Haiwezi kuwa buti yenyewe bila sababuUyo utakae muoa hazai et... Hyo rubber inaeza kua buti ukashangaa kila mtu na maumbile yake
Mm nisingekusimanga ningeosha rungu tuKwann nisingeolewa!? Ulikua unataka uje unisimange ka unavyowasimanga wengine hapa?
Umezaa na bf?!Kwa wote wanaume /wanawake
Cha ajabu sikujiz km fashen kuzaa ,watt wadogo wanazaa na ma boyfrind ,aisee!
Acha mikwaraJiangalie mkuu tena jiheshimu
Huijui thamani ya mwanamke wewe, endelea kuwasuuza hao hao unaowasimanga,kuolewa ni Majaaliwa nilivyojaaliwa mimi sio wengine wote (wadogo zetu) watajaaliwa hivyo basi si vyema kuwanyanyasa kwa maneno na hisia wao pia ni watu wanaumia hebu wafichieni maumivu yao kama nasi tunavyojaribu kadri tuwezavyo kuyaficha yenuMm nisingekusimanga ningeosha rungu tu
Waache waendelee kutunuku watuHuijui thamani ya mwanamke wewe, endelea kuwasuuza hao hao unaowasimanga,kuolewa ni Majaaliwa nilivyojaaliwa mimi sio wengine wote (wadogo zetu) watajaaliwa hivyo basi si vyema kuwanyanyasa kwa maneno na hisia wao pia ni watu wanaumia hebu wafichieni maumivu yao kama nasi tunavyojaribu kadri tuwezavyo kuyaficha yenu
hii ukipiga antilogarithm mbona unapata probability kubwa tuChonde! Chonde! Akina dada.
Usiombe ukazaa kabla ya kuolewa ukawa single mother.
Ndoto zote za kuwa na mume wa ndoto yako hukoma siku utakapo toka labour ukiwa na mtoto asiye na baba.
Machaguo yote hukimbia hata uwe mzuri vipi. Utajiweka vizuri, utavaa vizuri na njiani utasimamishwa na wakaka watanashati lakini Mwanaume wa karne hii na awamu hii ya 5 ukimwambia tu nina mtoto basi ata-pretend kwa muda ili ale mzigo na baadaye atasepa.
Mdada mwenye mtoto anaishia kuolewa na mibaba iliyokula maisha mpk imechoka. Labda jibaba limefiwa na mkewe, ama limetengana na mkewe na lina watoto wakubwa kama ww. Badala ya kula maisha kwenye 6 kwa 6 unabaki kulilea tu. Unapotaka ku-DO nalo weka soda karibu maana hayakawii kushusha pressure.
Ukiwa na mtoto wanaume wa ndoto yako ndo basi tena. Daaah! [HASHTAG]#Sorry4[/HASHTAG] Single Mothers.
Sasa mbona umebambikiza watt kama unajua thamani si ungemzalia wote mumeoHuijui thamani ya mwanamke wewe, endelea kuwasuuza hao hao unaowasimanga,kuolewa ni Majaaliwa nilivyojaaliwa mimi sio wengine wote (wadogo zetu) watajaaliwa hivyo basi si vyema kuwanyanyasa kwa maneno na hisia wao pia ni watu wanaumia hebu wafichieni maumivu yao kama nasi tunavyojaribu kadri tuwezavyo kuyaficha yenu
Ni kwa sababu ya ujinga wenu wa kudhani kuoa aina Fulani ya wanawake ni Neema zaidi ya aina nyingine, badala ya kuomba Mungu nyie mnamkufuru Mungu, na mwenzio alikua hivyo hivyo!Sasa mbona umebambikiza watt kama unajua thamani si ungemzalia wote mumeo
Mumeo mjinga?!Ni kwa sababu ya ujinga wenu wa kudhani kuoa aina Fulani ya wanawake ni Neema zaidi ya aina nyingine, badala ya kuomba Mungu nyie mnamkufuru Mungu, na mwenzio alikua hivyo hivyo!
Ni mwanaumeMumeo mjinga?!
Atakua mvulana huyo sio mwanaume [emoji23] pombe za offer wikiend znamsumbuaHahahaha nilitaka kuuliza hilo swali
Mwanaume mwenye akili na busara hakurupuki kama huyo
Shika adabu yako unanfahamu mm mpk uninenee unenayo?jiheshmuDada inaonekana umezaa kabla ya ndoa ww
Hakuparamii vzrNi mwanaume
Ni mawazo yako, we unadhani mwanamke anahitaji kuparamiwa tu [emoji57]Hakuparamii vzr
Sasa mpk michepuko inakupiga mimba maana yake nnNi mawazo yako, we unadhani mwanamke anahitaji kuparamiwa tu [emoji57]
Nimekwambia wewe kwa sababu hunijui sikujui na yeye hajui akiwacheki anawaona sawa sawa ila mimi ndio nnajua, na si mimi tu ila ukweli wa mtoto aujuae mama hata muwe na ndoa ya chumaSasa mpk michepuko inakupiga mimba maana yake nn
Unapenda sn mpododo ww [emoji3][emoji3]Nimekwambia wewe kwa sababu hunijui sikujui na yeye hajui akiwacheki anawaona sawa sawa ila mimi ndio nnajua, na si mimi tu ila ukweli wa mtoto aujuae mama hata muwe na ndoa ya chuma