Prof. Anna Tibaijuka hana Legitimacy ya kuwakosoa mafisadi wenzake

Prof. Anna Tibaijuka hana Legitimacy ya kuwakosoa mafisadi wenzake

Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.

Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.

Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa kabila la Wahaya.
Watu wanaojua nini wanakisema wakiamua kusema ukweli wenye busara na timamu wanapaswa kusikiliza.
Prof Tibaijuka ni wa kulindwa na kusikilizwa kwa wivu mkubwa!
 
Back
Top Bottom