Kijana wa Ifoza
JF-Expert Member
- Oct 31, 2025
- 1,180
- 2,302
Ati nitulie mimi? Tulia wewe dogo! 🧠❌ Wakati watu tupo tangu wakati wa chama kushika hatamu, kubadilika kutoka TANU kwenda CCM, na kushiriki kikamilifu kwenye migomo mikubwa miaka hiyo hakuna vyama vingi, wewe ulikuwa bado unajulikana kama MANII ukiogelea kwenye korodani za dingi ukipambana na wenzako kutoka wakati dingi akipiga punyeto! 💦🤣Tulia we dogo. Wahaya mligawana pesa za Escrow
Acha mambo yenu niniSikiliza wewe mwenye akili za wauza kangala. Tibaijuka alifanya kosa kupokea pesa za Escrow ambazo alitaka kuzitumia kujiimarisha kisiasa jimboni kwake, kwa kutoa misaada kwa shule nk. Hakupokea fedha hizi kwa matumizi yake binafsi. Bado ni kweli kwamba hili lilikuwa kosa.
Sasa usitake kufanya hii ndio iwe kigezo cha kusema hapaswi kukemea ufisadi na uroho wa namna ya fisi unaofanywa na hao watu unaowapigia propaganda hapa. Huo ni upumbavu wa kiwango cha juu kabisa.
Tunapoangalia mpira kombe la dunia, haina maana tutaacha kukosoa makosa ya wachezaji wanaokosa magoli ya wazi kwa kuwa tu sisi sio wachezaji mpira. Usiniambie nisiwaseme madereva wazembe kwa sababu na mimi nilishawahi kupigwa faini na trafiki.
Huenda hujapata muda wa kujua aina ya vita iliyopo sasa.Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi.
Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi.
Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa kabila la Wahaya.
Mkuu Britanicca umepiga msumari mkali sana na kuweka ukweli wote hadharani! Nasihi watu wasome ulichokiandika hapa kwa umakini sana. 🧠⚡Pesa ya Escrow Rais Kikwete alisema ni ya Rugemalila sasa mnasemaje kwamba Tibaijuka alikuwa na kosa ? Nashangaaga sana wanaojificha kutetea KIMAMA hiki Samia kwa kuibua point ambazo si za sasa
Mikataba mibovu ya akina Chenge ndo iliwapa hasara TANESCO na kunufaisha akina Herbinder set na Ruge, sasa hata mimi Set angenigawia pesa bila kujua imetoka wapi haiondoi Uhuru wangu wa kuikosoa serikali inapokosea!
Hoja za Tibaijuka zijibiwe tusikimbilie kulipwa na akina Abdul kufifisha hoja za huyu Mama
Pia watu wanachanganya! Mahakama ndo ilisema Pesa ni za IPTL so sioni kosa la Tibaijuka, Kosa ni mfumo Mzima wa maamuzi
Haya Mbona Set kaachiliwa? Mbona Rugemalila Yuko nje kwenye Tena serikali ya huyu mnayemwita mama yenu?
Tibaijuka ajibiwe kwa hoja
Nakumbuka bandiko la Pascal Mayalla alisema Pesa ni za Rugemalila kisheria
Britanicca
Machawa wapo full force, ukiona hivi ujue sindano inawaingia vizuri. tuendelee kupiga sindano bila ganziAcha mambo yenu nini
Tibaijuka ana Pesa tokea Akiwa Un habitat, Tena kipindi hicho si Tibaijuka ni KAJUMULO alianza akiwa mkufunzi wa vyuo vikuu akaenda Sweden kwa mmewe Balozi Akaishi huko, ndo wakaanzisha na shule Barbro Johnson , akaenda Mpaka wakajenga shule kwao huko Bukoba! Ana insurance company inaitwa MILEMBE insurance! Imeenea nchini kote na inapiga tenda kubwa kubwa wamewekeza kenya 🇰🇪
Then anaibua hoja yake Unasema ni fisadi
Ajibiwe hoja
Wachache sana wanaotumia akili ku reason yanMkuu Britanicca umepiga msumari mkali sana na kuweka ukweli wote hadharani! Nasihi watu wasome ulichokiandika hapa kwa umakini sana. 🧠⚡
Hilo ndilo linalonishangaza na mimi! Sielewi kwanini watu wanaingia kwenye huo mtego kirahisi hivi. Rais Kikwete, Mahakama, na hata maandiko ya Pascal Mayalla yaliweka wazi kabisa kuwa fedha zile kisheria zilikuwa za Rugemalila (VIP) zilizotokana na yeye kuuzia hisa zake IPTL. Lakini tuseme ni kweli hata ingekuwa ni mali ya wizi au ubadhirifu, hiyo inahusiana nini na kile alichokisema Mama Tibaijuka hivi sasa dhidi ya serikali na CCM? Je, makosa ya nyuma yanaondoa ukweli wa changamoto za sasa?
