie na kutufanikishia mambo yetu zaidi ya Allah aliyemkuu kuliko viumbe vyote
Aisee Leo single mothers wataisoma numberAlbino hana tatzo hata mlemavu hana tatzo kibaya ni kuzaa kabla ya ndoa kwanza hata family yenu umeidhalilisha kama wew ni first born umewafungulia njia mbaya wenzio wa kike ni full kuongeza mizigo nyumbani
Na hato gundua maana wanaume karibu wote mama yenu ni mmoja kasoro matumbo, ufahari wenu ni kuwakandamiza wengine huku nyie mkijipa faraja kuwa bora kuwa na huyu kuliko yule huku ukiwa hujui nini kitakutokea ikiwa mambo yatabadilika Mbele ya safari ukiwa na uyo unayempa sifa, wamama tuliopo kwenye ndoa tuna siri nyingi sana juu ya hawa watoto ila hamjui tuWw leo umeomba mumeo asigundue km umeuza mechi
Ww ni bingwa kuchepuka?!...sasa si bora usingeolewa tuNa hato gundua maana wanaume karibu wote mama yenu ni mmoja kasoro matumbo, ufahari wenu ni kuwakandamiza wengine huku nyie mkijipa faraja kuwa bora kuwa na huyu kuliko yule huku ukiwa hujui nini kitakutokea ikiwa mambo yatabadilika Mbele ya safasi ukiwa na uyo unayempa sifa, wamama tuliopo kwenyr ndoa tuna siri nyingi sana juu ya hawa watoto ila hamjui tu
Ila alietoa rubber yake si kama aliezaa mtoto kilo 5 huyu bado yadai kwa sisi vidumeAfu wanaume wanajiona watakatiiiifu ila duh acha tu, kwaiyo hao mnaoona kuwa ni wabichi wametupa wangapi? Hiyo haimfanyi mtu kutoitwa mama maana tayar alishatoa ispokuwa anabak kuwa mama wa asiyeonekana
na ww ni single maza mtarajiwa nn?Kua single mother sio ulemavu...
Acheni kuwaandama...
Kwann nisingeolewa!? Ulikua unataka uje unisimange ka unavyowasimanga wengine hapa?Ww ni bingwa kuchepuka?!...sasa si bora usingeolewa tu
Hili ni tatizoYani ww unakua excited kupata 1st born wakati mwenzio hana habari alishaanza kuisoma namba mapema kabla yako