Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Ghafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa!
Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia.
Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine?
Huyu aliyekuwa akizichota wakati ule, ghafla kawa mzalendo? Anyways, watu huwa wanabadilika buana.Tatizo ni mkataba mbovu.
Halafu Anna ni Profesa wa kusoma darasani sio huyo fom foo feilia aliyepewa PHd na msoga gang.
Profesa wa kusoma darasani ambaye ni mzalendo hawezi kubali mkataba wa milele.
Alipelekewa kama zawadi na rafiki yake, hakuiba popote, msipotoshe hapa.Huyu aliyekuwa akizichota wakati ule, ghafla kawa mzalendo? Anyways, watu huwa wanabadilika buana.
Tatizo ni mkataba mbovu.
Halafu Anna ni Profesa wa kusoma darasani sio huyo fom foo feilia aliyepewa PHd na msoga gang.
Profesa wa kusoma darasani ambaye ni mzalendo hawezi kubali mkataba wa milele.
Mayala atakuwa anajuaGhafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa!
Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia.
Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine?
Mkataba ni mbovu lakini.Huyu aliyekuwa akizichota wakati ule, ghafla kawa mzalendo? Anyways, watu huwa wanabadilika buana.
Mimi mwenyewe huo mkataba nauchukia 200% mkuuMkataba ni mbovu lakini.