KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 2,456
- 3,274
letimacy ndio nini Kiongozi🤣Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.
Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.
Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa kabila la Wahaya.