Kijana wa Ifoza
JF-Expert Member
- Oct 31, 2025
- 1,180
- 2,302
Ati nitulie mimi? Tulia wewe dogo! š§ ā Wakati watu tupo tangu wakati wa chama kushika hatamu, kubadilika kutoka TANU kwenda CCM, na kushiriki kikamilifu kwenye migomo mikubwa miaka hiyo hakuna vyama vingi, wewe ulikuwa bado unajulikana kama MANII ukiogelea kwenye korodani za dingi ukipambana na wenzako kutoka wakati dingi akipiga punyeto! š¦š¤£Tulia we dogo. Wahaya mligawana pesa za Escrow
Huyu Mmakonde amekosa hoja hadi anaanza kupiga ramli kisa tu namtetea Profesa kutoa maoni dhidi ya CCM. Kunywa maji utulie! Kwenye majukwaa kama haya usilete dharau kwa watu usiowajua wala kuonana nao. Jina lako linalandana na mawazo yako unayoyachangia. Nilitaka kuwa mstaarabu kwa ajili ya jambo linalojadiliwa la maana sana kuliko ujinga na utoto wako, lakini kuna wakati watu kama ninyi mnatakiwa kuwekwa kwenye kona yenu. šš