Mikataba mibovu ya akina Chenge ndiyo iliyotia hasara TANESCO na kunufaisha akina Harbinder Singh Sethi na Ruge, siyo ya Tibaijuka. Sasa hata mimi Sethi angenigawia pesa bila kujua imetoka wapi, hiyo haiondoi uhuru wangu wa kuikosoa serikali inapokosea! Kama Rugemalila na Sethi wapo nje leo na wanafurahia uhuru wao chini ya serikali hii hii ya huyu mnayemwita mama yenu, kwanini hoja za Tibaijuka zisijibiwe kwa hoja badala ya kukimbilia propaganda za akina Abdul?
Naungana na wewe asilimia mia moja mkuu; jawabu jepesi ni kwamba hawa watetezi wa utawala na machawa wameishiwa hoja, hivyo lazima watafute sababu ya kuwafumba midomo wanaotaka kuongea ukweli. Hili ndilo tatizo la watu waliokosa la kusema dhidi ya hoja zilizopo mezani; wanajificha nyuma ya pointi ambazo si za sasa, wanaishia kuandika mambo yasiyo na tija na kuingilia majadiliano ya maana ili tu kumlinda mama yenu. Prof. Tibaijuka ajibiwe kwa hoja na siyo kwa vihoja vya kukwepa mada! 🧠❌
Word..Pesa ya Escrow Rais Kikwete alisema ni ya Rugemalila sasa mnasemaje kwamba Tibaijuka alikuwa na kosa ? Nashangaaga sana wanaojificha kutetea KIMAMA hiki Samia kwa kuibua point ambazo si za sasa
Mikataba mibovu ya akina Chenge ndo iliwapa hasara TANESCO na kunufaisha akina Herbinder set na Ruge, sasa hata mimi Set angenigawia pesa bila kujua imetoka wapi haiondoi Uhuru wangu wa kuikosoa serikali inapokosea!
Hoja za Tibaijuka zijibiwe tusikimbilie kulipwa na akina Abdul kufifisha hoja za huyu Mama
Pia watu wanachanganya! Mahakama ndo ilisema Pesa ni za IPTL so sioni kosa la Tibaijuka, Kosa ni mfumo Mzima wa maamuzi
Haya Mbona Set kaachiliwa? Mbona Rugemalila Yuko nje kwenye Tena serikali ya huyu mnayemwita mama yenu?
Tibaijuka ajibiwe kwa hoja
Nakumbuka bandiko la Pascal Mayalla alisema Pesa ni za Rugemalila kisheria
Britanicca
Ni kweli pesa za escrow sio fedha za umma, karma ya Ruge imechangia kumharakisha Blaza kutangulia kule!.Pesa ya Escrow Rais Kikwete alisema ni ya Rugemalila sasa mnasemaje kwamba Tibaijuka alikuwa na kosa ? Nashangaaga sana wanaojificha kutetea KIMAMA hiki Samia kwa kuibua point ambazo si za sasa
Nakumbuka bandiko la Pascal Mayalla alisema Pesa ni za Rugemalila kisheria
Britanicca
Na walimtanguliza kweli KattoNi kweli pesa za escrow sio fedha za umma, karma ya Ruge imechangia kumharakisha Blaza kutangulia kule!.
P
- Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!
- Suala la ESCROW Tupunguze Too Much Sensationalism na ku Dramatize, BOT Did The Right Thing!
- Escrow: Je, Watanzania ni ignorant au tumelogwa? Tuache cherry-picking kutafuta Mbuzi wa Kafara!
- Escrow na kisa cha mke mpumbavu, anawatangazia majirani kuwa mume wake ni "Mume suruali tuu!.
- Hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia, Hakuna Yeyote wa Kuwajibika
- Escrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!
