Prof. Anna Tibaijuka amshauri Rais Samia amwachie huru Tundu Lissu

Prof. Anna Tibaijuka amshauri Rais Samia amwachie huru Tundu Lissu

Ninyi wendawazimu mashetani ndiyo mnatakiwa kuwaomba msamaha watanganyika, akiwemo mzalendo wa kweli Tundu Lisu. Lisu hastahili kumwomba msamaha yeyote bali anastahili kila aina ya sifa na pongezi kwa ushujaa na upendo wake wa kweli kwa Taifa lake. Ninyi mashetani mliojipachika madarakani kwa nguvu, mkawaua wananchi waliokuwa na haki ya kuamua nani awe kiongozi wao, Ninyi mashetani mliotengeneza sheria haramu za uchaguzi ili kulinda uovu wenu wa kupora mamlaka ya wananchi. Wananchi walipowapinga, mkaanza kuwateka na kuwaua kwa maelfu. Ninyi waovu wa kiwango cha pekee, hakika siku zaja mtakapolipia uovu na ushetani wenu.

Mungu mkuu, Mungu wa huruma, tunakushukuru kutuletea kiumbe wako Lisu, mtu aliyejaa upendo kwa Taifa lake, aliyeamua kuyaweka maisha yake hatarini kwaajili ya haki ya Watanganyika.

Mungu wetu tunaomba, laana ya uovu wao wenye kiburi, waliowaua watanganyika waliokuwa wakililia haki yao, ikawe juu yao na wazao wao kwa kadiri ya hekima yako.
MATAKO YAKO
 
So lissu ameshikwa na rais na sio mahakama/sheria?

Kwamba lissu alimkosea Samia na sio nchi/sheria?

Nchi ngumu sana hii, rais n kama mungu
 
Kama ni kweli ametoa huu ushauri, basi ni ushauri mzito na uliobeba ujumbe mkubwa. Ningekuwa mimi ndiyo nimepewa huu ushauri, ningeufanyia kazi mara moja. Unaogopesha. Lissu siyo kiumbe wa kushindana naye hata kidogo.
Upo hata YouTube!
 
1. Huyu ni mpumbavu mmoja tu aliyeshiba makande ya bukoba, akae na atulie, kwa nn asiseme na wengne waachiwe..
-profesa wa hela za migawo, zile za seth zmeisha anataka za ford foundation?

2. Lazima lissu ashughulikiwe, huyu anayejiita prof wa uchumi anajua ni madhara mangapi ya kiuchumi yalyopatkana kwa sababu ya kauli ya huyu mpuuzi eti atakinukisha?

3. Lisu n nan? Had aachiwe wakati yeye ni mharifu kama mharifu mwingne?

4. Kama vp akakae gerezani badala yake, asijione kamanda akiwa uzeeni!
Kama nyinyi ndiyo washauri wake tegemeo! basi nchi imepatwa.
 
Taifa lipo salama sana, huyo Tiba kwanza alishapoteza legitimacy kwa ufisadi na wizi. Uwezi ukasema kua utaingiza nchi kwenye vita,uhaini alafu vyombo vyetu vikiuache ukila makande mtaani. Lissu atuombe radhi watanzania
R.I.P Ally Kibao, Humphrey Polepole
 

Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan amwachilie huru Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aliyeko rumande katika Gereza Kuu la Ukonga kwa Zaidi mwaka mmoja akiendelea na kesi ya uhaini inayomkabili.

Profesa Tibaijuka ameandika ujumbe katika mtandao wa X, akichangia mjadala katika Makala iliyoandaliwa na BBC:

“Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili.

“Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa.

“Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.”

Soma pia: Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta Taifa pamoja na Kiongozi wa Upinzani yuko Gerezani
Baniani hata kama tunatambua ubaya wake, wenye akili timamu HUWA TUNA DILI NA KIATU CHAKE TU!... MAANA NI DAWA!

Heko Professor!👊💪
 
How can you release the Criminal? Tundu Lissu must be dealt with Law accordingly jambo analoweza kushauri ni expediency tuu. Kikatiba Rais hana Uwezo wa Kuingia Mhimili mwingine. And she is the professor?
apige kama ile ya kwa yule manzi niffa sijui....mabeberu naona kama wanataka kutukamia
 
How can you release the Criminal? Tundu Lissu must be dealt with Law accordingly jambo analoweza kushauri ni expediency tuu. Kikatiba Rais hana Uwezo wa Kuingia Mhimili mwingine. And she is the professor?
Kikatiba anaweza kushauri hiyo expediency?
 
1. Huyu ni mpumbavu mmoja tu aliyeshiba makande ya bukoba, akae na atulie, kwa nn asiseme na wengne waachiwe..
-profesa wa hela za migawo, zile za seth zmeisha anataka za ford foundation?

2. Lazima lissu ashughulikiwe, huyu anayejiita prof wa uchumi anajua ni madhara mangapi ya kiuchumi yalyopatkana kwa sababu ya kauli ya huyu mpuuzi eti atakinukisha?

3. Lisu n nan? Had aachiwe wakati yeye ni mharifu kama mharifu mwingne?

4. Kama vp akakae gerezani badala yake, asijione kamanda akiwa uzeeni!

Mtu mwenye uwendawazimu kama wewe, unapata wapi ujasiri wa kujadili mada zinazohitaji akili?
 
Raisi Samia atasikiliza ushauri huu wa busara? Tatizo la Samia ni kwamba ana kale kakitu wenzetu Wahehe wanaita "kidada"!
Tatizo la Samia ni huyu mshauri wake mkuu, anampa ushauri wa kijinga na yeye anaufuata
Screenshot_20250211_161926.jpg
 
Back
Top Bottom