Prof. Anna Tibaijuka haziivi na Rais Samia?

Ni Haki Yake kukosoa na kushauri mawazo mbadala,tutoe fikra kila anayekosoa Ana shida binafsi na watawala,hiyo pia ni aina ingine ya uzalendo
 
Tatizo ni mkataba mbovu.

Halafu Anna ni Profesa wa kusoma darasani sio huyo fom foo feilia aliyepewa PHd na msoga gang.

Profesa wa kusoma darasani ambaye ni mzalendo hawezi kubali mkataba wa milele.
Wacheni kupotosha ,hakuna mkataba wa milele.
 
Shida ya Tanzania kila mtu mjuaji. Angewauliza wasafirishaji mizigo wamueleze uzoefu wa DPW; 90% ya mzigo inayokuja Africa kutokea EU (vice versa) inashushwa Sharjah (Dubai).

Sharjah ni exchange port ya meli kubadili mizigo. Meli za EU na Americas zinashusha na kupakia mizigo kuja na kutoka Africa kwenda kwao kupitia Sharja.

Sasa imagine volumes ya mizigo DPW inayoshusha na kupakia kila siku hapo, wana uwezo mkubwa wa ku-manage large volumes za mizigo ya kila aina mingine ina limited shelf life.

Kusema DPW ni mshindani wetu, huko ni kujifurahisha tu; nchi ya waropokaji yaani mtu anaweza waza vitu kichwani kwake na kudhani uhalisia ndio upo hivyo no need to justify their beliefs. This is unique behaviour of Tanzania kama umewahi kuishi na watu wa mataifa tofauti.

Ukisoma ule uwekezaji wa phase 1 na phase 2, kama unaelewa strategic planning. Unaona kusudio la muda mrefu.

Kutokuelewa mambo tu ndio shida. Cha msingi ni kupata good terms za HGA; otherwise ni uelewa mdogo tu kupinga huo uwekezaji.
 
Ghafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa!

Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia.

Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine?

Pia soma
View attachment 2662100
amekosoa nini hapo?
 
Ukweli ni kuwa huyu hafai ila jinsia yambeba. Uzuri hatafanikiwa kama yule
 
Ghafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa!

Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia.

Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine?

Pia soma
View attachment 2662100

Ghafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa!

Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia.

Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine?

Pia soma
View attachment 2662100
Yeyote asiye Chawa lazima ahoji hayo maswali. Ukiwa mkweli pia hutakaa kimya Bandari kuuzwa
 
Tatizo ni mkataba mbovu.

Halafu Anna ni Profesa wa kusoma darasani sio huyo fom foo feilia aliyepewa PHd na msoga gang.

Profesa wa kusoma darasani ambaye ni mzalendo hawezi kubali mkataba wa milele.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Afu huyo Form Four failure ndio RAIS, na AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA au sio?

Tibaijuka hadi ana kifo chake hatokaa awe hata Waziri Mkuu.
 
Ghafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa!

Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia.

Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine?

Pia soma
View attachment 2662100
Kumbe wanaompinga Samia ni wale ambao haziivi na rais? Mtajulikani taratibu kutoka kuwa wazalendo kuwa wapinga maendeleo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Afu huyo Form Four failure ndio RAIS, na AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA au sio?

Tibaijuka hadi ana kifo chake hatokaa awe hata Waziri Mkuu.
Pamoja na vyeo vyote hivyo ila hana akili hata kidogo.

Anazo za kushikiwa tu na msoga gang.
 
Ghafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa!

Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia.

Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine?

Pia soma
View attachment 2662100
"Maendeleo ni matokeo chanya ya kuzifanyia kazi changamoto zitokanazo na Wakosoaji na siyo uwingi wa Wafuasi".
By Barack Obama
 
Back
Top Bottom