Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Una hoja!. In fact,huko CCMni ambaye huwa napay attention kumsikiliza ni Mzee Warioba tu.Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.
Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.
Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa kabila la Wahaya.
Clean hands only...Hii vita ya kupambana na udhalimu wa hii serikali feki ni ya wote (bila kujali historia ya mtu).
Zingatia neno VITA.Clean hands only...
Better late than never, kama amerudi kwenye right track tunamshukuru na aendelee kufichua maovu. Wengi walimpokea na kumsamehe 'marehemu' Polepole aliyeshiri kuunda kundi hatari la Wasiojulikana(Mafwele and the gang) ambalo mpaka leo linaendelea kuua wakosoaji wa utawala haramu wa Samia hivyo hata huyo bibi Prof Tibaijuka ni sawa kabisa kumsamehe na kuangalia namna ya kufaidika na madini anayoyatoa kwa umma.Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.
Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.
Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa kabila la Wahaya.
sidhani kama huyo mbibi na mtoa hoja mnatofautiana ufisadi wa kifikra.Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.
Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.
Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa kabila la Wahaya.
Huwezi kumtenganisha mwanasiasa yoyote na issue ya unafki. Awe wa chama tawala au wa upinzani. Huyu Tibaijuka wakati Mark Mwandosya anasema fedha za Escrow acc ni umma wao wakina Anna walikuwa upande wa Mhaya mwenzake wanagawana fedha kwenye masandarusi.Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.
Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.
Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa kabila la Wahaya.
Sikiliza wewe mwenye akili za wauza kangala. Tibaijuka alifanya kosa kupokea pesa za Escrow ambazo alitaka kuzitumia kujiimarisha kisiasa jimboni kwake, kwa kutoa misaada kwa shule nk. Hakupokea fedha hizi kwa matumizi yake binafsi. Bado ni kweli kwamba hili lilikuwa kosa.Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.
Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.
Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa kabila la Wahaya.
Unafikiri Warioba alipokuwa kiongozi mkubwa serikalini alithubutu kukosoa mambo ya kijinga yaliyokuwa yanafanyika wakati wake?Una hoja!. In fact,huko CCMni ambaye huwa napay attention kumsikiliza ni Mzee Warioba tu.
Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.
Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.
Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa kabila la Wahaya.
Ndio mambo ya kijinga kama haya ya kuua watu kwa kiwango hiki na kupoteza watu akina warioba walifanya?Unafikiri Warioba alipokuwa kiongozi mkubwa serikalini alithubutu kukosoa mambo ya kijinga yaliyokuwa yanafanyika wakati wake?
Wanasiasa wooooote ni wanafki
Thamani ya uhai wa binadamu haipungui kutokana na idadi ya waliouawa.Ndio mambo ya kijinga kama haya ya kuua watu kwa kiwango hiki na kupoteza watu akina warioba walifanya?
Pointless from stupid personSikiliza wewe mwenye akili za wauza kangala. Tibaijuka alifanya kosa kupokea pesa za Escrow ambazo alitaka kuzitumia kujiimarisha kisiasa jimboni kwake, kwa kutoa misaada kwa shule nk. Hakupokea fedha hizi kwa matumizi yake binafsi. Bado ni kweli kwamba hili lilikuwa kosa.
Sasa usitake kufanya hii ndio iwe kigezo cha kusema hapaswi kukemea ufisadi na uroho wa namna ya fisi unaofanywa na hao watu unaowapigia propaganda hapa. Huo ni upumbavu wa kiwango cha juu kabisa.
Tunapoangalia mpira kombe la dunia, haina maana tutaacha kukosoa makosa ya wachezaji wanaokosa magoli ya wazi kwa kuwa tu sisi sio wachezaji mpira. Uniniambie nisiwaseme madereva wazembe kwa sababu na mimi nilishawahi kupigwa faini na trafiki.
kama fisadi mahakama si zipo au mwendesha mashitaka si yupo au amekuta waya?wamkamate haraka arudishe pesa kama no fisadi,lakini pia fisadi nae mtu hawezi kukosoa au kukosoanaAnajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.