Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Aisee una akili ndoogo.... Kama tundu ya nani hiiDada Masnai kama umeolewa, basi ww ndiyo hiyo 0.000001%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee una akili ndoogo.... Kama tundu ya nani hiiDada Masnai kama umeolewa, basi ww ndiyo hiyo 0.000001%
Uongo mtupu.
Dunia hii kuna wanaume haswa ambao hawaogopi majukumu. Na wanachukulia kuleta mtoto kama kitu Cha kawaida tu.
ni mwanaume/vijana ambao wamebalehe lakini wamekataa kukua kiakili na kimwili. Ndio wanaokimbia majukumu.
What??????Utaoaje lisingle mother wakati kuna mabint wabichi kabisa chuchu Saa 6 mchana .Ukiona kijana anaoa single mother ujue huyu kajikatia tamaa ya maisha
Asanteeee.Hivi kwani mtu asipoolewa atakufa? Wanaume wenyewe nyie wachache afu mnategemea kila mtu awe na mwanaume wake ndo azae.
Wew ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini.
Na nyie endeleeni kuoa wanawake wabichi wasio na watoto ila wametoa mimba mpala mayai yameisha sisi single mothers we are happy the way we are ndo maana tulichagua kuzaa hali na kujua tutapata shida kupata wenza wa maisha yetu ila kwa sisi UHAI wa kiumbe ni bora kuliko NDOA.
Yan wakaka baana kujiona wao ndo kila kitu anaolewa mtu na watoto wa2 au wa3 sembuse mmoja afu kaa ukijua kila kitu n mipango ya Mungu binadam kaz yao n kuongea afu hamnaga mtoto acye na baba... Wote wana baba zao labda wew ndo huna.! Kiaz wee
Wanahitajika wanaume wenye akili kama wewe ili maisha yawe mazuri na dunia iwe ni sehemu salamaWanaolewa tena vizuri kabisa na kwa ndoa za kanisani/msikitini mimi nilizaa na wadada wawili nawote kwa sasa wapo kwenyendoa zao tusiwakatishe tamaa
Chonde! Chonde! Akina dada. Usiombe ukazaa kabla ya kuolewa ukawa single mother.
Ndoto zote za kuwa na mume wa ndoto yako hukoma siku utakapo toka labour ukiwa na mtoto asiye na baba.
Machaguo yote hukimbia hata uwe mzuri vipi. Utajiweka vzr, utavaa vzr na njiani utasimamishwa na wakaka watana shati LKN mwanaume wa karne hii na awamu hii ya 5 ukimwambia tu nina mtoto basi ata-pretend kwa muda ili ale mzigo na baadaye atasepa.
Mdada mwenye mtoto anaishia kuolewa na mibaba iliyokula maisha mpk imechoka. Labda jibaba limefiwa na mkewe, ama limetengana na mkewe na lina watoto wakubwa kama ww. Badala ya kula maisha kwenye 6 kwa 6 unabaki kulilea tu. Unapotaka ku-DO nalo weka soda karibu maana hayakawii kushusha pressure.
Ukiwa na mtoto wanaume wa ndoto yako ndo basi tena. Daaah! [HASHTAG]#Sorry4[/HASHTAG] Single Mothers.[/QUOTE wewew wasema
You've nailed it bro this nigger aint got a clue that single mom' are the sweetest mom' ever!The speed at which bros be bickering about women affairs, and caught up in homophobia is damn scary. Can't find the ground.
Akili zako fupi, nina wasiwasi na kimo chako pia, hakuna wanawake wanajua kutafuta pesa kama single mamas kwa Taarifa yako, naweza kuolewa na nisitegemee hata shiringi Mia ya mwanaume kuhudumia mwanangu.Jamani unaweza kuolewa ili mradi kuondoa nuksi i.e BORA MUME. Lkn anakuwa hagongi hisia na ndoto zako.
Na ukiona dume zima humu jf linatetea simgle mothers kuwa wanaweza kupata waume wa ndoto zao ujue nalo limeokota nungayembe lenye mtoto.
Kuna kero 2 kubwa ukioa single mom. Moja ni kelele za, ama kuhudumia toto ambalo si lako.
Mbili, ni mawasiliano ya single mom na mzazi mwenzie~Lazima yatakuwepo tu, ya siri ama ya wazi.
Akili chafuKuoa mke aliyezaa na mwanaume mwingine ni laana kama sio nuksi
Ishu sio pesa ishu picha halinogi naanza na life na single mama wakat wadada single wapoAkili zako fupi, nina wasiwasi na kimo chako pia, hakuna wanawake wanajua kutafuta pesa kama single mamas kwa Taarifa yako, naweza kuolewa na nisitegemee hata shiringi Mia ya mwanaume kuhudumia mwanangu.
Unahitaji maombi wewe, na usafishe nafsi yako.Kuoa mke aliyezaa na mwanaume mwingine ni laana kama sio nuksi
wewe wasemaYaani mtoa post hata wakuponde lakn ukweli utabaki pale pale mwanamke alie zalia nyumbani ni asilimia ndogo sana ya kuolewa na kijana ambae haja pata mtoto,yaan ataolewa na wanaume wenye watoto Wakubwa na wengne kuishia kuliwa tu nan aanze kulea litoto la mtu mwisho wa siku baba yake anakuja kuchukua umemkuzia, labda huyo mwanamke awe anajiweza kiuchumi lakn kama ndyo hana hata kaz yeyote kaz kutegemea kuletewa masimango yatamkimbiza tu maana mwanaume akitoka huko amevulugwa akija home litoto linapiga kelele wala sio lake na yy akifikilia hana mtoto,kifuatacho ni kofi tu nenda kwa mama yako
nimeipenda hyooYan wakaka baana kujiona wao ndo kila kitu anaolewa mtu na watoto wa2 au wa3 sembuse mmoja afu kaa ukijua kila kitu n mipango ya Mungu binadam kaz yao n kuongea afu hamnaga mtoto acye na baba... Wote wana baba zao labda wew ndo huna.! Kiaz wee
vp kuhus wanaume wny watoto tyr,na wanatak kuoa,hao hujawaona auIshu sio pesa ishu picha halinogi naanza na life na single mama wakat wadada single wapo