Sasa unaniambia mimi?Acha mambo yenu nini
Tibaijuka ana Pesa tokea Akiwa Un habitat, Tena kipindi hicho si Tibaijuka ni KAJUMULO alianza akiwa mkufunzi wa vyuo vikuu akaenda Sweden kwa mmewe Balozi Akaishi huko, ndo wakaanzisha na shule Barbro Johnson , akaenda Mpaka wakajenga shule kwao huko Bukoba! Ana insurance company inaitwa MILEMBE insurance! Imeenea nchini kote na inapiga tenda kubwa kubwa wamewekeza kenya 🇰🇪
Then anaibua hoja yake Unasema ni fisadi
Ajibiwe hoja
Acha porojo zako. Tuna taka mwenye mikono safi ndio awakosoe mafisadi wenzako wa CCM.Acha mambo yenu nini
Tibaijuka ana Pesa tokea Akiwa Un habitat, Tena kipindi hicho si Tibaijuka ni KAJUMULO alianza akiwa mkufunzi wa vyuo vikuu akaenda Sweden kwa mmewe Balozi Akaishi huko, ndo wakaanzisha na shule Barbro Johnson , akaenda Mpaka wakajenga shule kwao huko Bukoba! Ana insurance company inaitwa MILEMBE insurance! Imeenea nchini kote na inapiga tenda kubwa kubwa wamewekeza kenya 🇰🇪
Then anaibua hoja yake Unasema ni fisadi
Ajibiwe hoja
Ona sasa mtu kama huyu anatetea ufisadi kisa tu mwandishi wa habari uchwara.Ni kweli pesa za escrow sio fedha za umma, karma ya Ruge imechangia kumharakisha Blaza kutangulia kule!.
P
- Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!
- Suala la ESCROW Tupunguze Too Much Sensationalism na ku Dramatize, BOT Did The Right Thing!
- Escrow: Je, Watanzania ni ignorant au tumelogwa? Tuache cherry-picking kutafuta Mbuzi wa Kafara!
- Escrow na kisa cha mke mpumbavu, anawatangazia majirani kuwa mume wake ni "Mume suruali tuu!.
- Hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia, Hakuna Yeyote wa Kuwajibika
- Escrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!
Mkuu Muzakanga, Muuza Kangala , usilete humu mambo yako ya kwenye vilabu vya kangala, sisi binadamu tumejaaliwa viwango tofauti tofauti vya uvumilivu, hivyo kauli kama hizi za kumtukana mtu matusi ya rejareja, yametupotezea wana jf wengi muhimu humu jf kwasababu mtu mwingine, amesemea uandishi wa habari, amehitimu, amehudumu kwenye fani hii kwa zaidi ya miaka 30, amepata tuzo mbalimbali, halafu leo anakuja kuitwa "mwandishi wa habari uchwara"!, mwngine hawezi kuvumilia, anajiondokea zake tuu humu jf.Ona sasa mtu kama huyu anatetea ufisadi kisa tu mwandishi wa habari uchwara.
Samahani nilikuwa nimelewa. Lakini sikubaliani na hoja zako.Mkuu Muzakanga, Muuza Kangala , usilete humu mambo yako ya kwenye vilabu vya kangala, sisi binadamu tumejaaliwa viwango tofauti tofauti vya uvumilivu, hivyo kauli kama hizi za kumtukana mtu matusi ya rejareja, yametupotezea wana jf wengi muhimu humu jf kwasababu mtu mwingine, amesemea uandishi wa habari, amehitimu, amehudumu kwenye fani hii kwa zaidi ya miaka 30, amepata tuzo mbalimbali, halafu leo anakuja kuitwa "mwandishi wa habari uchwara"!, mwngine hawezi kuvumilia, anajiondokea zake tuu humu jf.
Issue ya fedha za escrow ni issue complex kwa wengi wenye uelewa finyu, na kiukweli Watanzania ma ignorants ni wengi kuliko watu wenye akili nzuri, hawa ma ignorant, walioamimishwa fedha za escrow ni fedha za umma, na wakaamini, akitokea mtu mwelewa kuwaeleza ukweli, sio fedha za umma, wewe unaewaeleza ukweli unaonekana ndio muongo!.
