Prof. Anna Tibaijuka amshauri Rais Samia amwachie huru Tundu Lissu

Utaambiwa Samia kasema. kudai HAKI ni lazima utii sheria kama anavyoitambua Samia.
Sheria ambayo wengine wooote ni lazima waitii, isipokuwa Samia!
Ukisoma comments za huu uzi utabaini mambo mawili.
Ima wanaotumwa kufanya 'spinning' hawajui wanafanya nini au kuna kuchangnyikiwa.

1. Hoja si Lissu kuachiwa, ni Lissu kupewa haki iwe kuachiwa au kifungo. Kinachoendelea Mahakamani ni kituko kwa kesi yenye public interest na mvuto wa Kimataifa. Wanosema hakuna aliyejua ya sheria, wanajua wanachozungumza! Hoja ni kutolewa haki si kuwa juu au chini ya sheria

2. Kwamba, Rais hawezi kuingilia Mahakama. Wanaosema hivyo ndio waliotuambia kwamba Rais Samia alipongia madarani alifuta kesi zote zilizohusu Wapinzani. Aliwezaje kufanya hivyo bila kuingilia mahakama!

3. Ofisi ya DPP, DC na AG zote zipo chini ya serikali. Suala la kuondoa kesi si gumu ni kupeleka ' Nole'' kama wanavyosema wenyewe. Mahakama itaingiliwa vipi ikiwa mwenye shtaka hataki kuendelea na kesi

4. Tunasoma hoja kwamba Lissu ni Mhalifu. Wanaosema hivyo hawatuambii ni mahakama gani imetia hatiani. Wanasahau kwamba Lissu hana hatia hadi itakapothibitika. Hao hao wanatufundisha kutoingilia mahakama bila wao kujua kwamba kumtangaza mtu kabla ya kutiwa hatiani ni kuingilia mahakama

Hii kesi ina pande mbili. Kwamba kuna tatizo la utoaji haki. Pili , tatizo hilo limevuta hisia za Kimataifa
1. Commonwealth wanataka majibu. Hapa kuna mawili, Lissu aachiwe au Tanzania itengwe Kimataifa
2. Taswira ya Nchi inazidi kuchafuka, hata waliokuwa wamesahau October sasa yanarudi kama tunavyoona BBC

Kesi ya Lissu kwa mtazamo binafsi haina masilahi kwa Taifa! Inaumiza Taifa kwa ujumla hasa kwa taswira
 
Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan amwachilie huru Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aliyeko rumande katika Gereza Kuu la Ukonga kwa Zaidi mwaka mmoja akiendelea na kesi ya uhaini inayomkabili.

Profesa Tibaijuka ameandika ujumbe katika mtandao wa X, akichangia mjadala katika Makala iliyoandaliwa na BBC:

“Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili.

“Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa.

“Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.”

Soma pia: Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta Taifa pamoja na Kiongozi wa Upinzani yuko Gerezani
Mimi naunga mkono hoja Lissu kuachiwa.
Rejea zama za kikwete
Aliwaacha wapinzani wakapiga kelele wee hadi wakachoka wenyewe.
Kikwete alitoboka?
Hapana.

Bado ni Rais anayependwa zaidi kuliko Marais wengine wote waliowahi kuongoza Tanzania.
 
Atuwezi kuendekeza matusi kisa ukubali uvumilivu. Lissu atukani bali yeye anataka taharuki na vurugu basi jambo ambalo ata Kikwete asingerikubali kwakua alipwe dhamana ya kuilinda amani ya Taifa ili.
 
Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan amwachilie huru Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aliyeko rumande katika Gereza Kuu la Ukonga kwa Zaidi mwaka mmoja akiendelea na kesi ya uhaini inayomkabili.

Profesa Tibaijuka ameandika ujumbe katika mtandao wa X, akichangia mjadala katika Makala iliyoandaliwa na BBC:

“Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili.

“Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa.

“Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.”

Soma pia: Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta Taifa pamoja na Kiongozi wa Upinzani yuko Gerezani
Naamini wakitaka kumuachia lazima atatafutiwa namna tu, wanajua ana nguvu ya umma na anaweza kuitoa ccm madarakani, hivyo lazima watumie nguvu zote kumnyamazisha. Naamini washauri wa raisi ndio wanaweka ugumu kinamna namna ila raisi anaweza kumuachia hata leo.
 
Wakati ombi la Anna Tibaijuka likitumia falsafa ya 4Rs ya Rais Samia kushinikiza kuachiliwa kwa Tundu Lissu, maridhiano ya kweli ni njia ya pande mbili. Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama ya Rufani kutokana na kauli zake za mwaka 2025, jambo linalofanya uachiliaji wake bila masharti kuwa mgumu kisheria.

Ingawa Rais Samia ana nia ya dhati ya mazungumzo, Kaimu Mwenyekiti wa CDM anakataa maridhiano hadi Lissu aachiliwe kwanza. Maridhiano yanahitaji maelewano ya pande zote mbili, lakini viongozi wa CDM wanakwamisha hatua hii kwa kushikilia msimamo wa "mshindi kuchukua kila kitu" badala ya kushiriki katika mazungumzo yenye usawa.
 
Naamini wakitaka kumuachia lazima atatafutiwa namna tu, wanajua ana nguvu ya umma na anaweza kuitoa ccm madarakani, hivyo lazima watumie nguvu zote kumnyamazisha. Naamini washauri wa raisi ndio wanaweka ugumu kinamna namna ila raisi anaweza kumuachia hata leo.

Hivi huyo umma mnaosema utatokea nchi gani? Ni jibu please
 
Atuwezi kuendekeza matusi kisa ukubali uvumilivu. Lissu atukani bali yeye anataka taharuki na vurugu basi jambo ambalo ata Kikwete asingerikubali kwakua alipwe dhamana ya kuilinda amani ya Taifa ili.
Amani ya Taifa limekua Chaka la wezi wa mali za Umma kujificha kwenye hicho kichaka
 
Hawa wastaafu Kwanini wasipumzike tu,

Ndio mana JPM aliwaambia Wana washawashwa
 
How can you release the Criminal? Tundu Lissu must be dealt with Law accordingly jambo analoweza kushauri ni expediency tuu. Kikatiba Rais hana Uwezo wa Kuingia Mhimili mwingine. And she is the professor?
Kikatiba iko hivyo, lakini kiuhalisia hali ikoje? Viongozi wa chama tawala hawaingilii mihimili mingine?
 
Tibaijuka ni miongoni mwa watu ambao wakipewa uteuzi watanyanaza au kuanza kuisifia serikali kwa Kila jambo na pengine ni uwanja wake wa kujiosha kwa tuhuma zake zijulikanazo na zisizo.
Kwaufupi Tibaijuka siyo miongoni mwa wanaosimama upande wa Wananchi Ili Wananchi wanufaike bali ni wao wanufaike kupitia Wananchi.Mutanielewa badae
Kujadili mtu ni rahisi kuliko kujadili hoja.
 
How can you release the Criminal? Tundu Lissu must be dealt with Law accordingly jambo analoweza kushauri ni expediency tuu. Kikatiba Rais hana Uwezo wa Kuingia Mhimili mwingine. And she is the professor?
Pole sana.
 
Back
Top Bottom