Hahahahahaaaaa GTWahehe tuna kidada hilo pekee nakuthibitishia, hayo mengine mi simo
Lazma tulinde sana amani kuliko chochote kile mambo mengine yatafuataAmani ya Taifa limekua Chaka la wezi wa mali za Umma kujificha kwenye hicho kichaka
Umma ni wananchi wale wanaoenda kwenye mikutano yake
Huu mtego sitauingia 😃Hahahahahaaaaa GT
DPP hakuna sehemu ambayo Rais alitumika kumuachia.
Hilo umma ni neno mbadala wa neno wananchi acha kukaza kichwaWasio kwenda kwenye mikutano sio umma
Kwahiyo wasiofika mikutano ya CHADEMA sio wananchi? Ila daah,hivi uwe na umma kabisa uogope kushiriki uchaguzi ila unasema tuvuruge uchaguzi aaahHilo umma ni neno mbadala wa neno wananchi acha kukaza kichwa
Ukitaka kujua ukomavu wa kisiasa wa CCM ndio kama huu sasa,
Kila mwenye opinion yake anaitoa na anasikilizwa.
Maamuzi yakitoka yanakuwa ni baada ya kusikilizwa watu wote.
Wananchi wote ndio umma sijasema au sijazungumzia chama, nimeongelea waanchi wote ni ummaKwahiyo wasiofika mikutano ya CHADEMA sio wananchi? Ila daah,hivi uwe na umma kabisa uogope kushiriki uchaguzi ila unasema tuvuruge uchaguzi aaah
Matapishi matupu 🤮🚮💩How can you release the Criminal? Tundu Lissu must be dealt with Law accordingly jambo analoweza kushauri ni expediency tuu. Kikatiba Rais hana Uwezo wa Kuingia Mhimili mwingine. And she is the professor?
Tatizo linaanza tukichangia tofauti na huu mtazamo wako tunaanza kusakwa na kipotezwa. Acha nikae kimyaTaifa lipo salama sana, huyo Tiba kwanza alishapoteza legitimacy kwa ufisadi na wizi. Uwezi ukasema kua utaingiza nchi kwenye vita,uhaini alafu vyombo vyetu vikiuache ukila makande mtaani. Lissu atuombe radhi watanzania