Mtu ukiwa ni kilaza, kumuelimisha kilaza ni kazi sana!. Kwa vile mimi ni muelimishaji umma wa kujitolea, kama wewe una nia ya kweli ya kujifunza, naomba ukaribie kwenye darasa hili
Mtu amepandisha mabandiko zaidi ya 10 kuwaelimisha watu humu kuhusu escrow, leo unamuita uchwala!, japo uchwala sio tusi, lakini kumuita mtu uchwala ambaye sio uchwala, ni kumtukana matusi ya reja reja.
- Sakata la IPTL: The Role of JamiiForums - Tujikumbushe! Je, JF hatustahili Pongezi? Tujipongeze!
- Pesa za IPTL: Je, ni za wizi au Malipo yasiyo halali? Are Recipients Guilt?
- How James Rugemalira outsmarted the Government of Tanzania (GoT)
- Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!
- Paskali naomba maelezo kwa hili
- Suala la ESCROW Tupunguze Too Much Sensationalism na ku Dramatize, BOT Did The Right Thing!
- Escrow: Je, Watanzania ni ignorant au tumelogwa? Tuache cherry-picking kutafuta Mbuzi wa Kafara!
- Kuwajibishwa kwa Prof. Tibaijuka ni Muendelezo wa Ignorance at The Highest Levels! Mnashangilia Uji
- Escrow na kisa cha mke mpumbavu, anawatangazia majirani kuwa mume wake ni "Mume suruali tuu!.
- Hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia, Hakuna Yeyote wa Kuwajibika
- Escrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!
P
Mtu akiisha lewa pombe, na pombe yenyewe kangala, nimekusamehe bure!Samahani nilikuwa nimelewa. Lakini sikubaliani na hoja zako.
Pascal Mayalla achana na makala zako hizo ulizojitahidi kuelimisha umma. Pesa za Escrow zilikiwa mali ya nani? Tanesco au Harbinder na Rugemalila?Mtu akiisha lewa pombe, na pombe yenyewe kangala, nimekusamehe bure!
P
Pesa za account ya escrow zimechange forms mara tatu, au zime change hands mara tatu,Pascal Mayalla achana na makala zako hizo ulizojitahidi kuelimisha umma. Pesa za Escrow zilikiwa mali ya nani? Tanesco au Harbinder na Rugemalila?
Sikubaliani na wewe pamoja na kuwa ni wakili msomi. Sasa hivi nimelewa. Nitakujibu kesho baada ya kufanya tafiti.Pesa za account ya escrow zimechange forms mara tatu, au zime change hands mara tatu,
P
- Kwanza zilikuwa ni fedha za umma, wakati zikiwa kwenye accounts za Tanesco, fedha zilipokuwa mikononi mwa Tanesco, ndio zilikuwa fedha za umma,
- Kitendo cha Tanesco kuzitoa ndani ya account ya Tanesco kuzi deposit kwenye escrow account, kumezichange form hizi fedha from kuwa pesa za umma, kwa kuzilipa into pesa za depository, ambaye yeye ni custodian tuu wa fedha hizo hadi mgogoro utakapokwisha!, hivyo wakati fedha zikiwa kwenye safe custody ya custodian, escrow account chini ya BOT, fedha zile sii za umma tena, ni fedha za dhamana, mgogoro ukiisha zikirudishwa Tanesco, zinakuwa ni za umma.
- Tanesco wali give in, na kukubali wanadaiwa more than kiwango kilichopo ndani ya escrow account, na wakaweka schedule of repayment na ndipo Tanesco waka authorize pesa zote zilipwe kwa IPTL!, and that is when all the money zili change form kutoka kuwa fedha za wote na kugeuka fedha za binafsi, and during withdrawal by the time fedha za Escrow zinalipwa IPTL zilikuwa tayari zime change hands, sio fedha za umma!.
- Ukitumia fedha za umma kulipia huduma yoyote, fedha zikiishalipwa na kumfikia mtoa huduma, zilikuwa ni fedha za umma ndio zimelipwa, mpokeaji akiishapokea fedha hizo, zinakuwa ni fedha zake.
- Baada ya PAP kulipwa fedha zake, PAP akamlipa JR haki yake. Fedha alizopokea Mzee JR ni fedha binafsi za PAP na JR alikuwa free kutumia fedha zake vyovyote apendavyo au kuzigawa kwa mtu yeyote kwa sababu yeyote au bila sababu yeyote!.