Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 748
- 934
Acha kupotosha onyesha wapi kapinga Sera zake zaidi ya kupinga kuzwa ka bandari zetu,Ghafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa!
Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia.
Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine?
Acha majungu wewe,kwani Samia kazuia mtu kujadili?watu wako huru na uhuru huu kauruhusu yeye mwenyewe....Ghafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa!
Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia.
Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine?
Tibaijuka huyu huyu aliyelamba mabilioni ya escrow huku akijinasibu kwamba ni hela ya mboga?
Hivi uzalendo hasa ni nini?
Mzalendo ni nani hasa?
hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiAlipelekewa kama zawadi na rafiki yake, hakuiba popote, msipotoshe hapa.
Kama kweli kaokoka arejeshe hadharani pesa yote ya walipa kodi aliyojipatia kinyume na utaratibu kisha ajivike koti la utakatifu.Kwani shetani hawezi kuwa malaika baada ya kuokoka?
Mzalendo ni yyte anayevaa tai ya bendera ya taifa huku ana misuse public funds
Ajabu kazuia watu kuandamana pamoja na uhuru uusemao!Acha majungu wewe,kwani Samia kazuia mtu kujadili?watu wako huru na uhuru huu kauruhusu yeye mwenyewe....
Kama kweli kaokoka arejeshe hadharani pesa yote ya walipa kodi aliyojipatia kinyume na utaratibu kisha ajivike koti la utakatifu.
Unachanganya mambo mawili ambayo hayachangamani. Ya kaisari yabaki kwa kaisari na ya Mungu yabaki kwa Mungu.
Shetani ni shetani tu haijalishiWewe ndiye unachanganya...
Sisi tunaangalia ni nini kimesemwa na siyo nani kasema.
Tapata wapi andiko la Tibaijuka yaani kuishi maporini kuna gharama zakeAcha atusemee pengine ujumbe utafika
Tibaijuka huyu huyu aliyelamba mabilioni ya escrow huku akijinasibu kwamba ni hela ya mboga?
Hivi uzalendo hasa ni nini?
Mzalendo ni nani hasa?
Mkiristo,kapewa maagizo na viongozi wake wa diniGhafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa!
Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia.
Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine?
Na bado..hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Zuzu.Mkiristo,kapewa maagizo na viongozi wake wa dini
Prof. Anna TibaijukaWewe unamwongelea chenge