Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 748
- 934
Acha kupotosha onyesha wapi kapinga Sera zake zaidi ya kupinga kuzwa ka bandari zetu,Ghafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa!
Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia.
Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine?
Ukiona mtu anapongeza au anapiga debe bandari zetu ziuzwe ujue sio mtanzania au ana uraia pacha.