Prof. Anna Tibaijuka, ulikaa kimya wakati unahudumu katika Serikali kandamizi ya hiki unachokikemea sasa kulinda maslahi yako, na sasa kaa kimya!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye, ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!

Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachekelea unaungua, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!

HUU UKWELI, NA NI UKWELI MTUPU, ALIOUSEMA JANA ALIBIDI AUSEME AKIWA NDANI YA MFUMO AU ATOKE.KUONESHA KUWA HAKUBALIANI NA UKANDAMIZAJI DEMOKRASIA

KAMA AKINA MBOWE, LISU, LEMA , HECHE NA WENGINE WENGI AMBAO SIJAWATAJA WALIVYOKITETEA WANACHOKIAMINI MPAKA WENGINE KUFA
 
Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote kutetea kwako kwenda chooni. Leo usitudanganye,ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!

Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachelea, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!
Usitusemee sisi wenye akili semea wajinga na chawa wenzako. Sisi wote wenye akili tunapinga mauaji na utekaji na yeyote anayepinga hayo mambo yupo upande wetu bila kujali jana alikuwa wapi.

Wewe huna na wala hutakuwa na mamlaka ya kumpangia mtu cha kusema.
 
Kwa hiyo we mwenye akili awamu ijayo Makonda, Masauni, IGP wa sasa nk wakikemea mauaji utakuwa nao pia!?
 
Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote kutetea kwako kwenda chooni. Leo usitudanganye,ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!

Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachelea, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!

HUU NI UJINGA. SO KAMA MTU ALIKOSEA AKAJA AKAGUNDUA AMEKOSEA AENDELEE KUNYAMAZA? NYIE HAMNA AKILI. KAMA NI HIVYO HATA MBINGUNI HAKUNA ATAKAYEENDA. WAACHENI WATU WAZUNGUMZE NDO DEMOKRASIA. NA KILA MTU ANA UHURU WA KUTOA MAWAZO YAKE. KAMA HUYAPENDI GO SHOVE THEM UP YOUR ARSE. 😁
 
Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote kutetea kwako kwenda chooni. Leo usitudanganye,ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!

Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachelea, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!
2015-2022 kilikuwa ni kipindi kigumu sana
 
Back
Top Bottom