letimacy ndio nini Kiongozi🤣Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.
Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.
Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa kabila la Wahaya.
Anasema kweli japo naye ni fisadi tu. Kama vipi mpelekeni mahakamani, na sio kusema hana moral authority ya kukemea majizi.Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.
Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.
Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa kabila la Wahaya.
Umeandika nini?Anasema kweli japo naye ni fisadi tu. Kama vipi mpelekeni mahakamani, na sio kusema hana moral authority ya kukemea majizi.
Ulimi hauna fupaletimacy ndio nini Kiongozi🤣
Hii inabadilisha nini ikiwa alichosema ni cha kweli?Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.
Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.
Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa kabila la Wahaya.
Kiswahili.Umeandika nini?
Sijauliza habari ya Lugha. Acha upimbiKiswahili.
Unajibiwa unavyokuja we khanithi.Sijauliza habari ya Lugha. Acha upimbi
Mkuu, Mbona humlaumu Kikwete aliyefaidika zaidi na mgao!Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.
Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.
Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa kabila la Wahaya.
hujui kuna kuzaliwa mara ya pili. Wokovu ni kutubu na kuigeukia kweli na kusonga mbele.Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.
Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.
Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa kabila la Wahaya.
Mimi hanithi wakati sasa hivi nakula mzigo. Acha upimbiUnajibiwa unavyokuja we khanithi.
Profesa alitolewa kafara tu.Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.
Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.
Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa kabila la Wahaya.
Alivuta bil mbili akasema ni pesa ya mboga.Profesa alitolewa kafara tu.
Not relevanthujui kuna kuzaliwa mara ya pili. Wokovu ni kutubu na kuigeukia kweli na kusonga mbele.
hata khanga zimesema ya kale si ndwele ...
Wewe bwege na wewe ni platinum member?Unajibiwa unavyokuja we khanithi.