Prof. Anna Tibaijuka amshauri Rais Samia amwachie huru Tundu Lissu

Taifa lipo salama sana, huyo Tiba kwanza alishapoteza legitimacy kwa ufisadi na wizi. Uwezi ukasema kua utaingiza nchi kwenye vita,uhaini alafu vyombo vyetu vikiuache ukila makande mtaani. Lissu atuombe radhi watanzania
Mda utazungumza
 
1. Huyu ni mpumbavu mmoja tu aliyeshiba makande ya bukoba, akae na atulie, kwa nn asiseme na wengne waachiwe..
-profesa wa hela za migawo, zile za seth zmeisha anataka za ford foundation?

2. Lazima lissu ashughulikiwe, huyu anayejiita prof wa uchumi anajua ni madhara mangapi ya kiuchumi yalyopatkana kwa sababu ya kauli ya huyu mpuuzi eti atakinukisha?

3. Lisu n nan? Had aachiwe wakati yeye ni mharifu kama mharifu mwingne?

4. Kama vp akakae gerezani badala yake, asijione kamanda akiwa uzeeni!
Lissu atachiwa tu ni suala la Mda
 
How can you release the Criminal? Tundu Lissu must be dealt with Law accordingly jambo analoweza kushauri ni expediency tuu. Kikatiba Rais hana Uwezo wa Kuingia Mhimili mwingine. And she is the professor?
Kwenye kesi ameshawashinda nyie vichwa maji, mmebski kuagiza mahakama kumkomoa. Huyo Tibaijuuka sio mjinga, ametumia lugha ya staha tu kwa mamlaka ya muuaji, lakini anjua Lisu kawashinda.
 
Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan amwachilie huru Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aliyeko rumande katika Gereza Kuu la Ukonga kwa Zaidi mwaka mmoja akiendelea na kesi ya uhaini inayomkabili.

Profesa Tibaijuka ameandika ujumbe katika mtandao wa X, akichangia mjadala katika Makala iliyoandaliwa na BBC:

“Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili.

“Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa.

“Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.”

Soma pia: Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta Taifa pamoja na Kiongozi wa Upinzani yuko Gerezani
Tibaijuka ni miongoni mwa watu ambao wakipewa uteuzi watanyanaza au kuanza kuisifia serikali kwa Kila jambo na pengine ni uwanja wake wa kujiosha kwa tuhuma zake zijulikanazo na zisizo.
Kwaufupi Tibaijuka siyo miongoni mwa wanaosimama upande wa Wananchi Ili Wananchi wanufaike bali ni wao wanufaike kupitia Wananchi.Mutanielewa badae
 
Y
Kama ni kweli ametoa huu ushauri, basi ni ushauri mzito na uliobeba ujumbe mkubwa. Ningekuwa mimi ndiyo nimepewa huu ushauri, ningeufanyia kazi mara moja. Unaogopesha. Lissu siyo kiumbe wa kushindana naye hata kidogo.
Huyo anatafuta kuonekana amekuwa chanzo baada ya tamko la umoja wa madola.Na yawezekana anatumiwa na wahusika Ili tudhani wamefata ushauri wake.Ni mawazo yanayotokana na uchu wa madaraka ulipo kwa waliowahi kuyaonja
 
1. Huyu ni mpumbavu mmoja tu aliyeshiba makande ya bukoba, akae na atulie, kwa nn asiseme na wengne waachiwe..
-profesa wa hela za migawo, zile za seth zmeisha anataka za ford foundation?

2. Lazima lissu ashughulikiwe, huyu anayejiita prof wa uchumi anajua ni madhara mangapi ya kiuchumi yalyopatkana kwa sababu ya kauli ya huyu mpuuzi eti atakinukisha?

3. Lisu n nan? Had aachiwe wakati yeye ni mharifu kama mharifu mwingne?

4. Kama vp akakae gerezani badala yake, asijione kamanda akiwa uzeeni!
KERATO MOMBAA ukivaa utu wa mnyama ni pekee unaweza kuyasema haya ila kama una ubinadam ndani yako sidhani kama ungeweza kusema hivi. Ila pengine unafanya mzaha. Ila kumbuka leo kwa TAL kesho huenda ikawa kwako kwa namna tofauti. Utunze hili bandiko lako kwa rejea ya baadae
 
Tatizo la machawa ni matumizi mabaya ya akili zao
FB_IMG_1748360197313~2.jpg
 
1. Huyu ni mpumbavu mmoja tu aliyeshiba makande ya bukoba, akae na atulie, kwa nn asiseme na wengne waachiwe..
-profesa wa hela za migawo, zile za seth zmeisha anataka za ford foundation?

2. Lazima lissu ashughulikiwe, huyu anayejiita prof wa uchumi anajua ni madhara mangapi ya kiuchumi yalyopatkana kwa sababu ya kauli ya huyu mpuuzi eti atakinukisha?

3. Lisu n nan? Had aachiwe wakati yeye ni mharifu kama mharifu mwingne?

4. Kama vp akakae gerezani badala yake, asijione kamanda akiwa uzeeni!
Maskin!! unatia huruma yan...
Pole sana
 
Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan amwachilie huru Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aliyeko rumande katika Gereza Kuu la Ukonga kwa Zaidi mwaka mmoja akiendelea na kesi ya uhaini inayomkabili.

Profesa Tibaijuka ameandika ujumbe katika mtandao wa X, akichangia mjadala katika Makala iliyoandaliwa na BBC:

“Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili.

“Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa.

“Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.”

Soma pia: Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta Taifa pamoja na Kiongozi wa Upinzani yuko Gerezani
Prof awe makini asijekutwa kwenye migomba huko Bukoba amepotezwa na watu wasiojulikana.
 
How can you release the Criminal? Tundu Lissu must be dealt with Law accordingly jambo analoweza kushauri ni expediency tuu. Kikatiba Rais hana Uwezo wa Kuingia Mhimili mwingine. And she is the professor?
Wewe ni mpumbavu? Hukumbuki Kuna vijana waliokamatwa kwa uhaini wakaachiwa kwa amri yake?
Ndo mana unaposti mavi Yako hapa kuonesha ujinga wako?
Mhili manake nn hapo Lumumba?
Kama pangrkuwa na mhimili mbona mwaipopo yupo nje wakati alitangaza kuwa na majeshi?
Ujinga tu
 
Back
Top Bottom